Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

SWAHILI NEWS

Tetesi 5 kubwa za soka jioni hii: Saliba kuziba nafasi ya Rudiger Madrid?

MUKSINIApril 8, 2025

Liverpool yapata mbadala wa Alexander – Arnold, Gavi kuzeekea Barce na Saliba kusakwa na Madrid

SWAHILI NEWS

Alien Enemies Act: Ifahamu sheria ya mwaka 1798 anayoitumia Trump kuwafukuza wahamiaji

MUKSINIApril 8, 2025

Kati ya watu 261 waliofukuzwa, 137 walifukuzwa chini ya Sheria ya dharura ya Maadui Wageni, amesema afisa wa ngazi ya…

SWAHILI NEWS

Je, dunia inaelekea kwenye mdororo wa kiuchumi?

MUKSINIApril 8, 2025

Kuporomoka kwa thamani katika soko la hisa, kunamaanisha kuwa kuna tathmini ya msingi ya faida za siku zijazo kwa kampuni…

SWAHILI NEWS

Marekani inajiandaa kwa mazungumzo ya moja kwa moja ya nyuklia na Iran – Trump

MUKSINIApril 8, 2025

“Iran haiwezi kuwa na silaha za kinyuklia, na kama mazungumzo haya hayatakuwa na mafanikio, nadhani itakuwa siku mbaya kwa Iran.”Trump…

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Jumanne: ‘Messi amtaka Kevin de Bruyne Miami’

MUKSINIApril 8, 2025

Manchester United wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha.

SWAHILI NEWS

G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa

MUKSINIApril 8, 2025

“No Reforms, No Election” inalenga kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mpaka kufanyike marekebisho makubwa ya mifumo na sheria za…

SWAHILI NEWS

Tetesi kubwa 5 za soka jioni hii: ‘Man Utd inahitaji kusajili wapya watano’

MUKSINIApril 7, 2025

United inapaswa kusajili wapya watano, Liverpool yawageukia Osimhen na Sesko

SWAHILI NEWS

Zijue sababu za wanaume kufa mapema kuliko wanawake

MUKSINIApril 7, 2025

Kuna changamoto juu ya afya ya wanaume – mchanganyiko wa tabia za hatari na ukosefu wa kujiamini na ujuzi wa…

SWAHILI NEWS

Hizi ndizo barabara 6 za ajabu zaidi duniani

MUKSINIApril 7, 2025

Duniani kuna barabara za kawaida, lakini nyingine ni za kuvutia sana au za kushangaza kiasi kwamba zimekuwa zaidi ya muunganisho…

SWAHILI NEWS

Kwanini kande, mbege na machalari ni bora kuliko Pizza na Burger?

MUKSINIApril 7, 2025

Ulaji wa vyakula vyenye wanga kwa wingi pamoja na vyakula vitamu na vizuri kwa macho kama Burger, Pizza na Chips…

SWAHILI NEWS

Nywele bandia marufuku ‘Miss Ivory Coast’

MUKSINIApril 6, 2025

Nywele za bandia au mawigi yamekuwa yakitawala katika mashindano maarufu ya urembo nchini Ivory Coast kwa miaka mingi.

SWAHILI NEWS

Je, simu hizi za mkononi ni hatari zaidi kwa maisha yako?

MUKSINIApril 6, 2025

Je, mionzi katika simu zetu ina madhara kiasi gani? Je, matumizi ya simu mara kwa mara husababisha saratani? Na unaweza…

SWAHILI NEWS

Israel yakiri kufanya makosa kuhusiana na mauaji ya madaktari Gaza

MUKSINIApril 6, 2025

Jeshi la Israel limekiri kuwa wanajeshi wake walifanya makosa katika mauaji ya wafanyikazi 15 wa dharura kusini mwa Gaza mnamo…

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Man City wanamtazamia Wirtz kuchukua nafasi ya De Bruyne

MUKSINIApril 6, 2025

Manchester City wamemtambua kiungo mkabaji wa Bayer Leverkusen na Ujerumani Florian Wirtz, 21, kama mchezaji mbadala bora wa kiungo wa…

SWAHILI NEWS

‘Nilikuwa mwanasoka tajiri na mraibu wa kamari’

MUKSINIApril 6, 2025

Tatizo la Sturridge la kucheza kamari lilianza alipokuwa mdogo lakini lilizidi kuwa baya alipokuwa maarufu na bahati ya kuwa mwanasoka…

SWAHILI NEWS

‘Mtu mwenye haya asiyefaa kuwa mwanasiasa: Errol Musk baba wa Elon azungumza kuhusu mwanaye

MUKSINIApril 6, 2025

Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, mjasiriamali wa teknolojia aliyeweza kuwa na uhusiano na na kuingia kwa njia ya…

SWAHILI NEWS

Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri ladha ya bia

MUKSINIApril 5, 2025

Bia, mojawapo ya vinywaji vinavyopendwa duniani, na kinywaji cha kileo kinachopendwa zaidi kwa kiasi, kimekuwa sehemu ya jamii tangu wanadamu…

