Jumatano, tarehe 23 Oktoba, 2024
Leo ni Jumatano tarehe 19 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 23 Oktoba 2024. Miaka 152 iliyopita, aliaga dunia…
Mizozo ya kijeshi duniani
Leo ni Jumatano tarehe 19 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 23 Oktoba 2024. Miaka 152 iliyopita, aliaga dunia…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi za Ulaya na Marekani zimeupatia silaha kwa nguvu zote utawala wa…
Rais William Ruto wa Kenya ameiomba Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi kadhaa za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua kama Naibu…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya kufanya mahesabu mabaya na kusisitiza kuwa,…
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya wamebaini “kubadilishwa bila sababu” kwa baadhi ya matokeo katika uchaguzi mkuu wa Msumbiji,…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua madhubuti zinapasa kuchukuliwa ili kushughulikia mabadiliko ya tabianchi, migogoro na umaskini…
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesimamisha kwa muda shughuli zake katika jimbo la Djibo kaskazini mwa Burkina Faso…
Mkutano wa 16 wa wakuu wa Jumuiya ya Kiuchumi ya BRICS umeanza leo katika mji wa Kazan nchini Russia. Rais…
Jeshi la Kizayuni limeshambulia kwa makombora raia wanaoishi katika kambi ya Jabalia na kulenga nyumba moja kaskazini mwa Gaza na…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imefanya shambulizi kali la makombora dhidi ya kambi ya kijasusi ya kijeshi ya…
Baada ya kukosekana kwa muda wa wiki 6 na kusababisha wasiwasi juu ya afya yake na mahali alipo, Rais Paul…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Rais Joe…
Wizara ya Ulinzi ya Somalia imesema kwamba, jeshi la nchi hiyo likisaidiwa na washirika wa ndani na wa kimataifa, limefanya…
Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekadhibisha madai kwamba, Katibu Mkuu wa kundi hilo la Muqawama ameuawa katika shambulio la…
Makao Makuu ya jeshi la Kuwait yamekanusha uvumi kwamba yanahamisha silaha kutoka kambi za kijeshi ndani ya nchi hiyo na…
Leo ni Jumanne tarehe 18 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe 22 Oktoba 2024. Siku kama ya leo miaka 844 iliyopita,…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na makundi mengine ya Muqawama ya Palestina yanaendeleza mapambano dhidi ya utawala…
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ameyataka mataifa jirani na Iran ya Ghuba ya Uajemi yasidanganyike na vishawishi vya…
Khalid Mash’al, afisa mwandamizi na Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS nje ya Gaza amesema kuwa,…
Wapiganaji wa kundi la waasi la M23 wameuteka mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi na kusonga mbele hadi wilaya jirani…
Ghasia zilizoibuka baada ya uchaguzi nchini Msumbiji jana Jumatatu ziliendelea kuikumba nchi hiyo huku miito ya utulivu ikitolewa. Vyombo vya…
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amelitolea wito kundi la BRICS kuwekeza katika maendeleo ya bara la Afrika kwa kuzingatia…
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat leo Jumatatu amelaani mauaji ya viongozi wawili wa upinzani nchini Msumbiji na…
Naibu Kamanda wa Uratibu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesisitiza…
Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ameyataja…
Wananchi wa Misri mitandaoni wamefurahishwa na kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran cha kuagiza chakula katika mkahawa…
Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imeyashambulia kwa makombra maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni na kuwajeruhi wanajeshi 15…
Hati ya Maelewano (MoU) katika nyanja za viwanda na biashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Muungano wa…
Katika taarifa, Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kufanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika maeneo ya utawala wa…
Viongozi wa Algeria wameamua kufutilia mbali leseni ya mtandao na televisheni ya al-Arabiya ya Saudi Arabia nchini humo kwa kupotosha…
Kamanda wa Kikosi cha 401 cha jeshi la Israel ameuawa na wanamuqawama wa Palestina kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, jeshi…
Tovuti ya habari ya Qatar, Middle East Monitor imeripoti kuwa Israel inajaribu kuanzisha kituo cha kijeshi huko Somaliland kwa lengo…
Miongoni mwa mistari myekundu ambayo Wazayuni wamepuuza na kuvuka katika mashambulizi ya kikatili na ya kinyama huko Gaza na Lebanon…
Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali undumakuwili wa utawala haramu wa Israel na Marekani akisisitiza kuwa, Wamagharibi wakiongozwa na…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha Israel cha kumuuwa kikatili mwanamke wa Kiirani…
Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa, Rigathi Gachagua amedai kujiri majaribio mawili yaliyofeli ya kutaka kumuua mwezi Agosti na Septemba mwaka…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen ameeleza kuwa shahidi Yahya Sinwar Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya…
Sudan na Sudan Kusini jana Jumapili zilisisitizia haja ya kushughulikia vikwazo vinavyokwamisha juhudi za kuanzisha tena usafirishaji wa mafuta ya…
Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa Marekani inahusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina kaskazini mwa Ukanda…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi…
Leo ni Jumatatu tarehe 17 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na 21 Okktoba 2024 Milaadia. Siku kama ya leo…
Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu yamepelekea kuibuka vuta…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio lolote litakalofanywa na utawala wa Kizayuni…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) la Iran amesema kuwa, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi linapaswa…
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, kundi la BRICS litazalisha sehemu kubwa ya ukuaji wa uchumi wa dunia katika…
Chombo kimoja cha habari cha nchini Qatar kimenukuu duru zake na kusema kuwa, kuna uwezekano marais wa Iran na Misri…
Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, imeanzisha kampeni ya chanjo kwa ajili ya kuwafikia zaidi ya watu milioni 1.4…
Serikali ya Senegal imetangaza kuwa, mafuriko katika Mto wa Senegal yameathiri familia 774 zenye karibu watu 55,600 za nchi hiyo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu…