Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

WHO yatoa onyo kuhusu matokeo mabaya ya kupigwa marufuku shughuli za UNRWA
SWAHILI NEWS

WHO yatoa onyo kuhusu matokeo mabaya ya kupigwa marufuku shughuli za UNRWA

MUKSININovember 5, 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema, kupiga marufuku shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia…

DRC: Waasi wa M23 wauteka mji mpya kwenye mpaka na Uganda huku mazungumzo yakijivuta
SWAHILI NEWS

DRC: Waasi wa M23 wauteka mji mpya kwenye mpaka na Uganda huku mazungumzo yakijivuta

MUKSININovember 5, 2024

Waasi wa M23 wanaendelea kupata nguvu mashariki mwa DRC. Kundi hilo ambalo linaripotiwa kuungwa mkono na Rwanda liliuteka mji  huo…

Waziri wa Mawasiliano wa Iran afanya mazungumzo na Rais wa Venezuela
SWAHILI NEWS

Waziri wa Mawasiliano wa Iran afanya mazungumzo na Rais wa Venezuela

MUKSININovember 5, 2024

Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Venezuela, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran amekutana na…

Satelaiti mbili za Iran zarushwa kwa mafanikio katika anga za mbali + Video
SWAHILI NEWS

Satelaiti mbili za Iran zarushwa kwa mafanikio katika anga za mbali + Video

MUKSININovember 5, 2024

Satelaiti mbili za Iran zilizotengenezwa na wanasayansi wenyewe wa Jamhuri ya Kiislamu mapema leo Jumanne zimerushwa kwa mafanikio angani na…

Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel
SWAHILI NEWS

Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel

MUKSININovember 5, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema bila utawala wa Kizayuni wa Israel utapokea jibu…

Hofu ya ghasia za baada ya uchaguzi Marekani, usalama waimarishwa
SWAHILI NEWS

Hofu ya ghasia za baada ya uchaguzi Marekani, usalama waimarishwa

MUKSININovember 5, 2024

Usalama umeimarishwa kote marekani hasa mjini Washington D.C. huku kukiwa na hofu ya kuibuka ghasia baada ya matokeo ya uchaguzi…

Jeshi la Wanamaji la Iran linafuatilia kwa karibu meli za kivita za Marekani
SWAHILI NEWS

Jeshi la Wanamaji la Iran linafuatilia kwa karibu meli za kivita za Marekani

MUKSININovember 5, 2024

Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu yaIran amepongeza ufuatiliaji wa kina wa kikosi hicho juu ya meli…

Magaidi wakamatwa kusini mashariki mwa Iran
SWAHILI NEWS

Magaidi wakamatwa kusini mashariki mwa Iran

MUKSININovember 5, 2024

Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametangaza kukamatwa kwa asilimia…

Sudan sasa yakumbwa na kipindupindu na homa ya kidingapopo
SWAHILI NEWS

Sudan sasa yakumbwa na kipindupindu na homa ya kidingapopo

MUKSININovember 5, 2024

Nchini Sudan ambako vita na janga la njaa vinaendelea kuwahangaisha raia  sasa wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wanaonya…

Kuongezeka dhulma na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
SWAHILI NEWS

Kuongezeka dhulma na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani

MUKSININovember 5, 2024

Mwenendo wa chuki na unyanyasaji dhidi ya Uislamu na Waislamu umeongezeka sana katika nchi za Ulaya hususan Ujerumani, kiasi kwamba…

Lavrov: BRICS inataka kuisambaratisha nguvu ya sarafu ya dola
SWAHILI NEWS

Lavrov: BRICS inataka kuisambaratisha nguvu ya sarafu ya dola

MUKSININovember 4, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kundi la BRICS linataka kuanzisha mifumo ya fedha mbadala na kupunguza…

Wahifadhi Qur’ani Tukufu nchini Nigeria waitaka serikali kuiunga mkono Palestina
SWAHILI NEWS

Wahifadhi Qur’ani Tukufu nchini Nigeria waitaka serikali kuiunga mkono Palestina

MUKSININovember 4, 2024

Jukwaa la Huffadh wa Qur’ani Tukufu la Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, limeandaa kongamano la siku mbili Jumamosi na Jumapili…

