Chad yatangaza siku 3 za maombolezo baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi
Serikali ya Chad imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi wake katika jimbo la…
Mizozo ya kijeshi duniani
Serikali ya Chad imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi wake katika jimbo la…
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu inabaki nayo haki yake ya…
Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na Masuala ya Wanawake na Familia ametangaza kuwa kikao cha tano cha Kamisheni ya…
Takwimu rasmi za makadirio zilizochapishwa zinaonyesha kuwa, Marekani imetoa zaidi ya dola bilioni 22 za silaha na misaada ya kijeshi…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema katika taarifa kwamba wanamapambano wake wamefanya oparesheni 30 tofauti siku ya Jumatatu…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimetangaza kuwa vimezishambulia meli tatu kwa kukiuka marufuku iliyowekwa na nchi hiyo ya kupita kwenye…
Wanajeshi wapatao 40 wameuawa katika shambulizi ldhidi ya kambi ya jeshi katika eneo la Ziwa Chad. Hayo yameelezwa katika taarifa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amemwandikia barua waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni akisema, ametiwa wasiwasi mkubwa…
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran (SNSC) Ali Akbar Ahmadian amesema hujuma ya hivi karibuni za…
Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambacho kimeitishwa kwa ombi la Iran kwa ajili ya…
Mtandao wa kijamii wa X, ambao zamani ulijulikana kama Twitter, umesimamisha akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi…
Kufuatia uamuzi wa Netflix wa kutoonyesha tena filamu zake zenye anuani ya “Hadithi za Palestina”, kufuatia mashinikizo ya Wazayuni, shirika…
Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh anasema hujuma ya hivi majuzi wa utawala wa Israel dhidi ya…
Kampuni ya mradi wa uzalishaji nishati ya upepo kutoka Kaunti ya Kajiado Kenya imejinyakulia tuzo ya umoja wa Mataifa nchini…
Kuendelea vita vya Gaza, kumezidisha malalamiko na hitilafu huko Tel Aviv kadiri kwamba sasa viongozi wa Kizayuni wanatuhumiana wao kwa…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, sababu kuu ya kiburi na ufidhuli wa utawala wa…
Muungano wa Common Front for Congo (FCC) wa Joseph Kabila, rais wa zamani wa DRC kinapinga dhidi ya rasimu ya…
Serikali ya Iraq imewasilisha malamiko yake rasmi katika UUmoja wa Mataifa kulalamikia hatua ya Israel ya kutumia anga yake kuishambulia…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Bangladesh sawa na nchi nyingine nyingi za Kiislamu imelaani kitendo cha kichokozi cha utawala…
Taasisi moja isiyo ya kiserikali barani Afrika ambayo inapigania masuala ya amani, imelitaka kundi la BRICS kuchukua hatua za kuukomeshha…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China amesema kuwa, Beijing inapinga vikali hatua ya kukiukwa mamlaka ya kitaifa…
Akizungumza jana Jumapili mjini Tehran, na familia za Mashahidi wa Usalama, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe…
Pars Today-Watumiaji wa mtandao wa kijamii X wametuma jumbe mbalimbali kwenye mitandao ya intaneti kulaani jinai zinazofanywa utawala wa Kizayuni…
Pars Today: Mbunge wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa, madola ya Ulaya na Marekani wamelipa uhai mpya shirika…
Parstoday: Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma ujumbe mbalimbali kwenye mtandao huo kumsifu shahid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu…
Mwanadiplomasia wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelalamikia kimya cha wanaharakati wa haki za binadamu kuhusu wananchi wa Palestina. Muhammad…
Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi…
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipendi vita lakini iko imara katika kujihami na kulinda usalama…
Afrika Kusini na Somalia zimelaani vikali shambulio la Jumamosi alfajiri la Israel dhidi ya Iran na kusema kuwa chokochoko hizo…
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameishukuru Marekani kwa kuiunga mkono Israel katika jinai zake kwenye maeneo tofauti ya Asia…
Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, ameelezea wasiwasi wake kuhusu ripoti za mauaji ya watu…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri jana Jumapili ilitoa taarifa na kusema kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Umoja wa Mataifa umesema kuwa, zaidi ya wanawake na wasichana milioni 600 wameathiriwa na vita katika kona zote za dunia…
Leo ni Jumatatu tarehe 24 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 28 Oktoba 2024. Siku kama ya leo…
Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja huo na kulitaka litoe…
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ni haki ya Jamhuri ya Kiislamu kujibu uchokozi…
Hizbullah ya Lebanon imeendelea kutoa vipigo kwa utawala pandikizi wa Kizayuni na imevipiga kwa makombora viwanda vya kijeshi vya Israel…
Takriban walowezi sita wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya lori…
Afrika Kusini kuwasilisha hati ya kina katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa ushahidi wa kisayansi kuthibitisha mauaji ya…
Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema kuwa, watoto milioni 3.7 walio na umri wa chini ya miaka mitano nchini…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mahesabu potofu kuhusu Jamhuri ya…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema kuwa kesho Jumatatu litaitisha kikao kujadili mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi…
Ushahidi uliopo ikiwa ni pamoja na utawala huo kueleza hamu yake ya kutaka kusimamisha vita kusini mwa Lebanon unaweka wazi…
Mashambulizi yaliyofanywa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko kaskazini na mashariki mwa jimbo la Gezira nchini Sudan yametajwa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema kuwa watoto wa Ukanda wa Gaza huko…
Nchi za Afrika na Caribbean zinafuatilia mpango ambao unaweza kuigharimu Uingereza pauni trilioni 18 kutokana na nafasi yake ya kihistoria…
Mwandishi wa Uingereza ameutaja “uchokozi wa kimaonyesho” wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Iran kuwa ni dhihaka…
Katika kujibu kauli ya Umoja wa Ulaya kufuatia uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran, ubalozi wa Jamhuri…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa…