Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran
SWAHILI NEWS

Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran

MUKSINIOctober 18, 2024

Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel na kuutaka usijaribu hata kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran. Shirika la…

AU yakabidhi kambi 6 za kijeshi kwa vikosi vya Somalia
SWAHILI NEWS

AU yakabidhi kambi 6 za kijeshi kwa vikosi vya Somalia

MUKSINIOctober 18, 2024

Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimekabidhi rasmi kambi ya kijeshi ya Kuday kwa vikosi vya…

UN: Watu bilioni 1 wanaishi katika umaskini wa kupindukia
SWAHILI NEWS

UN: Watu bilioni 1 wanaishi katika umaskini wa kupindukia

MUKSINIOctober 18, 2024

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, zaidi ya watu bilioni moja wanaishi katika umaskini mkubwa, na karibu nusu…

Cairo, hatua ya nane ya safari ya kieneo ya Araghchi
SWAHILI NEWS

Cairo, hatua ya nane ya safari ya kieneo ya Araghchi

MUKSINIOctober 18, 2024

Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Cairo, mji mkuu wa Misri,…

Umoja wa Mataifa yaonya kuhusu Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
SWAHILI NEWS

Umoja wa Mataifa yaonya kuhusu Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza

MUKSINIOctober 17, 2024

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unazuia misaada ya kibinadamu kuingia…

Meja Jenerali Salami: Wazayuni wakifanya kosa, jibu letu litakuwa la kuumiza sana
SWAHILI NEWS

Meja Jenerali Salami: Wazayuni wakifanya kosa, jibu letu litakuwa la kuumiza sana

MUKSINIOctober 17, 2024

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (SEPAH) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel…

Tanzania yatakiwa kuheshimu haki za binadamu kuelekea uchaguzi serikali za mitaa
SWAHILI NEWS

Tanzania yatakiwa kuheshimu haki za binadamu kuelekea uchaguzi serikali za mitaa

MUKSINIOctober 17, 2024

Shirika la kimatatifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Tanzania kulinda haki za binadamu…

Idadi ya waliokufa katika mlipuko wa lori la mafuta Nigeria yafikia 150
SWAHILI NEWS

Idadi ya waliokufa katika mlipuko wa lori la mafuta Nigeria yafikia 150

MUKSINIOctober 17, 2024

Idadi ya watu waliopoteza maisha baada ya lori la mafuta kuripuka na kusababisha moto mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka…

Jeshi la Rwanda lapinga madai ya kuwabaka wanawake Jamhuri ya Afrika ya Kati
SWAHILI NEWS

Jeshi la Rwanda lapinga madai ya kuwabaka wanawake Jamhuri ya Afrika ya Kati

MUKSINIOctober 17, 2024

Jeshi la Rwanda limekanusha madai ya ubakaji dhidi ya wanajeshi wake wanaohudumu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), likisema…

Rais wa Iran: Moto wa vita wa Wazayuni ukomeshwe kwa kuwashinikiza wanaowaunga mkono
SWAHILI NEWS

Rais wa Iran: Moto wa vita wa Wazayuni ukomeshwe kwa kuwashinikiza wanaowaunga mkono

MUKSINIOctober 17, 2024

Rais wa Iran ametaka kushinikizwa waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni ili kusitisha moto wa vita na jinai za mauaji…

Araqchi: Enzi za Wazungu za sera ya “kugawa na kutawala” zimekwisha
SWAHILI NEWS

Araqchi: Enzi za Wazungu za sera ya “kugawa na kutawala” zimekwisha

MUKSINIOctober 17, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa zama za siasa habithi za kugawa na kutawala za Wazungu katika…

Wahanga wa mlipuko wa lori la mafuta Nigeria wazikwa kwa umati
SWAHILI NEWS

Wahanga wa mlipuko wa lori la mafuta Nigeria wazikwa kwa umati

MUKSINIOctober 17, 2024

Maafisa wa serikali za mitaa kaskazini mwa Nigeria jana waliungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya maziko ya umati…

Iran yashinda idadi kubwa ya medali katika olimpiadi za kisayansi
SWAHILI NEWS

Iran yashinda idadi kubwa ya medali katika olimpiadi za kisayansi

MUKSINIOctober 17, 2024

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio ya sayansi na teknolojia nchini…