Rais Pezeshkiani: Leo hii tunakabiliwa na vita kamili vya kiuchumi
SWAHILI NEWS

Rais Pezeshkiani: Leo hii tunakabiliwa na vita kamili vya kiuchumi

MUKSININovember 4, 2024

Akizungumzia kukabiliwa na vita kamili vya kiuchumi, Rais Daktari Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: ‘Maadui wanajaribu…

Utawala wa Kizayuni wazuia kutolewa misaada kwa waliojeruhiwa kaskazini mwa Gaza
SWAHILI NEWS

Utawala wa Kizayuni wazuia kutolewa misaada kwa waliojeruhiwa kaskazini mwa Gaza

MUKSININovember 4, 2024

Shirika la Ulinzi wa Raia wa Ukanda wa Gaza limetangaza hatua ya utawala katili wa Kizayuni ya kuzuia juhudi za…

Hizbullah ya Lebanon yazindua kituo cha makombora cha Emad 5
SWAHILI NEWS

Hizbullah ya Lebanon yazindua kituo cha makombora cha Emad 5

MUKSININovember 4, 2024

Hizbullah ya Lebanon imezindua picha za kituo cha makombora cha chini ya ardhi cha Emad 5. Kwa mujibu wa kanali…

Mazungumzo ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran na Naibu Waziri Mkuu wa Cuba
SWAHILI NEWS

Mazungumzo ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran na Naibu Waziri Mkuu wa Cuba

MUKSININovember 4, 2024

Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Cuba, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiislamu…

Kuendelea mafanikio ya Hizbullah ya Lebanon katika makabiliano na jeshi la Kizayuni.
SWAHILI NEWS

Kuendelea mafanikio ya Hizbullah ya Lebanon katika makabiliano na jeshi la Kizayuni.

MUKSININovember 4, 2024

Hizbullah ya Lebanon inatekeleza vyema operesheni zake za kijeshi dhidi ya jeshi la Kizayuni katika nyanja mbalimbali. Muqawama wa Kiislamu…

Al Alam: Ndege 15 za kijeshi za Israel zilishindwa kuzuia droni moja ya Hizbullah
SWAHILI NEWS

Al Alam: Ndege 15 za kijeshi za Israel zilishindwa kuzuia droni moja ya Hizbullah

MUKSININovember 4, 2024

Televisheni ya al Alam imelinukuu gazeti moja la Kizayuni na kuandika kuwa, ndege 15 za kijeshi za Israel zilishirikiana kuiwinda…

Jeshi la Yemen: Tutaendelea kupiga meli zote zenye uhusiano na Israel
SWAHILI NEWS

Jeshi la Yemen: Tutaendelea kupiga meli zote zenye uhusiano na Israel

MUKSININovember 4, 2024

Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa, jeshi hilo litaendelea kuzipiga meli zote zenye uhusiano na Israel katika maji ya…

Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video
SWAHILI NEWS

Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video

MUKSININovember 4, 2024

Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwamba kwa uchache makombora 100 ya Hizbullah ya Lebanon yametwanga vituo vya kijeshi vya…

Jeshi la Israel lashindwa kikamilifu kudhibiti mji wa al Khiam wa Lebanon
SWAHILI NEWS

Jeshi la Israel lashindwa kikamilifu kudhibiti mji wa al Khiam wa Lebanon

MUKSININovember 4, 2024

Duru za kuaminika za Lebanon zimetangaza kuwa, wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wamekimbia kikamilifu katika mji wa al Khiam…

Radi yaua na kujeruhi watu 48 kanisani, kaskazini mwa Uganda
SWAHILI NEWS

Radi yaua na kujeruhi watu 48 kanisani, kaskazini mwa Uganda

MUKSININovember 4, 2024

Watu 14 wamepoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa baada ya radi kupiga kanisani wakati watu walipokuwa wamekusanyika humo kufanya maombi,…

Ethiopia yazishutumu balozi za kigeni kwa kuvuruga uchumi, yatishia kuchukua hatua
SWAHILI NEWS

Ethiopia yazishutumu balozi za kigeni kwa kuvuruga uchumi, yatishia kuchukua hatua

