India-Pakistan: Fahamu nguvu za kijeshi za ya mataifa haya yaliyo na mzozo
Mvutano huu ni sehemu ya mvutano wa muda mrefu ambao umegharimu maisha ya maelfu ya watu. Mizizi wa mvutano huu…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mvutano huu ni sehemu ya mvutano wa muda mrefu ambao umegharimu maisha ya maelfu ya watu. Mizizi wa mvutano huu…
The Gunners waongeza mkataba wa William Saliba, na mustakabali wa Emiliano Martinez Aston Villa iko shakani.
Kwa mujibu wa utafiti ambao daktari kote amegundua ni kuwa kugusa ardhi moja kwa moja kwa ngozi ya miguu husaidia…
Arsenal imewaacha mashabiki wake wakisononeka kwa hasira na machungu kwa mara nyingine tena.
Mji mkuu wa Ufaransa umeendelea kuwa mahali pa majonzi kwa timu hiyo ya London Kaskazini. Walifungwa na Barcelona katika fainali…
Kapteni Ibrahim Traoré mara kwa mara ameeleza wasiwasi wake kuhusu juhudi za mataifa ya kigeni kuingilia mambo ya ndani ya…
Huku Wakatoliki wakisubiri kuchaguliwa kiongozi mpya wa Kanisa lao, minong’ono inazidi kuongezeka kuhusu wapi atatoka duniani, huku baadhi wakisema kuwa…
Kuna makadinali 135 wenye vigezo vya kushiriki katika kumchagua Papa mpya.
Serikali ya India inasema vikosi vyake vimeanzisha “Operesheni Sindoor”, “kupiga miundombinu ya kigaidi” nchini Pakistani na Kashmir.
Marion aliingia kwenye ndoa akiwa na matumaini kuwa hali itakuwa nzuri, lakini mambo yalibadilika na kuanza kuona ndoa chungu.
Ingawa inaeleweka kuwa Papa Francis alikwenda mbali zaidi kuliko watangulizi wake katika kuwatambua waathiriwa na kurekebisha taratibu za ndani za…
Waziri wa ulinzi nchini Iran alizindua kwa mara nyengine tena kombora la masafa marefu lililoboreshwa.
Hamas yasema ‘hakuna maana’ ya mazungumzo wakati Israel ikipanga kupanua operesheni Gaza
Mpaka sasa, wametambua majina ya wanajeshi wa Urusi 106,745 waliouawa tangu kuanza kwa uvamizi huo.
Manchester United wameiambia Chelsea kwamba italazimika kulipa pauni milioni 65 ili kumsajili winga wa Argentina mwenye umri wa miaka 20…
Kuku wa Singida kwa mfano hawawiki bure. Wanawika kwa matumaini, historia, uchumi na urithi.
Kwa zaidi ya miaka 750, sheria kali zimetawala orodha ya makadinali wanaokusanyika kumchagua papa
Je, umewahi kushangaa kuona maji ndani ya nazi unapoivunja? Umewahi kujiuliza jinsi maji hayo yalivyoingia ndani?
Matukio kurushia viatu viongozi ni ishara ya dharau na kwa wengine ni ishara ya upinzani, ikihusihwa na siasa.
Jambo dogo kama kuingia ndani ya nyumba ukiwa umevaa viatu linaweza kuwa chanzo cha hatari zisizoonekana kwa urahisi.
Jeshi la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili “kuimarisha na kupanua” operesheni zake huko Gaza.