Ujenzi wa “nyumba zinazohamishika” huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kuhofia makombora ya Hizbullah ya Lebanon
SWAHILI NEWS

Ujenzi wa “nyumba zinazohamishika” huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kuhofia makombora ya Hizbullah ya Lebanon

MUKSINIOctober 17, 2024

Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutengeneza nyumba zinazohamishika kutokana na wasi wasi wa kuenea mashambulizi ya makombora ya Hizbullah…

Misri na Uhispania zatoa wito mpya wa kusitishwa mapigano Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Misri na Uhispania zatoa wito mpya wa kusitishwa mapigano Gaza na Lebanon

MUKSINIOctober 17, 2024

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Uhispania walitoa wito huo jana Jumatano wakitaka kusitishwa mapigano mara moja huko…

Askari 7 wa Israel waangamizwa, 49 wajeruhiwa katika mapigano na wanamuqawama wa Hizbullah
SWAHILI NEWS

Askari 7 wa Israel waangamizwa, 49 wajeruhiwa katika mapigano na wanamuqawama wa Hizbullah

MUKSINIOctober 17, 2024

Askari wasiopungua saba wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kuangamizwa katika mapigano na harakati ya Muqawama ya…

Waziri wa Ulinzi wa Iran: Mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya
SWAHILI NEWS

Waziri wa Ulinzi wa Iran: Mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya

MUKSINIOctober 17, 2024

Waziri wa Ulinzi wa Iran ameeleza kuwa mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya na kwamba Iran…

Wizara ya Mazingira Kenya kuwafurusha waishio pembezoni mwa mito
SWAHILI NEWS

Wizara ya Mazingira Kenya kuwafurusha waishio pembezoni mwa mito

MUKSINIOctober 17, 2024

Waziri wa mazingira na maliasili wa Kenya, Aden Duale amesema kuwa serikali itaendeleza mpango wake wa kuwahamisha watu wanaoishi kando…

Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani
SWAHILI NEWS

Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

MUKSINIOctober 17, 2024

Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mkutano wa Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Pakistan…

Lebanon yawasilisha malalamiko mapya dhidi ya Israel kwa Baraza la Usalama
SWAHILI NEWS

Lebanon yawasilisha malalamiko mapya dhidi ya Israel kwa Baraza la Usalama

MUKSINIOctober 17, 2024

Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imesema kuwa imewasilisha malalamiko yake mapya kwa Baraza la Usalama la UN kuhusu…

Alkhamisi, tarehe 17 Oktoba, 2024
SWAHILI NEWS

Alkhamisi, tarehe 17 Oktoba, 2024

MUKSINIOctober 17, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe 17 Oktoba 2024. Siku kama ya leo miaka 1227 iliyopita…

Jumatano, tarehe 16 Oktoba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumatano, tarehe 16 Oktoba, 2024

MUKSINIOctober 16, 2024

Leo ni Jumatano tarehe 12 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na Oktoba 16 mwaka 2024. Siku kama ya leo…

Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
SWAHILI NEWS

Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

MUKSINIOctober 16, 2024

White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba…

Mamia ya watu wajitokeza kwenye maziko ya kamanda wa Muqawama, Mash-had Iran + Picha
SWAHILI NEWS

Mamia ya watu wajitokeza kwenye maziko ya kamanda wa Muqawama, Mash-had Iran + Picha

MUKSINIOctober 16, 2024

Mamia ya watu wa matabaka mbalimbali Jumanne, Oktoba 15, 2024 walijitokeza kwa wingi katika maziko ya kamanda wa Muqawama, shahidi…

Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajiteteea kwa nguvu zote + Video
SWAHILI NEWS

Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajiteteea kwa nguvu zote + Video

MUKSINIOctober 16, 2024

Wabunge wa nchi mbalimbali duniani wameususia utawala wa Kizayuni na kutoka nje ya ukumbi wakipiga nara za ukombozi wa Palestina…

Iran yaonya kuhusu chokochoko mpya za Wazayuni
SWAHILI NEWS

Iran yaonya kuhusu chokochoko mpya za Wazayuni

MUKSINIOctober 16, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Ufaransa na…

