Iran yakanusha kuhusika na shambulio la droni lililolenga makazi ya Netanyahu
Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema, shambulio la ndege isiyo na rubani…
Mizozo ya kijeshi duniani
Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema, shambulio la ndege isiyo na rubani…
Katika kuendeleza operesheni zake za kuzuia hujuma, Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio makali ya makombora na mizingia yaliyolenga ngome za…
Wapalestina wasiopungua 81 wameuawa shahidi katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye…
Hassan Mneimneh, mchambuzi wa kisiasa wa Taasisi ya Mashariki ya Kati, ameiambia Al Jazeera kwamba ukatili unyama na unaofanywa na…
Russia itawasilisha pendekezo lake la mfumo mpya wa fedha wa kimataifa kwa mataifa mengine wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya…
Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Senegal, Dakar, siku ya Jumamosi kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel…
Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje za Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, damu…
Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa majeshi ya nchi hiyo kujizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita, siku…
Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amelaani vikali mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yaliyofanywa na vikosi vya jeshi…
Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi Yahya al Sinwar, Kiongozi wa Harakati ya…
Leo ni Jumapili 16 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 20 Oktoba 2024 Miladia. Siku kama ya leo miaka…
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa kuchunguza haki ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza amesema, uhuru wa maoni na…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezindua mtambo wake wa maroketi wa M80 maalumu kwa kurushia maroketi ya…
Bwana Elvino Dias, wakili wa mgombea wa uchaguzi wa rais uliopita nchini Msumbiji ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa…
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Majeshi ya Majini ya nchi za Kandokando ya Bahari ya Hindi (IONS) ), “IMEX 2024,”…
Ndege ya kivita isiyo na rubani ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelenga makazi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin…
Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen huku nchi hizo mbili zikiunga…
Polisi wa Uingereza wanaopambana na ugaidi wamevamia nyumba ya mwandishi wa habari za uchunguzi na mtafiti, Asa Winstanley, Kaskazini mwa…
Jeshi la Nigeria limewaua magaidi 101 katika wiki iliyopita katika operesheni zilizowalenga magaidi wa makundi ya Boko Haram, Jimbo la…
Yayha Sinwar, Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameuawa shahidi na Wazayuni katika hali ambayo amepigana…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wajibu wa kukomesha uwepo haramu wa Israel katika…
Vijana wa Iraq waliokuwa na hasira wamechoma moto ofisi ya MBC ya Saudi Arabia mjini Baghdad baada ya kituo hicho…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mauaji ya kigaidi ya viongozi na makamanda wa kambi ya Muqawama hayatadhoofisha mapambano ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya…
Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema harakati hiyo inayopigania ukombozi wa…
Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa kitendo chochote cha kuwahamisha…
Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amekosoa uingiliaji kati wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa…
Bunge la Uingereza limetangaza kuwa zaidi ya wanajeshi 4,400 wamejiuzulu katika jeshi la nchi hiyo. Bunge la Uingereza limetangaza kuwa,…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) jana Ijumaa lilionya kuwa zaidi ya watu milioni tatu wako katika…
Katika taarifa ya mwisho ya mkutano wa 23 huko Islamabad, mji mkuu wa Pakistan, viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya…
Leo ni Jumamosi 15 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 19 Oktoba 2024 Miladia. Miaka 243 iliyopita katika siku inayofanana…
Leo ni Ijumaa tarehe 14 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na 18 Oktoba 2024. Siku kama ya leo miaka…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa salamu za rambirambi kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya…
Waziri wa Jihad ya Kilimo wa Iran ametangaza kuwa ushirikiano kati ya Iran na Tanzania utaendelezwa katika nyanja za kilimo,…
Bara la Afrika wiki iliyopita lilisajili vifo vipya 50 vilivyosababishwa na ugonjwa wa virusi wa Mpox na hivyo kufanya idadi…
Mahakama Kuu nchini Kenya leo imetoa amri ya muda ya kusimamisha kubadilishwa kwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.…
Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amethibitisha kuwa kiongozi wa harakati hiyo,…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeshindwa na kuangamizwa kistratijia. Hujjatul Islam Walmuslimin…
Juhudi za jeshi la utawala wa Kizayuni za kujaribu kuingia katika ardhi ya Lebanon zimeshindwa na kuusababishia hasara na maafa…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa baraka za damu za mashahidi Palestina ni suala…
Afrika Kusini imetangaza azma yake ya kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilisha dhidi ya utawala ghasibu wa Israel katika…
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai na uvamizi wote wa utawala haramu…
Maelfu ya wananchi wa Jordan na Uturuki wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.…
Mapigano kati ya vikosi vya shirikisho vya Ethiopia na wanamgambo kaskazini magharibi mwa nchi hiyo yamewaweka katika hatari kubwa wakimbizi…
Baraza la Seneti nchini Kenya limeidhinisha uamuzi wa kumuondoa madarakani Naibu Rais wa nchi hiyo Rigathi Gachagua. Jana Baraza la…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Abdel Fattah…
Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel na kuutaka usijaribu hata kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran. Shirika la…
Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimekabidhi rasmi kambi ya kijeshi ya Kuday kwa vikosi vya…
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, zaidi ya watu bilioni moja wanaishi katika umaskini mkubwa, na karibu nusu…