Ijumaa, Oktoba 25, mwaka 2024
Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Siba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na Oktoba 25 mwaka 2024. Siku kama ya leo…
Mizozo ya kijeshi duniani
Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Siba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na Oktoba 25 mwaka 2024. Siku kama ya leo…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jumuiya ya BRICS ikiwa na malengo yake makubwa imeweza…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kiigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Umoja wa Mataifa umo katika…
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeitahadhariisha dunia na kuuiitaka iepuke vita vya kibiashara. Kwa mujibu wa IMF uchumi wa…
Zaidi ya wanajeshi 70 wa Israel wameangamizwa na askari na maafisa zaidi ya 600 wamejeruhiwa katika shambulio la ardhini la…
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, idadi ya mihula ya urais haitabadilishwa, lakini wapinzani wake…
Ikiwa zimepita siku 32 tangu utawala wa Kizayuni uanzishe mashambulizi makubwa na ya pande zote dhidi ya Lebanon, lakini Tel…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ameuonya utawala wa Kizayuni “usijitie pepo mpumbavu” na kujidanganya…
Jeshi la utawala wa Kizayuni limetangaza kuwa, maeneo ya al Jalil ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu…
“Afrika Kusini na Palestina daima zitakuwa pamoja,” hiyo ni ahadi iliyotolewa na Rais Cyril Ramaphosa wakati alipoonana na Rais wa…
Katika hotuba zao za jana Jumatano, viongozi wa Afrika wanaohudhuria mkutano wa kilele wa mataifa ya BRICS nchini Russia walijikita…
Kwa mara nyingine tena waandamanaji waliomiminika mitaani huko Uingereza wameitaka nchi hiyo ya kifalme ambayo ni muungaji mkono mkubwa wa…
Idadi ya vifo vilivyotokana na mripuko wa lori la petroli wiki iliyopita katika jimbo la Jigawa la kaskazini mwa Nigeria…
Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika Makala yetu ya Wiki ambayo inahusu kumbukumbu ya shahidi Yahya Sinwar aliyekuwa Mkuu…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wamejadili njia za kuendeleza…
Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mengine makubwa huko Yemen Magharibi. Kanali ya Sahab imelinukuu shirika la…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao makuu ya Shirika la…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amemuenzi na kumpongeza kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela kutokana na jitihada…
Ndege za kijeshi za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu miji ya Damascus na Homs. Kwa mujibu wa kanali ya…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian na mwenzake wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi wamesisitiza kuwa uchokozi wa Israel katika Ukanda wa…
Sudan imezishutumu nchi za Magharibi kwa kuingiza siasa katika suala la misaada ya kibinadamu na kulilaumu jeshi la Sudan na…
Kuendelea vita vya Ukanda wa Gaza, kumeanika wazi zaidi udhaifu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani…
Rais Masoud Pezeshkian amesema uhusiano wa Iran na Russia ni “wa kimkakati na wenye manufaa makubwa.” Rais Pezeshkian aliyasema hayo…
Kitendo cha mwisho cha upinzani alichoonyesha kiongozi wa Hamas Shahidi Yahya Sinwar, kilichonaswa na kamera ya ndege isiyo na rubani…
Kiongozi mwandamizi wa chama kimoja cha upinzani nchini Cameroon amesema jumuiya ya BRICS ni mbadala halisi wa kuleta mlingano kwenye…
Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB limeshinda tuzo maalumu ya “Uhandisi wa Utangazaji” ya Umoja wa…
Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amewasilisha malalamiko yake kuhusu madai ya kuingilia uchaguzi wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kuthibitisha kuuawa shahidi Mkuu wake wa Baraza la…
Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Rabiuthanil 1446 Hijria sawa na tarehe 24 Oktoba 2024. Tarehe 24 Oktoba miaka 95 iliyopita ulianza…
Siku ya Jumanne, kabla ya kuondoka kwake nchini kwenda Russia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa BRICS katika mji…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, utawala wa Kizayuni umeshindwa katika njama yake ya kuuangamiza Muqawama licha ya kuua…
Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora kadhaa viwanja vya ndege vya Ben Gurion na Ramat David katika maeneo…
Katika mkutano muhimu wa kidiplomasia, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekutana na Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, ambapo wamejadili…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kundi la BRICS linabadilika na kuwa kambi mpya duniani. Abbas Araqchi…
Takriban raia 46 wameuawa huku wengine 44 wajeruhiwa katika siku mbili za mapigano kati ya jeshi la Sudan na Kikosi…
Licha ya juhudi za Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni za kuwarejesha walowezi wa Kizayuni kwenye vitongoji walivyojengewa lakini matokeo…
Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa…
Rais wa Iran, Massoud Bishikian, leo Jumatano atakutana na marais wa Russia, China Afrika Kusini na viongozi baadhi ya nchi…
Jeshi la Israel limetangaza kuwa naibu kamanda wa kikosi na mwanajeshi mmoja wameuawa na wengine 3 kujeruhiwa vibaya katika mapigano…
Baadhi ya vyombo vya habari vya Kenya vimeripoi kuwa, siasa za madai ya usaliti na njama za watu kuuawa zimeanza…
Mamia ya wasomi na wasanii wa Uhispania wameandika barua kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Pedro Sanchez, wakitaka kuwekwa vikwazo…
Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba iwapo Wazayuni watachukua “hatua…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limetangaza kuwa limefanikiwa kukomboa mji wa Kalembe ulioko katika mkoa wa Kivu…
Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu madai ya Imarati ya kumiliki visiwa vitatu…
Spika wa Bunge la Iran amezitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua kwa uratibu na kufanya kazi kwa ajili ya kuweka…
Kufichuliwa kwa faili la sauti ya rais wa Chuo Kikuu cha Michigan kunaonesha kuanzishwa sera za kibaguzi dhidi ya wanafunzi…
Vikosi vya jeshi la Yemen vimesema kuwa vimefanikiwa kuipiga kambi ya kijeshi ya Israel kwa kombora la hypersonic. Harakati ya…
Jarida la Marekani la “Foreign Affairs” limeandika katika ripoti yake kwamba, kuuawa shahidi Yahya al-Sinwar, sio tu kwamba hakutaiangamiza Hamas,…
Wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi wametahadharisha kuwa mgogoro wa hali ya hewa Afrika utawaelekeza katika umaskini watu wengine zaidi…
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limezitaka nchi za Ulaya kuuwekea vikwazo vya silaha utawala haramu wa Israel. Shirika…