Israel imefanya kosa kubwa la kiistratijia kuua kigaidi makamanda wa Muqawama
SWAHILI NEWS

Israel imefanya kosa kubwa la kiistratijia kuua kigaidi makamanda wa Muqawama

MUKSINIOctober 16, 2024

Balozi wa Iran nchini Lebanon amesema kuwa, jinai ya utawala wa Kizayuni ya kuwaua kigaidi makamanda wa Muqawama ni kosa…

Rais wa Angola atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel Lebanon na Palestina
SWAHILI NEWS

Rais wa Angola atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel Lebanon na Palestina

MUKSINIOctober 16, 2024

Rais Joao Lourenco wa Angola ametoa mwito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Lebanon na Palestina na kusisitizia…

Lori la mafuta laripuka na kuua watu 90 kaskazini magharibi mwa Nigeria
SWAHILI NEWS

Lori la mafuta laripuka na kuua watu 90 kaskazini magharibi mwa Nigeria

MUKSINIOctober 16, 2024

Takriban watu 90 wamepoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kuripuka na kusababisha moto mkubwa kaskazini…

Umoja wa Mataifa: Mamilioni ya watu wameathiriwa na njaa kusini mwa Afrika
SWAHILI NEWS

Umoja wa Mataifa: Mamilioni ya watu wameathiriwa na njaa kusini mwa Afrika

MUKSINIOctober 16, 2024

Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, mamilioni ya watu wako katika ukingo wa kutumbukia…

Iran yamwita balozi wa Hungary kulalamikia vikwazo vipya vya EU
SWAHILI NEWS

Iran yamwita balozi wa Hungary kulalamikia vikwazo vipya vya EU

MUKSINIOctober 16, 2024

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Hungary mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko makali ya Jamhuri ya…

Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika
SWAHILI NEWS

Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika

MUKSINIOctober 16, 2024

Mwanaharakati na mwanamajimui mashuhuri wa kupinga ukoloni mamboleo barani Afrika, Stellio Gilles Robert Capo Chichi, maarufu kama Kemi Seba, amekamatwa…

Qatar: Hatutaruhusu ardhi, anga yetu zitumike kushambulia majirani
SWAHILI NEWS

Qatar: Hatutaruhusu ardhi, anga yetu zitumike kushambulia majirani

MUKSINIOctober 16, 2024

Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake kamwe haitaruhusu Kambi ya Anga…

Mashambulio makali ya makombora ya Hizbullah kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
SWAHILI NEWS

Mashambulio makali ya makombora ya Hizbullah kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)

MUKSINIOctober 16, 2024

Leo Jumatano alfajiri vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza mashambulizi ya makombora kutoka kusini mwa Lebanon katika mji…

Waandamanaji mashariki mwa DRC walaani hatua ya Rwanda kufanya mazungumzo na waasi wa M23
SWAHILI NEWS

Waandamanaji mashariki mwa DRC walaani hatua ya Rwanda kufanya mazungumzo na waasi wa M23

MUKSINIOctober 16, 2024

Nyimbo na nara za wakazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi aya Congo zimedhihirisha wazi hasira yao dhidi ya hatua…

Wapalestina 55 wauawa katika mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza
SWAHILI NEWS

Wapalestina 55 wauawa katika mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza

MUKSINIOctober 16, 2024

Mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya Gaza, ikiwemo Jabalia kaskazini mwa Gaza, yamesababisha vifo vya Wapalestina 55…

UN: Aghalabu ya waliouawa katika mashambulizi ya Israel Lebanon ni wanawake na watoto
SWAHILI NEWS

UN: Aghalabu ya waliouawa katika mashambulizi ya Israel Lebanon ni wanawake na watoto

MUKSINIOctober 16, 2024

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa imesema ripoti zinaonyesha wengi wa wahasiriwa wa mashambulio…

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah asema Israel ni tishio la kweli kwa dunia
SWAHILI NEWS

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah asema Israel ni tishio la kweli kwa dunia

MUKSINIOctober 16, 2024

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ameonya kuwa sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za…

OIC yalaani jinai za Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
SWAHILI NEWS

