Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: Uncategorized

Uncategorized

Kukosoa Araghchi “kutochukua hatua” Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za Wazayuni dhidi ya Gaza na Lebanon

MUKSINIOctober 1, 2024

Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama…

Uncategorized

Jumanne tarehe Mosi Oktoba 2024

MUKSINIOctober 1, 2024

Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2024.

Uncategorized

Israel yashambulia kwa mabomu makazi ya wakimbizi wa Kipalestina Gaza

MUKSINIOctober 1, 2024

Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza.

Uncategorized

Mvua kubwa na maporomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 37 kaskazini mwa Ethiopia

MUKSINIOctober 1, 2024

Karibu watu 37 wamepoteza maisha kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaskazini mwa Ethiopia, ambapo maporomoko ya ardhi na mafuriko…

Uncategorized

Ramaphosa: Afrika Kusini kutoa kipaumbele kwa mahitaji na matarajio ya Afrika

MUKSINIOctober 1, 2024

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake itakapochukua uwenyekiti wa kundi la G-20 baadaye mwaka huu, nchi…

Uncategorized

Burkina Faso: Madola ajinabi yanawazidishia matatizo kwa makusudi watu wa Sahel

MUKSINIOctober 1, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso jana alihutubia katika majadiliano ya ngazi ya juu katika Mkutano wa Baraza…

Uncategorized

Radiamali ya Nicaragua kwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon

MUKSINIOctober 1, 2024

Valdrack Jaentschke Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nicaragua amekosoa vikali na mfumo usio wa haki unaotawala dunia hivi sasa…

Uncategorized

HAMAS: Tumeangamiza idadi kubwa ya askari wa Israel Gaza

MUKSINIOctober 1, 2024

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza habari ya kuangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni…

Uncategorized

Rais wa Iran akosoa undumakuwili wa Marekani na Ulaya kuhusu haki za binadamu

MUKSINIOctober 1, 2024

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani na madola ya Ulaya kuuhusiana na haki za binadamuu…

Uncategorized

Rwanda yadhibiti idadi ya wanaohudhuria mazishi baada ya mlipuko wa virusi vya Marburg

MUKSINIOctober 1, 2024

Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa, inatekeleza mpango wa kudhibiti idadi ya watu wanaohudhuria mazishi ya waathiriwa wa virusi vya Marburg…

Uncategorized

UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu

MUKSINIOctober 1, 2024

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa hali ya kiafya na kimaisha katika Ukanda…

Uncategorized

Nigeria kuandamana leo kupinga ongezeko la gharama za maisha

MUKSINIOctober 1, 2024

Wananchi wa Nigeria leo Jumanne wamepanga kufanya maandamano mapya kulalamikia ongezeko la gharama za maisha. Maandamano hayo yaliyopewa jina la…

Uncategorized

Madai ya Marekani katika muktadha wa kujaribu kuzuia vita Asia Magharibi

MUKSINIOctober 1, 2024

Marekani ambayo ni mdhamini mkubwa zaidi wa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya mashambulizi makubwa dhidi…

Uncategorized

Rais Pezeshkian: Damu ya shahidi Nasrullah itaendelea kuchemka na itasimama wima mbele ya dhulma

MUKSINISeptember 30, 2024

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani na waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni wamewaonyesha walimwengu jinsi…

Uncategorized

Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel

MUKSINISeptember 30, 2024

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana na…

Uncategorized

Taathira za mauaji ya kigaidi ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa mfumo wa dunia

MUKSINISeptember 30, 2024

Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya…

Uncategorized

Alkhamisi, Septemba 12, 2024

MUKSINISeptember 12, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Rabiul Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Septemba 2024. Siku kama ya leo miaka…

Uncategorized

Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Berlin Ujerumani

MUKSINISeptember 9, 2024

Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa…

Uncategorized

Indhari ya Jordan kuhusu njama ya Israel ya kuyahudisha maeneo ya Kiislamu na Kikristo mjini Al-Quds

MUKSINISeptember 8, 2024

Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo…

Uncategorized

Mwanariadha wa Uganda auawa kwa kuchomwa moto

MUKSINISeptember 5, 2024

Madaktari na maafisa wa riadha wametangaza kuwa, mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, aliyeshiriki katika michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa amefariki…

Uncategorized

Balozi wa Iran UN: Maghala ya nyuklia ya Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia

MUKSINISeptember 5, 2024

Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, silaha za nyuklia za…

Uncategorized

Muirani Mehrzad, mwanaume wa pili kwa urefu zaidi duniani, analala sakafuni katika Kijiji cha Olimpiki, Paris

MUKSINISeptember 5, 2024

Mwanaume wa pili kwa urefu zaidi duniani, Morteza Mehrzad Selakjani ambaye ni raia wa Iran, analazimika kulala chini sakafuni katika…

Uncategorized

Burkina Faso yatoa pasipoti mpya bila ya nembo ya ECOWAS

MUKSINISeptember 5, 2024

Utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso jana Jumatano ulitoa pasi mpya za kusafiri za kibayometriki bila ya kuwemo nembo yoyote…

Uncategorized

Rais Xi wa China aahidi ajira milioni moja kwa bara Afrika

MUKSINISeptember 5, 2024

Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuunda nafasi za kazi zaidi ya milioni moja barani Afrika huku akijaribu kuiweka Beijing…

Uncategorized

Netanyahu na uafriti wake usio na kikomo wa kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusimamisha vita

MUKSINISeptember 5, 2024

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel anaendelea kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusitisha mapigano katika…

Uncategorized

Iran: Mustakbali bora wa Ulimwengu wa Kiislamu ndiyo sababu ya kuimarishwa uhusiano wetu na Saudia

MUKSINISeptember 5, 2024

Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Riyadh amesema kwa mnasaba wa kutimia mwaka mmoja tangu nchi mbili za…

Uncategorized

Wazayuni wazidi kutwangana, waziri “aonja joto ya jiwe” + Video

MUKSINISeptember 5, 2024

Wapinzani wa serikali ya Benjamin Netanyahu wamemshambulia waziri wa elimu wa utawala wa Kizayuni huku maandamano ya kupinga udikteta wa…

Uncategorized

Israel yafanya mashambulizi ya kipunguani kusini mwa Lebanon

MUKSINISeptember 5, 2024

Ndege za utawala wa Kizayuni zimefanya mashambulizi ya kiwendawazimu na kipunguani kwa muda wa saa mbili mfululizo katika maeneo kadhaa…

Uncategorized

Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger

MUKSINISeptember 5, 2024

Maafa ya mvua na mafuriko yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali za magharibi mwa Afrika na kusababisha maafa makubwa ikiwa ni…

Uncategorized

Majaliwa: Tanzania inazidi kuimarika katika upande wa kidiplomasia

MUKSINISeptember 5, 2024

Waziri Mkuu wa Tanzania amesema kuwa, nchi hiyo inazidi kustawi kote duniani kufuatia hatua ya hivi karibuni ya kuchaguliwa raia…

Uncategorized

Magaidi 19 wa al-Shabaab wauawa katika mashambulizi ya anga Somalia

MUKSINISeptember 5, 2024

Wanachama wasiopungua 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la…

Uncategorized

Naibu Kamanda wa IRGC: Jibu la Iran kwa mauaji ya Haniyeh litakuwa ‘tofauti, la kushangaza’ na la wakati muafaka’

MUKSINISeptember 5, 2024

Naibu Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameonya kuwa jibu…

Uncategorized

UNICEF: Chanjo ya polio huko Gaza ni mojawapo ya kampeni hatari zaidi duniani

MUKSINISeptember 5, 2024

Shirika la Kuhudimia Watoto la Umoja wa Mataifa la (UNICEF) limesema zoezi la kutoa chanjo ya polio kwa watoto wa…

Uncategorized

Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa

MUKSINISeptember 5, 2024

Mamia ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena msikiti mtakatifu wa wa Al-Aqsa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla…