SWAHILI NEWS

Hizi ni sababu tano za kwanini ujianike juani

MUKSINIApril 5, 2025

Kujiweka juani kuna manufaa kwa afya yako ya mwili na akili. Hiyo ni kwa sababu, bila ya jua la moja…

SWAHILI NEWS

Wiki mbaya zaidi kwa soko la hisa Marekani wakati ushuru wa 10% ukianza kutumika Uingereza

MUKSINIApril 5, 2025

Masoko ya hisa nchini Marekani yamehitimisha wiki yao mbaya zaidi tangu 2020, huku viwango vikubwa vya ushuru wa Donald Trump…

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Jumamosi: Garnacho kutimka United? mbadala wake aanza kusakwa

MUKSINIApril 5, 2025

Garnacho kutimka United? Ademola Lookman kuwa mbadala wake

SWAHILI NEWS

Tetesi 5 kubwa za soka jioni hii: Kevin De Bruyne athibitisha kuondoka Man City

MUKSINIApril 4, 2025

De Bruyne athibitisha kuondoka City, Chelsea na Liverpool zinapigana vikumbo kwa Marc Guehi

SWAHILI NEWS

Hezbollah iko njia panda baada ya kipigo katika vita vilivyowadhoofisha

MUKSINIApril 4, 2025

Hezbollah ni wanamgambo wenye nguvu na wameorodheshwa kama shirika la kigaidi na nchi nyingi za Magharibi zikiwemo Uingereza na Marekani.…

SWAHILI NEWS

Kuanguka kwa Yoon Suk Yeol: Rais ‘mtata’ wa Korea Kusini mwenye jazba na msukumo wa kijeshi

MUKSINIApril 4, 2025

Yoon alijulikana tangu akiwa mdogo kama mtu aliyejikita kwenye kushinda kwa gharama yoyote. Hakukubali kushindwa.

SWAHILI NEWS

Mpishi anayetumia kuvu kutengeneza chakula kitamu

MUKSINIApril 4, 2025

Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa kiasi kikubwa cha chakula kinapotea bure, si tu maganda ya mayai na maganda ya matunda.

SWAHILI NEWS

Ushuru wa Trump wasababisha kuporomoka kwa hisa za Marekani huku China, EU zikiapa kulipiza kisasi

MUKSINIApril 4, 2025

Hisa za kimataifa zimeanguka, siku moja baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru mpya ambao unatabiriwa kuongeza bei na…

SWAHILI NEWS

Utafiti: Kutumia kifaa cha skrini kwa muda mrefu ukiwa kitandani kunahusishwa na usingizi duni

MUKSINIApril 3, 2025

Utafiti uligundua kuwa watu wanaotumia muda mwingi kutazama skrini kitandani au wakati wa kulala wanaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa…

SWAHILI NEWS

‘Nilikuwa muamuzi wa Primia Ligi lakini sasa najifunza kutembea tena’

MUKSINIApril 3, 2025

Uriah Rennie alifahamika na mamilioni ya mashabiki wa soka baada ya kuwa muamuzi wa kwanza mweusi wa Ligi Kuu ya…

SWAHILI NEWS

Je, Iran kukishambulia Kisiwa cha Diego Garcia, ambacho ni marufuku raia kufika?

MUKSINIApril 3, 2025

Uchunguzi wa picha za setilaiti umebaini kwamba kati ya Machi 22, 2025, na Aprili 2, ndege sita za B-2 na…

SWAHILI NEWS

Ushuru mpya wa Trump unamaanisha nini kwa Tanzania na nchi zingine za Afrika Mashariki?

MUKSINIApril 3, 2025

Ushuru wa bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa Marekani kutoka Afrika Mashariki umewekwa kwa kiwango cha asilimia 10%

SWAHILI NEWS

Ushuru mpya wa Trump unamaanisha nini kwa nchi za Afrika Mashariki?

MUKSINIApril 3, 2025

Ushuru wa bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa Marekani kutoka Afrika Mashariki umewekwa kwa kiwango cha asilimia 10%

SWAHILI NEWS

Vita vya Sudan: Hofu na matumaini katika mji mkuu ulioharibiwa wa Khartoum

MUKSINIApril 3, 2025

Kutekwa tena kwa mji mkuu huo kunaashiria mabadiliko katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili, vilivyochochewa na…

SWAHILI NEWS

Donald Trump atangaza vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu

MUKSINIApril 3, 2025

Donald Trump ameanzisha vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu baada ya zaidi ya miezi miwili ya maandalizi ya tukio kuu…

SWAHILI NEWS

Liverpool ni suala la wakati, hivi ndivyo itakavyoweka rekodi na kutwaa ubingwa wa EPL

MUKSINIApril 3, 2025

Sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu kwa Liverpool inaonekana kutoepukika. Ni suala la lini wanaweza kuthibitishwa kuwa mabingwa na sio…

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Nico Williams kutua Arsenal, Pep kutimkia AC Milan?

MUKSINIApril 3, 2025

Arsenal wameongeza juhudi za kumsajili Nico Williams, huku Pep Guardiola akiwa miongoni mwa majina yanayopendekezwa kuinoa AC Milan, na Dean…

SWAHILI NEWS

Tetesi 5 kubwa za soka Jioni hii: Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil

MUKSINIApril 2, 2025

Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil, Chelsea yapata mbadala wa Jackson na Mipango ya Usajili Arsenal yawekwa wazi

SWAHILI NEWS

Ushuru ni nini na kwa nini Trump anautumia?

MUKSINIApril 2, 2025

Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni kuwa ghali zaidi – zitasaidia wazalishaji wa Marekani na…

SWAHILI NEWS

Bendi ya Wasiiona iliyoteka Mitaa ya Dar es Salaam kwa burudani

MUKSINIApril 2, 2025

Kwa miaka zaidi ya 10 inaburudisha mitaa ya Jiji la Dar es Salaam

SWAHILI NEWS

Vipodozi: Unajua hatari ya Kope bandia, wanja na rangi ya mdomo unayotumia?

MUKSINIApril 2, 2025

Je, wewe huosha brashi zako za mapambo mara ngapi? Umewahi kuazima ujiti wa kupakia wanja kutoka kwa rafiki au kujipaka…

SWAHILI NEWS

Huyu ndiye Panzi mzalendo Tanzania? mdudu wa kipekee mwenye rangi za bendera ya nchi

MUKSINIApril 2, 2025

Panzi huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na rangi zake asilia zenye kufanana za zile za bendera ya Tanzania

SWAHILI NEWS

Mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja kati ya Kongo na waasi wa M23 kufanyika Aprili 9

MUKSINIApril 2, 2025

Waasi wa M23 wameeleza kuwa pande hizo mbili zinalenga kufanya mazungumzo ya moja kwa moja kwa mara ya kwanza tarehe…

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Mo Salah anataka kwenda Uarabuni

MUKSINIApril 2, 2025

Kuna imani nchini Saudi Arabia kwamba mshambuliaji wa Liverpool na Misri, Mohamed Salah, mwenye umri wa miaka 32, yuko tayari…

SWAHILI NEWS

Putin awaandikisha wanaume 160,000 katika jeshi la Urusi

MUKSINIApril 1, 2025

Rais Vladimir Putin amewaita wanaume 160,000 wenye umri wa miaka 18-30, idadi kubwa zaidi ya walioandikishwa jeshini nchini Urusi tangu…

SWAHILI NEWS

Qatargate: Netanyahu ahojiwa na kitengo maalum, washauri wake wakamatwa. Nini kiini cha kashfa hii?

MUKSINIApril 1, 2025

Katika siku za hivi karibuni, matukio kadhaa yametokea nchini Israel ambayo yanahusiana moja kwa moja na kashfa hiyo inayojulikana kwa…

SWAHILI NEWS

Hizi ndizo athari za kiafya za gubu na kulalamika mara kwa mara

MUKSINIApril 1, 2025

Baadhi ya tafiti zinapendekeza kwamba hali ya kulalamika linaweza kusababisha mabadiliko katika muundo wa ubongo ambayo, kwa upande mwingine, yanaweza…

SWAHILI NEWS

Kwa nini ni vigumu kutabiri matetemeko ya ardhi?

MUKSINIApril 1, 2025

Matetemeko ya ardhi 100,000 yanahisiwa kutokea duniani kote kila mwaka, kwa mujibu wa Huduma ya Jiografia ya Marekani (USGS), lakini…

SWAHILI NEWS

Trump anaweza kuwania muhula wa tatu wa urais Marekani?

MUKSINIApril 1, 2025

Donald Trump anasema “watu wengi wanataka nifanye” na wafuasi wanadai kuna mwanya wa ukomo wa mihula miwili ya katiba.

SWAHILI NEWS

Fahamu tofauti kati ya Eid ul-Fitr na Eid ul-Adha

MUKSINIMarch 31, 2025

Ingawa baadhi ya waislamu hufuata kalenda iliyowekwa ya mwezi na wengine hutumia uchunguzi wa unajimu kutangaza kuonekana kwa Mwezi mpya,…

SWAHILI NEWS

Tunachokijua kuhusu miji ya mahandaki ya Iran yaliyojaa makombora

MUKSINIMarch 31, 2025

“Ikiwa watafichua mji mmoja wa makombora kila wiki, mfululizo huu hautaisha ndani ya miaka miwili,” Amir Ali Hajizade asema.

SWAHILI NEWS

Uhusiano wa Trump na Putin mashakani? Je ni hatari kwa usalama wa dunia?

MUKSINIMarch 31, 2025

Hii ni mara ya kwanza kwa Trump kuitishia vikali Urusi kutokana na namna inavyoshughulikia mazungumzo ya kusitisha mapigano ya Ukraine.

SWAHILI NEWS

Unajua ususi na mtindo wako wa nywele unaweza kukupa saratani?Utafiti mpya wabaini

MUKSINIMarch 31, 2025

Utafiti unapendekeza kuwa nywele za bandia zikiwemo wigi zinazotumiwa na wengi zinaweza kuwa mbaya kwako – lakini je, hiyo itawazuia…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us