OIC yalaani jinai za Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza

MUKSINIOctober 16, 2024

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mwenendo wa kushadidi jinai za kivita za utawala haramu wa Israel dhidi…

Hizbullah yatungua ndege ya kivita ya Israel isiyo na rubani
SWAHILI NEWS

Hizbullah yatungua ndege ya kivita ya Israel isiyo na rubani

MUKSINIOctober 16, 2024

Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wameiangusha ndege ya kivita isiyo na rubani ya jeshi katili la…

Umoja wa Umma wa Kiislamu, siri ya ushindi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
SWAHILI NEWS

Umoja wa Umma wa Kiislamu, siri ya ushindi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

MUKSINIOctober 16, 2024

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuleza kuwa Iran iko tayari kusaidia kujenga maelewano ya…

Rais wa Iran ashiriki katika mazishi Shahidi Nilforoushan mjini Tehran
SWAHILI NEWS

Rais wa Iran ashiriki katika mazishi Shahidi Nilforoushan mjini Tehran

MUKSINIOctober 15, 2024

Rais wa Iran amehudhuria hafla ya mazishi ya jenerali aliyeuawa shahidi Abbas Nilforoushan, mshauri wa ngazi za juu wa kijeshi…

Kongamano la Chakula Ulimwenguni lafunguliwa kwa wito wa kuunda mifumo jumuishi ya chakula
SWAHILI NEWS

Kongamano la Chakula Ulimwenguni lafunguliwa kwa wito wa kuunda mifumo jumuishi ya chakula

MUKSINIOctober 15, 2024

Kongamano la Chakula Ulimwenguni lilianza Jumatatu huko Roma chini ya mada, ‘Chakula kizuri kwa wote, leo na kesho.’ Mkuu wa…

Kuendelea safari ya kieneo ya Araghchi; kutumia njia mbili za vita na za kidiplomasia
SWAHILI NEWS

Kuendelea safari ya kieneo ya Araghchi; kutumia njia mbili za vita na za kidiplomasia

MUKSINIOctober 15, 2024

Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumatatu ya jana aliwasili Muscat, mji mkuu…

Trump amsifu shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
SWAHILI NEWS

Trump amsifu shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani

MUKSINIOctober 15, 2024

Rais wa zamani wa Marekani na mgombeaji wa uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo amesema kuwa, Luteni Jenerali Qassem…

Uwepo wa Wamarekani katika kambi za kijeshi za utawala wa Israel
SWAHILI NEWS

Uwepo wa Wamarekani katika kambi za kijeshi za utawala wa Israel

MUKSINIOctober 15, 2024

Gazeti la The Guardian, linalochapishwa mjini London, limeripoti kuwepo kwa maafisa wa Marekani katika mikutano ya kila siku inayofanyika katika…

Marekani yaridhika tu kwa kuelezea kusikitishwa kwake na kuchomwa moto mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza
SWAHILI NEWS

Marekani yaridhika tu kwa kuelezea kusikitishwa kwake na kuchomwa moto mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza

MUKSINIOctober 15, 2024

Baraza la Usalama la Taifa la Marekani limeeleza tu wasiwasi na masikitiko yake kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi…

Jumanne, tarehe 15 Oktoba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumanne, tarehe 15 Oktoba, 2024

MUKSINIOctober 15, 2024

Leo ni Jumanne 11 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 15 Oktoba 2024. Siku kama ya leo miaka…

Baada ya Wazayuni kueneza uvumi wa kipuuzi, hatimaye Jenerali Qaani ajitokeza hadharani
SWAHILI NEWS

Baada ya Wazayuni kueneza uvumi wa kipuuzi, hatimaye Jenerali Qaani ajitokeza hadharani

MUKSINIOctober 15, 2024

Brigedia Jenerali Ismael Qaani, Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran…

Iran: Tutaendeleza jitihada za kidiplomasia hadi Israel ikomeshe jinai zake
SWAHILI NEWS

Iran: Tutaendeleza jitihada za kidiplomasia hadi Israel ikomeshe jinai zake

MUKSINIOctober 15, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, ataendelea kutembelea miji mikuu ya nchi mbalimbali na kuzungumza na viongozi…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us