Chadema ya Tundu Lissu itakuwa ya aina gani?

Matokeo haya ni baada ya miaka takribani 20 ya uongozi wa Freeman Aikaeli Mbowe, aliyechukua hatamu za kuwa Mwenyekiti wa Chadema tangu 2003.