Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

SWAHILI NEWS

Kwanini Simba SC ni Mabingwa Afrika hata kabla ya fainali ya CAF?

MUKSINIApril 28, 2025

Simba imefika fainali ya CAF kwa mara ya pili baada ya ile ya awali mwaka 1993

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Klabu 6 za EPL zamtaka Jonathan David

MUKSINIApril 28, 2025

Cristian Romero anasakwa na Atletico Madrid, Manchester City wanamnyatia beki wa Juventus Andrea Cambiaso, Manchester United wanavutiwa na mshambuliaji wa…

SWAHILI NEWS

Makaburi ya kale yaliyogunduliwa katika uwanja wa ndege yalivyoibua maswali

MUKSINIApril 27, 2025

Makaburi ya enzi za kati yaliyochimbuliwa karibu na Uwanja wa Ndege wa Cardiff yanaendelea kuwachanganya wanaakiolojia.

SWAHILI NEWS

Kwa nini barabara za India ni miongoni mwa barabara mbaya zaidi duniani?

MUKSINIApril 27, 2025

Mnamo 2023 pekee, zaidi ya watu 172,000 walipoteza maisha kwenye barabara za India, wastani wa vifo 474 kila siku au…

SWAHILI NEWS

Takribani watu 14 wapoteza maisha, 750 wajeruhiwa kwa mlipuko mkubwa katika bandari kuu ya Iran

MUKSINIApril 27, 2025

Takribani watu 14 wamepoteza maisha na 750 kujeruhiwa katika mlipuko mkubwa katika bandari moja muhimu ya Iran, mamlaka zilisema.

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Jumapili: Wharton wa Palace anasakwa na Liverpool

MUKSINIApril 27, 2025

Liverpool itajaribu kumshawishi kiungo wa kati wa England Adam Wharton, 21, kuondoka Crystal Palace.

SWAHILI NEWS

Wanaanga kuanza kula chakula cha maabara?

MUKSINIApril 26, 2025

Misheni inanuia kubuni njia mbadala za kupunguza gharama ya chakula cha wanaanga.

SWAHILI NEWS

Papa Francis kuzikwa leo, maelfu kushuhudia wakiwemo marais na familia za kifalme

MUKSINIApril 26, 2025

Papa Francis alifariki dunia Jumatatu, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 baada ya kulazwa kwa muda

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi: Chelsea yamuania Liam Delap

MUKSINIApril 26, 2025

Arsenal wanamtaka mlinzi wa Barcelona Jules Kounde, Nottingham Forest macho kwa James McAtee na Manchester United wanasaka mbadala wa Matheus…

SWAHILI NEWS

Jinsi papa Francis atakavyozikwa

MUKSINIApril 25, 2025

Makumi kwa maelfu ya watu, ikiwa ni pamoja na viongozi wengi wa dunia, wanatarajiwa kuhudhuria.

SWAHILI NEWS

Marekani kumkamata Traoré? Kwa nini Michael Langley ana wasiwasi?

MUKSINIApril 25, 2025

Kapteni Ibrahim Traoré alichukua madaraka mwaka 2022 kwa mapinduzi ya kijeshi, akiahidi kurejesha rasilimali za taifa mikononi mwa wananchi wa…

SWAHILI NEWS

Kwanini Zelensky hawezi kuiachia Crimea

MUKSINIApril 25, 2025

Rais wa Ukraine amefutilia mbali uwezekano wa kutambua udhibiti wa Urusi katika rasi hiyo kama sehemu ya mpango wa amani…

SWAHILI NEWS

Jeshi la Israeli lakiri kuua mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulio la Gaza

MUKSINIApril 25, 2025

Israel hapo awali ilikuwa imekanusha kuwa wanajeshi wake walihusika na mauaji ya mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika shambulizi la…

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Ijumaa: Arsenal wapo kwenye mazungumzo ya kumsajili Zubimendi

MUKSINIApril 25, 2025

Arsenal wako katika hatua ya juu katika mazungumzo ya kumsajili kiungo wa kati wa Real Sociedad na Uhispania Martin Zubimendi.

SWAHILI NEWS

Nchi 11 zenye uchumi mkubwa barani Afrika mwaka 2025

MUKSINIApril 25, 2025

Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio kikuu kinachotumika kupima ukubwa na afya ya uchumi wa nchi.

SWAHILI NEWS

Kanisa ambalo Papa Francis alilizuru kama mahali pake pa kupumzika

MUKSINIApril 24, 2025

Kila wakati Papa Francis alirudi Roma baada ya safari ya nje ya nchi, alihakikisha anatembelea kanisa la Santa Maria Maggiore.

SWAHILI NEWS

Zifahamu alama tano zisiso za kawaida katika jeneza la papa Francis

MUKSINIApril 24, 2025

Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki wamekusanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kumuaga Baba Mtakatifu Francisko.

