Maelfu ya Watunisia wakaribisha kutolewa hati ya kukamatwa Netanyahu
Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo wakipongeza na kukaribisha kutolewa Mahakama ya Kimataifa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo wakipongeza na kukaribisha kutolewa Mahakama ya Kimataifa…
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na…
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania amekamatwa…
Askari wasiopungua sita wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na…
Leo ni Jumamosi 21 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria sawa na 23 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo miaka…
Jinai za kutisha zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita zimekuwa na…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imesema kuwa mwaka huu umeshuhudia mauaji ya wafanyakazi wengi wa…
Wanawake katika nchi za Afrika zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara, wanatumia masaa milioni 200 kila siku kwa ajili ya…
Behrouz Kamalvandi, msemaji na mkuu wa masuala ya kimataifa na kisheria katika Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amezungumzia…
Mji mmoja nchini Marekani umeahidi kumkamata Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu, na waziri wake wa zamani wa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa salamu za rambirambi kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea kaskazini magharibi mwa Pakistan. Katika barua…
Ethiopia inapanga kusafirisha takriban megawati 100 za umeme kwa Tanzania kupitia Kenya, ikiwa ni hatua muhimu ya ushirikiano wa nchi…
Nchi tatu za Ulaya zimewasilisha mswada wa azimio kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH amesema kuwa, wananchi wa Iran lazima wawe…
Serikali ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu…
Chama tawala nchini Senegal, PASTEF, kimeshinda karibu robo tatu ya viti vya Bunge katika uchaguzi uliofanyika wikendi iliyopita, matokeo yanayomaanisha…
Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa…
Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu…
Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru…
Rais Vladimir Russia ameonya kuwa, Moscow inabaki nayo haki yake ya kushambulia vituo vya kijeshi vya nchi zinazoruhusu silaha zao…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametoa amri ya kuchukuliwa hatua madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwekwa…
Kundi la magaidi wakufurishaji wameyafyatulia risasi magari ya abiria yaliyokuwa yamebeba raia Waislamu wa madhehebu ya Shia kaskazini-magharibi mwa Pakistan…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi amekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kutoa hati ya…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amesema, hati za zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran…
Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban. Haya yanajiri…
Baraza la utawala wa kijeshi la Mali jana Alkhamisi lilimteua msemaji wake, Abdoulaye Maiga, kuwa waziri mkuu siku moja baada…
Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Nane, Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiiana na 22 Novemba 2024. Siku kama ya leo…
Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na Novemba 21 mwaka 2024. Siku kama ya leo miaka…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu…
Ris William Ruto wa Kenya ameonekana kutetea mienendo ya maafisa wa polisi waliodaiwa kuhangaisha waandamanaji mwezi Juni 2024, wakati wa…
Siku ya Kimataifa ya Watoto imeadhimishwa duniani huku mauaji ya watoto wa Gaza na Lebanon yanayofanywa na utawala wa Kizayuni…
Ikiwa ni katika muendelezo wa uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala ghasibu wa Israel, mapema siku ya Jumatano Novemba, Marekani…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha…
Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran inaupa umuhimu mkubwa upanuzi wa uhusiano na jirani na rafiki yake, Qatar. Rais Pezeshkian aliyasema…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, inasema kuwa lengo pekee la utawala wa Kizayuni wa Israel ni “kufuta”…
Iran leo inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa , ikitoa heshima kwa mmoja wa watu wake wakuu, Shahidi Qassem Soleimani.…
Kiongozi wa Hizbullah amesema harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon iko tayari kupigana vita vya muda mrefu dhidi ya utawala…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema wajumbe wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu…
Katika kuuhami na kuunga mkono utawala wa Israel, Marekani kwa mara nyingine tena imelipigia kura ya turufu azimio la nchi…
Watu wasiopungua 42 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha Wad…
Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa…
Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidmemokrasia ya Kongo vimewatolea wito wananchi kupinga mipango tarajiwa inayoandaliwa na Rais Felix Tshisekedi…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kifungo cha miaka kumi jela mkuu wa polisi muasi kwa jinai za kivita…
Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel linakabiliwa na mgogoro mkubwa usio na mfano wake kufuatia kuendelea vita…
Kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur’ani na askari wa utawala haramu wa Israel huko Gaza kimelaaniwa na…
Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa utawala wa Israel…
Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa…