Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

Baada ya Wazayuni kueneza uvumi wa kipuuzi, hatimaye Jenerali Qaani ajitokeza hadharani
SWAHILI NEWS

Baada ya Wazayuni kueneza uvumi wa kipuuzi, hatimaye Jenerali Qaani ajitokeza hadharani

MUKSINIOctober 15, 2024

Brigedia Jenerali Ismael Qaani, Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran…

Iran: Tutaendeleza jitihada za kidiplomasia hadi Israel ikomeshe jinai zake
SWAHILI NEWS

Iran: Tutaendeleza jitihada za kidiplomasia hadi Israel ikomeshe jinai zake

MUKSINIOctober 15, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, ataendelea kutembelea miji mikuu ya nchi mbalimbali na kuzungumza na viongozi…

Maduro: Benjamin Netanyahu ni zimwi lililotengenezwa na Marekani
SWAHILI NEWS

Maduro: Benjamin Netanyahu ni zimwi lililotengenezwa na Marekani

MUKSINIOctober 15, 2024

Mapema leo asubuhi Rais wa Venezuela amemshambulia vikali waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kutokana na…

Volkano ya Mlima Nyamulagira DRC yaripuka tena
SWAHILI NEWS

Volkano ya Mlima Nyamulagira DRC yaripuka tena

MUKSINIOctober 15, 2024

Volkano ya Mlima Nyamulagira, ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ilianza kuripuka tena tangu Jumamosi na hadi…

DRC yarefusha ushirikiano wa kijeshi na Uganda kupambana na waasi wa ADF
SWAHILI NEWS

DRC yarefusha ushirikiano wa kijeshi na Uganda kupambana na waasi wa ADF

MUKSINIOctober 15, 2024

Rais FĂ©lix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amethibitisha uamuzi wa nchi yake ya kuendeleza ushirikiano wa kijeshi kati…

Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon
SWAHILI NEWS

Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon

MUKSINIOctober 15, 2024

Rais wa Afrika Kusini jana aliwataka vingozi wa nchi mbalimbali duniani kuushinikiza utawala wa Israel ili kusitisha mashambulizi yake katika…

Bloomberg: Mashambulio ya makombora ya Iran dhidi ya Israel yalisababisha uharibifu mkubwa
SWAHILI NEWS

Bloomberg: Mashambulio ya makombora ya Iran dhidi ya Israel yalisababisha uharibifu mkubwa

MUKSINIOctober 15, 2024

Kituo cha habari cha Bloomberg kimekadiria uharibifu uliosababishwa wa nyumba na mali binafsi huko Israel wakati wa shambulio la hivi…

Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina
SWAHILI NEWS

Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina

MUKSINIOctober 15, 2024

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani operesheni za mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzitaja hatua…

Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na Lebanon

MUKSINIOctober 15, 2024

Umoja wa Mataifa umesisitizia wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini Lebanon na katika Ukanda wa Gaza kama njia moja ya…

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa usalama
SWAHILI NEWS

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zakubaliana kuhusu mpango wa usalama

MUKSINIOctober 15, 2024

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimetia saini mpango wa usalama wa mashariki mwa DRC ambao hatimaye unaweza kuondolewa…

Ulazima wa kuwekewa vikwazo na kufukuzwa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa
SWAHILI NEWS

Ulazima wa kuwekewa vikwazo na kufukuzwa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa

MUKSINIOctober 15, 2024

Wigo wa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni huko Gaza na kupanuka jinai hizo hadi Lebanon, jambo ambalo linakinzana…

‘Hizbullah iko katika mkao wa vita, siku ngumu zinaisubiri Israel’
SWAHILI NEWS

‘Hizbullah iko katika mkao wa vita, siku ngumu zinaisubiri Israel’

MUKSINIOctober 14, 2024

Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameuonya utawala haramu Israel kuhusu…

Spika wa Bunge la Iran ataka Umoja wa Mabunge dunia ulaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza, Lebanon
SWAHILI NEWS

Spika wa Bunge la Iran ataka Umoja wa Mabunge dunia ulaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza, Lebanon