MUKSININovember 4, 2024

Waziri Mkuu wa Ethiopiam, Abiy Ahmed amezishutumu balozi za kigeni kwa kujihusisha na magendo ya fedha za kigeni akidai kuwa…

Askari wa Uingereza katika jeshi la Israel: Wapiganaji wa Hizbullah ndio bora zaidi
SWAHILI NEWS

Askari wa Uingereza katika jeshi la Israel: Wapiganaji wa Hizbullah ndio bora zaidi

MUKSININovember 4, 2024

Gazeti la The Times limefichua kuwa Waingereza wanapigana pamoja na jeshi la Israel katika vita vya utawala huo dhidi ya…

Jumatatu, 04 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumatatu, 04 Novemba, 2024

MUKSININovember 4, 2024

Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 4 Novemba 2024. Siku kama ya…

Kamanda Fadavi: Vita vya Ghaza vimefedehesha uongo wa miaka 76 wa mabeberu
SWAHILI NEWS

Kamanda Fadavi: Vita vya Ghaza vimefedehesha uongo wa miaka 76 wa mabeberu

MUKSININovember 4, 2024

Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Marekani ndiye kiranja wa kambi ya…

Kwa mara nyingine wananchi wa Tunisia wataka balozi wa Marekani atimuliwe + Video
SWAHILI NEWS

Kwa mara nyingine wananchi wa Tunisia wataka balozi wa Marekani atimuliwe + Video

MUKSININovember 4, 2024

Kwa mara nyingine tena wananchi wa Tunisiia wameandamana karibu na ubalozi wa Marekani mjini Tunis na kushinikiza balozi huyo wa…

HAMAS na Fat’h wakutana Cairo na kufikia makubaliano mazuri kuhusu Ghaza
SWAHILI NEWS

HAMAS na Fat’h wakutana Cairo na kufikia makubaliano mazuri kuhusu Ghaza

MUKSININovember 4, 2024

Vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza jana Jumapili kwamba, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na ile ya Fat’h…

Serikali ya Sudan yapeleka msaada wa matibabu katika maeneo yenye vita
SWAHILI NEWS

Serikali ya Sudan yapeleka msaada wa matibabu katika maeneo yenye vita

MUKSININovember 4, 2024

Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kwamba imepeleka vifaa vya dharura vya matibabu katika mikoa iliyoathiriwa na mgogoro wa vita…

Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika teknolojia ya nyuklia
SWAHILI NEWS

Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika teknolojia ya nyuklia

MUKSININovember 4, 2024

Kutokana na juhudi za wanasayansi na wataalamu wake vijana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hivi sasa ni miongoni mwa nchi…

Niger yasaini makubaliano ya ushirikiano wa satelaiti 3 na kampuni moja ya Russia
SWAHILI NEWS

Niger yasaini makubaliano ya ushirikiano wa satelaiti 3 na kampuni moja ya Russia

MUKSININovember 4, 2024

Serikali ya Niger, ikiwakilishwa na Waziri wa Mawasiliano, Sidi Mohamed Raliou, imetia saini makubaliano ya kushirikiana na shirika moja la…

Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

MUKSININovember 3, 2024

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na familia za mashahidi wa Jeshi la Ulinzi la Anga la Jamhuri…

Baqaei: Mashinikizo haramu ya Marekani dhidi ya watu wa Iran yameendelea hadi leo
SWAHILI NEWS

Baqaei: Mashinikizo haramu ya Marekani dhidi ya watu wa Iran yameendelea hadi leo

MUKSININovember 3, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani sera na mienendo ya kindumakuwili ya Marekani dhidi ya Jamhuri…

WHO: Hali ya watoto katika Ukanda wa Gaza ni mbaya
SWAHILI NEWS

WHO: Hali ya watoto katika Ukanda wa Gaza ni mbaya

MUKSININovember 3, 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza…

Salami: Muqawama utatoa jibu kali dhidi ya kambi ovu
SWAHILI NEWS

Salami: Muqawama utatoa jibu kali dhidi ya kambi ovu

MUKSININovember 3, 2024

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya vikali Marekani na Israel kwamba, uvamizi…

Maelfu ya Wazayuni waandamana tena dhidi ya Netanyahu
SWAHILI NEWS

Maelfu ya Wazayuni waandamana tena dhidi ya Netanyahu

MUKSININovember 3, 2024

Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wameandamana dhidi ya Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel. Waandamanaji hao wakiwa…

Machafuko yaendelea kushuhudiwa Msumbiji
SWAHILI NEWS

Machafuko yaendelea kushuhudiwa Msumbiji

MUKSININovember 3, 2024

Polisi nchini Msumbiji imetumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji katika miji kadhaa ya nchi hiyo…

Kiongozi Muadhamu atoa ufafanuzi kuhusu ulazima wa kuendeleza mapambano ya taifa la Iran dhidi ya Marekani
SWAHILI NEWS

Kiongozi Muadhamu atoa ufafanuzi kuhusu ulazima wa kuendeleza mapambano ya taifa la Iran dhidi ya Marekani

MUKSININovember 3, 2024

Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduuzi ya Kiislamu, Jumamosi ya jana alihutubia kikao cha maelfu ya wanafunzi na wasomi…

Iran yatia fora katika fizikia duniani
SWAHILI NEWS

Iran yatia fora katika fizikia duniani

MUKSININovember 3, 2024

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio ya sayansi na teknolojia nchini…

Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel
SWAHILI NEWS

Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel

MUKSININovember 3, 2024

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran…

Wairani waadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari
SWAHILI NEWS

Wairani waadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari

MUKSININovember 3, 2024

Sherehe za kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari wa Dunia ambayo huadhimishwa tarehe 13 Aban kila mwaka hapa…

Ripoti: Israel imevurumishiwa makombora 26,000 tokea Oktoba 7
SWAHILI NEWS

Ripoti: Israel imevurumishiwa makombora 26,000 tokea Oktoba 7

MUKSININovember 3, 2024

Makombora zaidi ya 26,000 yamevurumishwa kuelekea katika maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu (Israel), tokea utawala huo wa Kizayuni uanzishe…

RSF yaendeleza hujuma za umwagaji damu Sudan
SWAHILI NEWS

RSF yaendeleza hujuma za umwagaji damu Sudan

MUKSININovember 3, 2024

Kwa akali watu 18 wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika mashambulizi mawili tofauti ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF)…

Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
SWAHILI NEWS

Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq

MUKSININovember 3, 2024

Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo…

Waingereza waandamana ‘Siku ya Balfour’ kulaani jinai za Israel Gaza
SWAHILI NEWS

Waingereza waandamana ‘Siku ya Balfour’ kulaani jinai za Israel Gaza

MUKSININovember 3, 2024

Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel…

Jeshi la Nigeria laua ‘magaidi’ 187 ndani ya wiki moja
SWAHILI NEWS

Jeshi la Nigeria laua ‘magaidi’ 187 ndani ya wiki moja

MUKSININovember 3, 2024

Zaidi ya watu 187 wanaoshukiwa kuwa magaidi wameuawa huku wengine 262 wakikamatwa katika operesheni mbalimbali za kupambana na ugaidi za…

Chad yakanusha kuwaua raia katika mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo
SWAHILI NEWS

Chad yakanusha kuwaua raia katika mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo

MUKSININovember 3, 2024

Serikali ya Chad imekanusha vikali ripoti kwamba jeshi lake liliwashambulia raia katika operesheni dhidi ya wanamgambo wanaobeba silaha. Duru za…

Hadaa ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika mpango wa kusitisha vita
SWAHILI NEWS

Hadaa ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika mpango wa kusitisha vita

MUKSININovember 3, 2024

Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) wamesisitiza kuwa sababu kuu ya kuendelea vita Ukanda wa Gaza…

Jumuiya ya Shanghai yalaani shambulio la Israel dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Jumuiya ya Shanghai yalaani shambulio la Israel dhidi ya Iran

MUKSININovember 3, 2024

Wawakilishi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai wametoa taarifa na kulaani vikali hatua ya kichokozi ya utawala…

WHO: Zaidi ya watu 50,000 wamepata chanjo ya Mpox Kongo na Rwanda
SWAHILI NEWS

WHO: Zaidi ya watu 50,000 wamepata chanjo ya Mpox Kongo na Rwanda

MUKSININovember 3, 2024

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu 50,000 kufikia sasa wamechanjwa dhidi ya virusi vya mpox katika…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us