Jumanne, 26 Novemba, 2024
Leo ni Jumanne 24 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 26 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…
Mizozo ya kijeshi duniani
Leo ni Jumanne 24 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 26 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…
Leo tarehe Novemba 25 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga Marufuku Ukatili dhidi ya Wanawake. Hii ni katika hali ambayo…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa wito wa kuhukumiwa kifo Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye…
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto…
Polisi katika mji wa Lilongwe nchini Malawi leo Jumatatu wametumia gesi ya kutoa machozi kutawanya umati wa waandamanaji waliotaka kujiuzulu…
Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa Iran haina tatizo lolote katika uga wa kuuza na kusafirisha mafuta nje ya…
Mkurugenzi wa hospitali ya Gaza ambayo imezingirwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito kwa jamii ya…
Israel imefikia katika hali ya mkwamo, na Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuunga mkono mapambano halali na ya haki dhidi ya…
Ubalozi wa Iran mjini Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umepinga madai ya kuhusika kwa namna yoyote…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa X kwa mnasaba wa…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, ikilenga maeneo…
Naibu Rais wa Kenya aliyeng’olewa madarakani, Rigathi Gachagua, ameishambulia serikari ya bosi wake wa zamani, Rais William Ruto, akisema imeziba…
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema kwamba kombora la nchi hiyo la “Oreshnik” linaweza kusababisha uharibifu mkubwa…
Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Hamas amesema: “Utawala ghasiibu wa Israel una dhana kwamba unaweza kufikia malengo…
Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo…
Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anatazamia kuelekea nchini Ureno kushiriki katika mkutano wa 10 wa kimataifa…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela amepongeza misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na uingiliaji kati…
Ubalozi wa Russia mjini Tehran umekosoa hatua ya nchi za Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala…
Wakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda amesema kuwa, inaonekana mamlaka za Kenya zilihusika pakubwa katika kukamatwa huko Nairobi Kizza…
Uchunguzi wa maoni wa karibuni uliofanywa na utawala wa Israel umeonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya vijana Wayahudi wa…
Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Syria ametaka kuhitimishwa vita katika Ukanda wa…
Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa utekelezaji na kushikamana nchi…
Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji…
Mshauri mwandamizii wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wamarekani hawajapata mafanikio licha ya…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuanza kutumiwa mashinepewa (centrifuges) mpya na za kisasa ni jibu…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mkataba wa ushirikiano wa kimkakati na mpana kati ya nchi yake…
Jumuiya 11 zisizo za kiserikali (NGO’s) nchini Ufaransa zimeitaka serikali ya nchi hiyo itekeleze agizo la Mahakama ya Kimataifa ya…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemhimiza mbunge wa Florida ambaye alisherehekea mauaji ya raia wa Marekani yaliyofanywa na jeshi…
Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha hatua yoyote ya kuuondolea kinga…
Freeman Mbowe, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania jana aliachiliwa huru kwa dhamana baada ya kukamatwa siku…
Umoja wa Ulaya (EU) umemuondoa balozi wake aliyekuweko Niamey, mji mkuu wa Niger kutokana na kushadidi mvutano na uongozi mpya…
Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo SAF limeuteka tena mji wa Singa ambao ni makao…
Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehimiza kufunguliwa mashtaka maafisa wote wa kisiasa na kijeshi wa…
Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mivutano na uchokozi na kueleza kwamba, amesema rasi ya…
Waziri Mkuu wa Ireland amesisitiza kuwa, nchi yake itatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kukamatwa Waziri…
Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni…
Kiongozi wa upinzani Msumbiji amesema atakubali mwito wa rais wa mazungumzo baada ya ghasia kali za baada ya uchaguzi kwa…
Leo ni Jumapili 22 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia…
Kijiji cha kihistoria cha Esfahak, kilicho katika mkoa wa Khorasan Kusini mwa Iran, kimetambuliwa kimataifa kwa kutajwa na Shirika la…
Takriban wanajeshi sita wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita…
Wahudumu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa wamelaani mauaji ya zaidi ya watu 3,600 nchini Lebanon katika mashambulizi…
Iran imesema mashitaka ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri…
Takriban watu wanne, wakiwemo raia wawili, wameuawa kwa kupigwa risasi katika makazi ya mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi…
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa litaendelea kuwa macho dhidi ya ugonjwa hatari wa mpox katika kiwango cha juu…
Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) baada ya miezi kadhaa ya utafiti na uchunguzi imetoa hukumu ya kukamatwa Benjamin…
Wizara ya Afya ya Lebanon imeushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya ilichokiita “msururu wa jinai za kivita” katika…
Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, Hospitali ya Kamal Adwan iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza inakabiliwa na uhaba…