SWAHILI NEWS

Tundu Lissu: Je, huu ndiyo mwisho wa Mwanasiasa huyu wa Tanzania aliyepigwa risasi 16 na kunusurika?

MUKSINIApril 24, 2025

Tundu Lissu kwa miaka mingi na mara kadhaa amenusurika kutokana na hali ya kisiasa lakini sasa amefunguliwa mashtaka ya uhaini

SWAHILI NEWS

Tundu Lissu: Je, huu ndiyo mwisho wa Mwanasiasa huyu wa Tanzania?

MUKSINIApril 24, 2025

Tundu Lissu kwa miaka mingi na mara kadhaa amenusurika kutokana na hali ya kisiasa lakini sasa amefunguliwa mashtaka ya uhaini

SWAHILI NEWS

Ziara ya Zelensky Afrika Kusini itachukuliwaje na Trump?

MUKSINIApril 24, 2025

Ziara hii imeonekana kama hatua muhimu ya kidiplomasia kwa Zelensky katika juhudi zake za kupunguza ushawishi Urusi barani Afrika.

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Alhamisi: Villa wanafanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa De Bruyne

MUKSINIApril 24, 2025

Aston Villa wamefanya majadiliano ya ndani kuhusu uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Manchester City na Ubelgiji Kevin de…

SWAHILI NEWS

Tanzania yapiga marufuku bidhaa zote za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi

MUKSINIApril 24, 2025

Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe amesema mazungumzo yanaendelea kupitia Wizara ya Mambo ya Nje, lakini Tanzania haiwezi kuendelea…

SWAHILI NEWS

Ni kina nani wanataka kumpindua Traoré wa Burkina Faso na kwanini?

MUKSINIApril 24, 2025

Tangu aingie madarakani kwa mapinduzi mwaka 2022, amenusurika kupinduliwa takribani mara tatu

SWAHILI NEWS

Kwa nini kunywa maji mengi kupita kiasi kunaweza kuhatarisha maisha?

MUKSINIApril 23, 2025

Kwa afya bora, mashirika mengi ya afya yanapendekeza kunywa glasi 6-8 za maji kila siku.

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Manchester United mbioni kumsajili Victor Osimhen

MUKSINIApril 23, 2025

Manchester United wameamua kumsajili Victor Osimhen lakini wanakabiliwa na ushindani kumpata Matheus Cunha, huku Aston Villa wakionekana kuwa tayari kushinda…

SWAHILI NEWS

‘Walifikiria kuachana na ndoa zao kwa sababu ya kupoteza hamu ya tendo la ndoa’

MUKSINIApril 23, 2025

Ukomo wa hedhi, ni hatua ya maisha ambayo huja kimyakimya, lakini huacha athari kubwa katika miili yao, hisia zao, na…

SWAHILI NEWS

Viongozi wa dunia kuhudhuria maziko ya Papa

MUKSINIApril 23, 2025

Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Jumamosi katika uiwanja wa Mt. Petro, Vatican imethibitisha, huku maelfu ya watu wakitarajiwa kuhudhuria.

SWAHILI NEWS

Watu wenye silaha wauwa zaidi ya watu 20 Kashmir

MUKSINIApril 23, 2025

Serikali ya India imesema, shambulio hilo limefanyika katika mji wa kuvutia wa Pahalgam, huko Himalaya ambao mara huitwa “Switzerland ya…

SWAHILI NEWS

Nani kuwa Papa mpya ajaye? Wanne watajwa katika kinyang’anyiro kisichotabirika

MUKSINIApril 23, 2025

Baadhi ya majina yanatajwa kama warithi wa Papa Francis, na majina mengine yanatarajiwa kujitokeza katika siku zijazo.

SWAHILI NEWS

Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Ivory Coast

MUKSINIApril 22, 2025

Burkina Faso imepitia misukosuko mingi ya kisiasa tangu uhuru wake mwaka 1960, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya mara kwa…

SWAHILI NEWS

Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso

MUKSINIApril 22, 2025

Burkina Faso imepitia misukosuko mingi ya kisiasa tangu uhuru wake mwaka 1960, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya mara kwa…

SWAHILI NEWS

Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa

MUKSINIApril 22, 2025

Kadinali atasimamia Vatican hadi Papa mpya achaguliwe.

SWAHILI NEWS

Makadinali wakutana Vatican kupanga mazishi ya Papa Francis

MUKSINIApril 22, 2025

Kulingana na katiba ya kitume – mazishi hayo yanapaswa kufanyika “kati ya siku ya nne na ya sita baada ya…

SWAHILI NEWS

Mataifa 5 ya Afrika ambayo Rais na Makamu wake waligeuka maadui

MUKSINIApril 22, 2025

Katika historia ya bara hili, kumekuwa na migongano mikubwa baina ya marais na manaibu wao, migogoro ambayo kwa baadhi ya…

SWAHILI NEWS

Papa mpya anachaguliwa vipi?

