WFP: Hatutachukua jukumu la UNRWA Gaza
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetangaza kuwa, haliwezi kutumika kama mbadala wa Shirika la Umoja wa Mataifa la…
Mizozo ya kijeshi duniani
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetangaza kuwa, haliwezi kutumika kama mbadala wa Shirika la Umoja wa Mataifa la…
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa Marekani inafanya makosa ikiwa inaamini kwamba…
Gazeti la National Interest limeandika katika moja ya makala yake kuhusiana na msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel na…
Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na 3 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Gazeti la Jerusalem Post limeripoti kuwa taasisi ya kijeshi ya Israel inataka kusitishwa vita katika maeneo ya Gaza na Lebanon,…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetoa ripoti yake ya kila mwaka leo Jumamosi, kuhusu…
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko ambayo hayajawahi kushuhudiwa nchini Uhispania imeongezeka huku kukiwa na utabiri wa mvua…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameeleza sababu za msingi za mapambano ya taifa la Iran yanayoendelea kwa takriban…
Rais Joe Biden wa Marekani jana Ijumaa aliwatumia barua wakuu wa bunge la wawakilishi na seneti ambapo amerefusha kwa mwaka…
Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika ‘juhudi za amani’ zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na…
Kamati ya Seneti ya Kenya kuhusu Haki na Masuala ya Sheria inayoongozwa na Seneta wa Bomet, Hillary Sigei, imeitaka Seneti…
Kamal Kharrazi, Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Nje la Iran amesema, kuna muelekeo wa Jamhuri ya Kiislamu…
Wapalestina 84 wakiwemo watoto zaidi ya 50 wameuliwa shahidi katika mashambulizi mawili ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa…
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umekilenga kituo muhimu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel). Muqawama wa…
Algeria jana iliadhimisha mwaka wa 70 wa kuanza Mapinduzi ya ukombozi wa nchi hiyo dhidi ya mkoloni Ufaransa kwa gwaride…
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetangaza mpango wa kutumewa wanajeshi zaidi wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.…
Donald Trump, mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ameulaumu utawala wa Rais Joe Biden kwa kuukurubisha…
Zaidi ya wafanyakazi 100 wa Shirika la Utangazaji la Serikali ya Uingereza (BBC) wamelishutumu shirika hilo kwa kusambaza habari zinazoupendelea…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imetangaza kuwa, inaunga mkono juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kudumisha…
Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii, siku chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu. Hatua hiyo imechuukuliwa huku mvutano…
Watuu wasiopungua 158 wamefariki dunia katika maafa makubwa zaidi ya mafuriko nchini Uhispania huku waokoaji wakiendelea na shughuli ya kutafuta…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuuwa, ghasia, mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na changamoto za kiuchumi zimepelekea njaa na wakati…
Leo ni Jumamosi tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 3 Novemba 2024 Miladia. Miaka 773 iliyopita katika siku…
Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza kwa kutumiwa silaha za Marekani limekuwa suala lenye utata linalojadiliwa katika duru…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameionya Israel kwamba, itapata jibu kali na…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema zaidi ya maafisa na wanajeshi 95 wa Israel wameuawa na wengine wasiopungua…
Chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58, kimebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Bunge…
Hatimaye Profesa Kithure Kindiki ameapishwa kuwa Naibu Rais mpya wa Rais wa Kenya, kuja kurithi mikoba ya Rigathi Gachagua ambaye…
Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la ‘majambazi’ waliojizatiti kwa silaha katika jimbo la Benue katikati mwa Nigeria. Shirika…
Ripoti zinasema kuwa Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Israel amekoswakoswa katika hujuma ya makombora ya wapiganaji wa Hamas huko…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amempongeza Sheikh Naim Qassim kwa…
Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nchini Kenya hatimaye imekiri hutumia programu ya kampuni ya Neutral Technologies inayodaiwa kutumiwa na kampuni…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ametangaza kuwa makubaliano ya ushirikiano wa pamoja wa ulinzi kati ya Moscow na…
Takriban watu 321 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 740,000 wamelazimika kuhama makazi yao nchini Nigeria tangu mwanzoni mwa mwaka…
Serikali ya Washington imebaini takriban ripoti 500 za raia wa Ukanda wa Gaza kujeruhiwa na kuuawa na vikosi vya jeshi…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuwepo msimamo mkali wa kimataifa dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa…
Leo ni Ijumaa tarehe 28 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2024. Miaka 808 iliyopita katika siku sawa na…
Mahakama ya juu nchini Ghana imebatilisha uamuzi ambao ulikuwa umepelekea kusitishwa shughuli za bunge miezi michache kabla ya uchaguzi. Hatua…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umoja baina ya nchi za Kiislamu na kusema: Iwapo tutaweza…
Waislamu barani Ulaya wameendelea kuandamwa na vitendo vya chuki na ubaguzi katika mataifa hayo yanayopigia debe uhuru wa kusema na…
Eugène Rwamucyo, daktari wa zamani wa Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kupatikana na hatia katika kesi ya…
Korea Kaskazini imetangaza kuwa, imefanyia majaribio moja ya makombora yake mapya zaidi yanayokusudiwa kuimarisha vizuizi vyake vya nyuklia, likiwa jaribio…
Vyanzo vya Kizayuni, Marekani na Lebanon vimezungumzia kufikiwa makubaliano ya awali ya kusimamisha vita kusini mwa Lebanon, lakini kwamba bado…
Miwezi mmoja baada ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imemchagua Sheikh Naim Qasim kuwa Katibu…
Kundi la Marafiki Wanaotetea Hati ya Umoja wa Mataifa limesema hujuma ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel dhidi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesikitishwa na shambulizi la kigaidi la Jumamosi dhidi ya msafara wa polisi katika…
Polisi huko Minneapolis, jimbo la Minnesota, Marekani, hatimaye wamemkamata mzungu mbabuzi, wiki moja baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi jirani…
Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo ameitaka nchi yake kufikiria kupitisha mfumo wa serikali unaozingatia kanuni za kitamaduni za…