Manchester United inavutiwa ba Bryan Mbeumo, Rodrygo huenda akaondoka Real Madrid, Manchester City inamtaka Morgan Gibbs-White na Real Madrid ianamnyatia…
Akidaiwa kuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika Milki ya Ottoman, mke mpendwa wa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi…
Takribani watu saba wameuawa baada ya hospitali na soko kulipuliwa kwa bomu nchini Sudan Kusini, shirika la misaada la matibabu…
Wanasayansi wanasema kuna uwezekano wa kuwa na changamoto kidogo katika kuzibadili kuwa dawa, kwa sababu tayari ni bidhaa ya mwili…
Marekani inazihimiza Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kufikia makubaliano ya amani ambayo yataambatana na mkataba wa uwekezaji wa…
Kijiji kizuri cha Sargil kiko kwenye milima ya Kurdistan ya Iraq. Kwa vizazi vingi, wanakijiji kama Sherwan Sargal wametegemea shamba…
Laura Bicker anaelezea jinsi ushuru unavyoathiri biashara za Marekani na bidhaa za vichezeo vya China. “Hatujali kuhusu mauzo kwa Marekani,”…
Marekani imesema makubaliano hayo ni “ishara kwa Urusi” kwamba utawala wa Trump “umedhamiria kusaka amani, uhuru na ustawi” wa Ukraine.
Makamu wa Rais wa Marekani anasema ni juu ya Urusi na Ukraine kumaliza mzozo “wa kikatili” kati yao.
Kuibuka kwa Kapteni Ibrahim Traore nchini Burkina Faso kunachochea mjadala mpya kuhusu uhalali, umuhimu na hatima ya mapinduzi ya kijeshi…
Kushambuliwa kwa Padri Kitima kunahusishwa na ukosoaji wa kisiasa ingawa mwenyewe na Kanisa Katoliki wamekuwa wakipinga hilo
Matukio haya ya kikatili yaliwavunjia wananchi wengi imani kwa serikali zilizokuwa madarakani, huku yakiibua majonzi, hasira, na hofu iliyoenea miongoni…
Ni vigumu kuelewa ni mafanikio kiasi gani Yamal amepata katika umri wake
Barani Afrika, kulikuwa na mbinu za kiasili za kuhifadhi chakula ili kikaae muda mrefu bila kuharibika, kwa matumizi ya baadaye.
Marekani imekuwa ikishinikiza makubaliano ya rasilimali kama sharti la msaada zaidi wa kijeshi.
Wanawake hawawezi kuwa viongozi wa Kanisa Katoliki. Ukristo wa Kikatoliki haukubali wanawake kuwa makasisi. Nini asili ya jambo hili?
Kwa mujibu wa jeshi la Israel, Kikosi cha 282 cha Silaha kilitumia makombora ya Bar, yaliyotengenezwa na Elbit Systems, kulenga…
Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu, wakati mmoja ilikuwa nchi ya Kikristo, ikitoa mapapa wa Kikatoliki ambao waliacha alama…
Mambo matano tuliyojifunza kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Klabu bingwa Ulaya PSG ikiichapa Arsenal kwenye uwanja wa…
Makala hiyo ilihusisha maelfu ya picha na video kubaini afisa wa polisi na mwanajeshi wakihusika katika ufyatuaji risasi dhidi ya…
Mwaka 2015 alitembelea Cuba na kukutana na Fidel Castro – tukio la kihistoria lililoonyesha nafasi mpya ya Kanisa katika diplomasia…
Chelsea wanatazamia kumsajili Morgan Rogers, Real Madrid wanamtaka William Saliba kama sehemu ya kujenga upya safu yao ya ulinzi, huku…
Ufuatiliaji wa mara kwa mara ni muhimu kwa utambuzi wa mapema ili kudhibiti shinikizo la damu.
Hii ni mara ya kwanza kwa timu hizi mbili kukutana katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya.
Kufuatia kifo cha Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 na mazishi yake Jumamosi, makadinali kutoka kote ulimwenguni hivi karibuni…
Ndege ya kivita ya F-18 ilianguka kutoka kwenye meli ya kubeba ndege za Marekani katika Bahari Nyekundu, saa chache baada…
MulirO anasema ulinzi umeirishwa katika mitaa ya Dar es Salaam hata kabla ya Pasaka.
Liverpool haina budi kuimarisha kikosi chake kwa kuwasajili wachezaji wakuu licha ya kushinda Ligi ya Premia, anasema mwandishi mkuu wa…
Ripoti kwamba wanajeshi wa Korea Kaskazini walikuwa wametumwa ziliibuka mwezi Oktoba, kufuatia kuimarika kwa uhusiano wa pande mbili kati ya…