ÙŒWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon
Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa…
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza njama zake za kutaka kuwa na kituo cha kijeshi kaskazini mwa Somalia, kupitia eneo…
Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana…
Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametoa wito wa kufanyika siku tatu za maombolezo kuanzia jana Jumatano kutokana na…
Serikali ya Kenya imekana kuhusika na madai ya kutekwa nyara kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye. Katibu Mkuu wa…
Wanajeshi zaidi ya 12 wa Nigeria waliuliwa jana Jumanne katika mashambulizi kadhaa ya kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi…
Kamanda wa jeshi la Marekani katika eneo la Indo- Pacific amekiri kuwa maghaala ya silaha ya nchi hiyo hivi sasa…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na China zimefanya kikao cha pili cha pande tatu huko Riyadh, Saudi Arabia…
Wataalamu wa uokoaji wa Afrika Kusini wamefika katika mgodi wa Stilfontein nchini humo kuanza operesheni ya kuwatoa chini ya ardhi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesisitiza umuhimu wa mshikamano…
Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto…
Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa hatua yoyote dhidi ya Tehran katika kikao kijacho cha Bodi ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Umoja wa Ulaya na Uingereza zinatumia mienendo inayokinzana dhidi ya Iran ambayo…
Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema zaidi ya…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana…
Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema wakati wa mkutano wa kiuchumi katika mji…
Spika wa Bunge la Kenya amesema wabunge watakaoshiriki katika michezo baina ya wabunge wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika…
Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) amekosoa kimya cha Jamii ya Kimataifa kinachoyafanya mauaji ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nia ya dhati ya kupanua…
Mkuu wa Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRCS) ameeleza kuwa shirika hilo hivi karibuni litatuma…
Waziri wa zamani wa Usafiri wa Anga nchini Nigeria na kiongozi wa Kikristo nchini humo amezitaka nchi za Kiafrika kuvunja…
Rais Vladimir Putin wa Russia jana Jumanne, alitia saini amri ya kupanua uwezekano wa nchi yake kutumia silaha za nyuklia,…
Msemaji wa Polisi ya Afrika Kusini, Athlenda Mathe, amesema kuwa wataalamu wa uokoaji wamekutana ili kutekeleza operesheni ya kuwatafuta wachimbaji…
Jumatatu ya juzi 18 Novemba, 2024, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano mjini New York, kwa mnasaba…
Leo ni Jumatano tarehe 18 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na 20 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…
Katika kuendeleza hatua zake za kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana tarehe 18 Novemba Umoja…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa maneno kwa ajili ya wananchi na viongozi wa Lebanon walioko kwenye…
Balozi wa Iran nchini Tanzania ameshiriki katika Siku ya Utamaduni wa Washirazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuzidi kutia…
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, wahamiaji 604 walikamatwa na kurudishwa nje ya pwani ya Libya wiki moja…
Takriban watu watatu yaani mwanajeshi mmoja na raia wawili wameuawa katika shambulio la watu wanaotaka kujitenga kwenye eneo linalotokea vita…
Parstoday- Mtaalamu wa masuala ya kimataifa na mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa X, ameitambua hatua ya utawala wa Kizayuni…
Duru za usalama za utawala wa Kizayuni zimemtumia ripoti waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netnyahu, na kumuonya kuhusu nguvu za…
Migogoro ya hali ya hewa na vita nchini Ukraine na Mashariki ya Kati ilichukua nafasi kubwa katika siku ya kwanza…
Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine. Kwa mujibu wa ripoti…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB), Peyman Jebelli, na Mkuu wa Kitengo cha…
Balozi mpya wa Kenya nchini Iran amekutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na…
Pars Today- Mhadhiri mmoja wa Kiirani ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na…
Mhandisi wa program za kompyuta wa Iran, Alireza Zakeri ametangaza kujiuzulu kutoka shirika la Google kutokana na ushirikiano wa kampuni…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon inaendelea kutumia mkakati wake wa kujihami wa “Moto Kwa Moto, Beirut kwa Tel…
Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullahh Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut,…
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Umoja wa Mataifa ya Kuchunguza Mienendo ya Israel Palestina (SCIIP) amesema, vita vya utawala wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, ameikosoa Uingereza kwa kukanusha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko…
Kwa akali wanajeshi 30 wa utawala haramu wa Israel wameangamizwa na wanamuqawama kaskazini mwa Ukanda wa Gaza katika majuma ya…
Yusuf Maitama Tuggar, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesema kuwa nchi yake ingali inaunga mkono juhudi za kisiasa…
Wananchi wa Gabon wamepasisha katiba mpya ya nchi hiyo kwa wingi wa kura katika zoezi la kura ya maoni lililofanyika…
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa, hata wananchi wa Ulaya pia wametambua…
Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2024. Siku kama ya leo…
Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullah Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut,…