Marekani na Uingereza zashambulia tena Yemen kuunga mkono Israel
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mapya ya anga katika mji wa Hudaydah, magharibi mwa Yemen kwa lengo la kuunga mkono…
Mizozo ya kijeshi duniani
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mapya ya anga katika mji wa Hudaydah, magharibi mwa Yemen kwa lengo la kuunga mkono…
Majina ya majimbo na maeneo nchini Zimbabwe ambayo yanahusishwa na historia ya ukoloni wa nchi hiyo yanapaswa kubadilishwa. Wito huu…
Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi…
Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika Makala ya Wiki ambayo leo inazungumzia kwa ufupi sababu za kuendelea kuimarika Kambi ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeshambulia kwa makombora vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi…
Balozi wa Sudan mjini Tehran ameulaani utawala wa Kizayuni kwa kuchochea moto wa vita nchini mwake na kusema kuwa, Israel…
Mkuu wa Umoja wa Afrika amelitaka Baraza Kuu na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua madhubuti za…
Habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa, jana Jumatano kulitokea ajali mbaya ya helikopta ya kijeshi ya nchi…
Katika ripoti yake ya hivi karibuni inayoitwa Stop the War on Children, taasisi ya Save the Children imeripoti ongezeko la…
Kundi moja la mabanati katika Ukanda wa Ghaza limeamua kuweka darsa za kuhifadhi Qur’ani ili kuzipa nyoyo zao sakina na…
Vyombo vya ulinzi vya Iran vimesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo ya uchokozi wowote wa Israel dhidi ya ardhi…
Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la mapambano ya Kiislamu litaendelea kupambana…
Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wamekatiza hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris…
Rais Joe Biden wa Marekani amesema, vikosi vya Ukraine vinapaswa kuwashambulia wanajeshi wa Korea Kaskazini ikiwa watavuka mpaka na kuingia…
Korea Kusini imesema yumkini Korea Kaskazini itafanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki, lenye uwezo wa kuvuka mabara la ICBM…
Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na Oktoba 31 mwaka 2024. Miaka 110 iliyopita katika siku kama ya…
Hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupiga marufuku shughuli za UNRWA imekabiliwa na radiamali kali za kimataifa. Bunge la utawala…
Watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa wafuasi madhehebu ya kidini yenye misimamo ya kufurutu ada wameshambulia kijiji kimoja nchini Uganda, na kuua…
Waziri wa Ulinzi Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh amesema Iran inao uwezo wa kuteketeza ‘darzeni’ za operesheni za kulipiza kisasi sawa…
Mamlaka za Palestina katika eneo la Beit Lahia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza leo zimeutangaza mji huo kuwa “eneo la…
Vyombo vya habari vya Kiebrania vimetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kufikia makubaliano na harakati ya Hamas yatakayowezesha…
Jenerali Patrick Ryder, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema kuwa, Washington inafuatilia hali iliyopo huku utawala wa…
Wabotswana leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua wabunge watakaomchagua rais, wakati chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP)…
Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika karibuni kwa ajili ya kijadili suala la…
Zaidi ya waandishi elfu moja wameahidi kutoshirikiana na taasisi za kiutamaduni za utawala wa Kizayuni wa Israel, ambazo zinatajwa kushiriki…
Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa inaeleza kwamba karibu mtu mmoja kati ya wanne katika Jamhuri ya Kidemokrasia…
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Olmart amesema adui wa utawala huo sio Iran, Hizbullah wala Hamas bali ni…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, Ulaya ni kielelezo cha unafiki. Abbas Araghchi ameyasema hayo akijibu matamshi…
Chama tawala nchini Kenya cha United Democratic Alliance (UDA) kimetangaza kwamba, hivi karibuni kitamteua Naibu Rais mteule, Kithure Kindiki kama…
Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji tunapokutana katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Katika kipindi chetu…
Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Katika vipindi kadhaa vilivyotangulia tumekuwa…
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Sehemu…
Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji tunapokutana katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Sehemu ya 25…
Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji tunapokutana katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Katika sehemu ya…
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Tuujue Uislamu. Hii ni…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jinai na hujuma ya umwagaji…
Msemaji wa serikali ya Iran, Fatemeh Mohajerani amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujilinda na kusisitiza kuwa, nchi hii…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lina jukumu la kuuwekea…
Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameonya kwamba, mipango mipya…
Wizara ya Elimu katika Ukanda wa Gaza imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua wanafunzi zaidi ya 11,852 katika eneo…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, vita vya zaidi ya mwaka mmoja na nusu huko Sudan…
Leo ni Jumatano tarehe 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na 30 Oktoba 2024. Siku kama ya leo miaka…
Utawala wa Kizayuni ulioanzisha vita dhidi ya Lebanon kama ulivyotangaza kwamba ni kwa lengo kuwarejesha walowezi katika nyumba zao, hivi…
Leo ni Jumanne tarehe 25 Rabiulthani 1446 Hijria sawa na Oktoba 29 mwaka 2024. Katika siku kama ya leo miaka…
Balozi na mwakilishi wa Algeria katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulizi ya hivi…
Ndege za kivita za Israel zimeshambulia kwa mabomu jengo la makazi ya raia linalowahifadhi Wapalestina waliolazimika kuhama makazi yao kaskazini…
Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa…
Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati…
Wakazi wa miji ya nchi mbalimbali duniai wameendelea kufanya maadnamano ya kuwaunga mkono watu wanaohulumiwa wa Palestina na kulaani jinai…