Uncategorized

Mwanamke wa Kimarekani aliyejaribu kumzamisha mtoto wa Kipalestina afunguliwa mashtaka ya jaribio la kuua

MUKSINISeptember 5, 2024

Baraza Kuu la Mahakama ya Tarrant limemfungulia mashtaka mwanamke wa Texas kwa tuhuma za kujaribu kumzamisha msichana mwenye umri wa…

Uncategorized

Azma ya Iran na Russia ya kukamilisha hati jumuishi ya ushirikiano

MUKSINISeptember 5, 2024

Akikaribisha matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu kuendelea uhusiano na Russia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni…

Uncategorized

Alhamisi, Septemba 5, 2024

MUKSINISeptember 5, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2024.

Uncategorized

Kan’ani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Uzayuni inasikika zaidi

MUKSINISeptember 4, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Kuendelea kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel kunaelekea ukingoni, na…

Uncategorized

Hamas: Utawala wa Kizayuni unatekeleza sera za kuwaua kwa makusudi wafungwa wa Kipalestina

MUKSINISeptember 4, 2024

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake kwamba adui Mzayuni anatekeleza sera za kuwaua kwa…

Uncategorized

Wafuasi wa chama cha Jacob Zuma wapoteza maisha katika ajali

MUKSINISeptember 1, 2024

Wafuasi sita wa chama cha upinzani cha MK kinachoongozwa na Jacob Zuma nchini Afrika Kusini, wamepoteza maisha kufuatia ajali ya…

Uncategorized

Ethiopia yataka juhudi za pamoja za kudumisha amani katika Pembe ya Afrika

MUKSINISeptember 1, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia ametoa mwito wa kuwepo juhudi za pamoja kati ya nchi za Pembe ya…

Uncategorized

WHO: Chanjo za mpox kuwasili hivi karibuni DRC

MUKSINISeptember 1, 2024

Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa shehena ya kwanza ya chanjo ya virusi vya homa ya nyani (mpox) inatarajiwa…

Uncategorized

Wazayuni wazidi “kumkalia kooni” nduli wa Ghaza

MUKSINISeptember 1, 2024

Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni uliofanywa na Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel yanaonesha kuwa, walowezi…

Uncategorized

Mahakama ya Kilele Brazil yaamuru kupigwa marufuku nchi nzima mtandao wa kijamii wa X

MUKSINISeptember 1, 2024

Jaji wa Mahakama ya Kilele ya Brazil ameamuru kupigwa marufuku na kusimamishwa kazi za mtandao wa kijamii wa X katika…

Uncategorized

Kushindwa utawala wa Kizayuni kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

MUKSINISeptember 1, 2024

Jeshi la utawala wa Kizayuni limeshindwa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina wakati huu ambapo Israel inaendeleza vita na…

Uncategorized

Jumapili, Mosi Septemba, 2024

MUKSINISeptember 1, 2024

Leo ni Jumapili 27 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na Septemba Mosi 2024 Miiladia.

Uncategorized

Rais wa Iran kushiriki mkutano wa BRICS nchini Russia

MUKSINIAugust 31, 2024

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kushiriki Mkutano wa BRICS wa 2024 nchini Russia karibuni hivi.

Uncategorized

Baada ya wanajeshi 200, sasa Rais wa Rwanda awastaafisha kwa nguvu zaidi ya wanajeshi 1,000 wengine

MUKSINIAugust 31, 2024

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameidhinisha kustaafu zaidi ya wanajeshi 1,000 kutoka jeshini, wakiwemo majenerali watano, ikiwa ni siku moja…

Uncategorized

Uingereza inataka kuboresha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya

MUKSINIAugust 31, 2024

Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza amefanya safari katika miji ya Berlin na Paris kwa lengo la kuboresha uhusiano na…

Uncategorized

Iran yakanusha madai ya kuwapa mafunzo askari wa Russia huko Ukraine

MUKSINIAugust 31, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali madai kwamba mwanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu amekuwa akitoa…

Posts navigation

Older posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us