Chama kikuu cha upinzani Marekani chalalamikia chama tawala kudhibiti tume ya uchaguzi

Chama kikuu cha upinzani nchini Marekani kimemshitaki Donald Trump kwa kufanya njama za kuidhibiti tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kwa manufaa ya chama tawala.