MUKSINIApril 22, 2025

Mwanaume yeyote Mkatoliki aliyebatizwa anaweza kuchaguliwa kuwa Papa. Hata hivyo, kazi hiyo kikawaida huenda kwa mmoja wa maofisa wakuu katika…

SWAHILI NEWS

Kwa nini Simba SC ya Tanzania imeshinda kwa ‘kufungwa’ Zanzibar?

MUKSINIApril 21, 2025

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch kwenye nusu fainali ya Kombe la shirikisho CAF, umegeuka kuwa tahadhari kubwa

SWAHILI NEWS

Papa Francis afariki akiwa na umri wa miaka 88, Vatican inasema

MUKSINIApril 21, 2025

Muda mfupi uliopita, Mwadhama, Kardinali Farrell, alitangaza kwa masikitiko kifo cha Baba Mtakatifu Francis

SWAHILI NEWS

China yazionya nchi nyingine dhidi ya kuingia mikataba ya kibiashara na Marekani

MUKSINIApril 21, 2025

Beijing itapinga vikali nchi yoyote kuingia katika makubaliano kwa gharama ya kuathiri uchumi wa China, na “itachukua hatua za kukabiliana…

SWAHILI NEWS

Unapaswa kufanya nini unapokutana na simba?

MUKSINIApril 21, 2025

Shambulizi la simba hivi majuzi nchini Kenya limesababisha msichana wa gredi ya saba kuuawa huku serikali ikiendelea kumsaka simba huyo.

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Liverpool na Manchester United zinamuwania winga wa RB Leipzig Xavi Simons

MUKSINIApril 21, 2025

Liverpool inakaribia kufanya mazungumzo kuhusu mustakabali wa Luis Diaz, Ibrahima Konate na Diogo Jota, na Moise Kean anaweza kusalia Fiorentina…

SWAHILI NEWS

Mtakatifu Mary wa Misri: Aliishi uchi jangwani kwa miaka 47

MUKSINIApril 20, 2025

Mary wa Misri au Mtakatifu Mary wa Misri, inasemekana aliishi Misri karne ya 4, alikuwa tayari amepata utakatifu katika baadhi…

SWAHILI NEWS

Waumini wa Kikiristo washerehekea Jumapili ya Pasaka

MUKSINIApril 20, 2025

Kulingana na Imani ya dini ya Kikiristo, ulimwengu unafurahia ushindi wa Kristo juu ya dhambi na mauti.

SWAHILI NEWS

Je, Uganda ndio yenye mashabiki kindakindaki wa Arsenal duniani?

MUKSINIApril 20, 2025

Vilabu vya England, vina mashabiki kote Uganda. Hadi kupitia makundi ya WhatsApp ili kuendeleza mijadala zaidi. Lakini mashabiki wa Arsenal…

SWAHILI NEWS

Kipi kinatishia ‘kufeli’ kwa mazungumzo kati ya Iran na Marekani

MUKSINIApril 20, 2025

Maafisa wa Iran na Marekani wamekubali kuendelea na duru ya tatu ya mazungumzo ya juu ya mpango mpya wa nyuklia.

SWAHILI NEWS

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Man Utd wanafikiria uhamisho wa Rashford na Watkins

MUKSINIApril 20, 2025

Manchester United wanafikiria kuwa na mpango wa kubadilishana wachezaji utakaomhusisha Marcus Rashford na Ollie Watkins, Alexander Isak anatazamiwa kusalia Newcastle…

SWAHILI NEWS

Simba vs Stellenbosch: Vita ya utamaduni, ndoto na uhalisia Zanzibar

MUKSINIApril 19, 2025

Ni nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CAF, inayokwenda kuandika historia kwa pande zote

SWAHILI NEWS

Unajua unavyozeeka? Fahamu njia rahisi ya kujua namna unavyozeeka

MUKSINIApril 19, 2025

Karibu 30% ya watu zaidi ya umri wa miaka 65 huanguka kila mwaka, na idadi hiyo inaongezeka hadi karibu 50%…

SWAHILI NEWS

Marekani yatishia kujiondoa mazungumzo ya amani ya Ukraine

MUKSINIApril 19, 2025

Hatua hi inakuja wakati mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yakiendelea, na hakuna dalili zozote za kusitisha licha ya juhudi…

SWAHILI NEWS

Mzozo wa Elon Musk na Afrika Kusini juu ya Starlink

MUKSINIApril 18, 2025

Ili kufanya kazi nchini Afrika Kusini, Starlink inahitaji kupata mtandao na leseni, ambazo zote zinapaswa umiliki wa 30% uende kwa…

SWAHILI NEWS

China ‘yaipiga pabaya’ Marekani yatumia madini adimu kama silaha

MUKSINIApril 18, 2025

Madini adimu ni kundi la madini 17 yenye mfanano wa kikemikali ambazo ni muhimu sana katika utengenezaji wa bidhaa nyingi…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us