MUKSINIOctober 14, 2024

Spika wa Bunge la Iran Mohammad Baqer Qalibaf anasema nchi wanachama wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) zinapaswa kuwa na…

Kushindwa Wazayuni kukabiliana na oparesheni za kibunifu za Hizbullah ya Lebanon
SWAHILI NEWS

Kushindwa Wazayuni kukabiliana na oparesheni za kibunifu za Hizbullah ya Lebanon

MUKSINIOctober 14, 2024

Shambulio la ubunifu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon katika makao makuu ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni…

Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon

MUKSINIOctober 14, 2024

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa…

Wanajeshi wa Kizayuni waangamizwa Gaza na wanamuqawama wa HAMAS
SWAHILI NEWS

Wanajeshi wa Kizayuni waangamizwa Gaza na wanamuqawama wa HAMAS

MUKSINIOctober 14, 2024

Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na kujeruhiwa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la…

Iran kutumia diplomasia amilifu kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Iran kutumia diplomasia amilifu kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni

MUKSINIOctober 14, 2024

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, diplomasia amilifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…

Katibu Mkuu wa UN aionya Israel: Kushambulia askari wa UNIFIL inaweza ikawa jinai ya kivita
SWAHILI NEWS

Katibu Mkuu wa UN aionya Israel: Kushambulia askari wa UNIFIL inaweza ikawa jinai ya kivita

MUKSINIOctober 14, 2024

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba, kuwashambulia walinda amani wa umoja…

Spoti, Oktoba 14
SWAHILI NEWS

Spoti, Oktoba 14

MUKSINIOctober 14, 2024

Hujambo msikilizaji mpendwa na hususan ashiki wa habari na za spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo…

Israel yateketeza mahema kwenye Hospitali ya Ghaza na kuwachoma moto Wapalestina wakiwa hai
SWAHILI NEWS

Israel yateketeza mahema kwenye Hospitali ya Ghaza na kuwachoma moto Wapalestina wakiwa hai

MUKSINIOctober 14, 2024

Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi katika eneo la kati la Ukanda wa…

Iran yatoa onyo: Marekani inahatarisha maisha ya askari wake kwa kuwapeleka Israel
SWAHILI NEWS

Iran yatoa onyo: Marekani inahatarisha maisha ya askari wake kwa kuwapeleka Israel

MUKSINIOctober 14, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani dhidi ya kupeleka wanajeshi…

Hizbullah: Israel imemimina mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada kusini mwa Lebanon
SWAHILI NEWS

Hizbullah: Israel imemimina mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada kusini mwa Lebanon

MUKSINIOctober 14, 2024

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umemimina “makombora yaliyosheheni mabomu ya vishada”…

Mshindi wa Nobel: Hali ya watoto wa Ghaza ni kama ya wa Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia
SWAHILI NEWS

Mshindi wa Nobel: Hali ya watoto wa Ghaza ni kama ya wa Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia

MUKSINIOctober 14, 2024

Kundi la Nihon Hidankyo, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2024 limesema, hali ya watoto katika Ukanda wa…

Makumi ya wanajeshi wa Israel wauawa, kujeruhiwa; Hizbullah yapiga kambi ya jeshi huko Haifa
SWAHILI NEWS

Makumi ya wanajeshi wa Israel wauawa, kujeruhiwa; Hizbullah yapiga kambi ya jeshi huko Haifa

MUKSINIOctober 14, 2024

Mujahidina wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon wamefanya mashambulizi makali dhidi ya vituo vya kijeshi na maeneo ya utawala wa…

Jumatatu tarehe 14 Oktoba 2024
SWAHILI NEWS

Jumatatu tarehe 14 Oktoba 2024

MUKSINIOctober 14, 2024

Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Sita Rabiuthani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Oktoba 2024. Miaka 1245 iliyopita inayosadifiana na…

SWAHILI NEWS

Pasaka: Ni nini na huadhimishwaje?

MUKSINIApril 7, 2023

Inaashiria Yesu kufufuka kutoka kwa wafu, baada ya kufa msalabani.

Posts navigation

Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us