MSF yaanza upya kutoa huduma kwa wananchi waliokumbwa na njaa magharibi mwa Sudan
Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, limeanza tena kutoa huduma katika kambi ya wakimbizi…
Mizozo ya kijeshi duniani
Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, limeanza tena kutoa huduma katika kambi ya wakimbizi…
Hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ya kumfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Vita…
Ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji kufuatia mzozo wa uchaguzi wa Oktoba 9 zimesababisha Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema licha ya hasara na matukio ya…
Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimetakiwa zizuie hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza sheria zilizopitishwa na…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeishambulia miji ya Tel Aviv na Haifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…
Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa…
Somalia imeitaka Ujerumani isitishe mpango wake wa kuwafukuza Waafrika wakiwemo Wasomali nchini humo. Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud alikutana…
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelihimiza Baraza Kuu la umoja huo kusimamisha uanachama wa utawala ghasibu wa Israel…
Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: “Maneno ya Shahidi Seyed Hassan Nasrullah ni nuru ya uongofu,…
Amjad Shawa ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya Palestina (PNGO) amekosoa vikali hatua ya kinyama ya…
Miji mbalimbali ya Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) hususan Tel Aviv iimeendelea kushuhudia maandamano makubwa ya kupinga hatua ya Waziri…
Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za binadamu la Amnesty International, limeiitaka serikali ya Mali kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji…
Serikali ya Ireland imeafiki kuteuliwa balozi wa Palestina kwa mara ya kwanza katika nchi hiyo ya bara Ulaya. Duru za…
Kutokana na tangazo la kusitishwa shughuli za UNRWA, taasisi za kimataifa zimeonya kuhusu uwezekano wa kuzorota zaidi hali ya maisha…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran na Pakistan zinaamini kuna uhusiano wa karibu…
Rais wa Kenya William Ruto ameomba China iunge mkono ombi la taifa hilo la Afrika Mashariki kujiunga na kundi hilo…
Rais wa zamani Donald Trump ambaye anaongoza kwa mujibu wa kura zilizohesabiswa dhidi ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika…
Natumai hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio kipindi hiki maalumu, ambacho kitasimulia maisha na ushujaa wa Yahya…
Huku Donald Trump akiwa amejitangaza kuwa mshindi katika uchaguzi wa Marekani, wataalamu wa mambo wanasema hakuna tofauti kwa Afrika kuhusu…
Baraza la Kiislamu la Msumbiji limejitolea kuwa mpatanishii kati ya serikali na waasi wanaopigana na serikali katika jimbo la kaskazini…
Sambamba na siku ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, waungaji mkono wa Palestina wameandamana mjini New York kupinga sera ya…
Watafiti wa moja ya mashirika ya anga za juu ya Iran kwa kubuni na kutengeneza satelaiti mbili za Kowsar na…
SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kwamba watu wawili wameambukizwa aina mpya ya virusi vya homa ya nyani, “Mpox” nchini…
Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali, ameandika kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba: Ishara za kwanza za satalaiti…
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, anaongoza katika mbio za kuwania kuingia Ikulu ya White House dhidi ya Makamu…
Kituo cha Kimkakati cha Russia cha Tamaduni kimetazamia kuwa Rais wa Marekani Joe Biden yumkini atazua mzozo wa kimataifa katika…
Kundi la wanafikra, wanaharakati wa haki za binadamu, maprofesa wa vyuo vikuu na wawakilishi wa vyombo vya habari na mashirika…
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amemfuta kazi Waziri wa Vita wa utawala huo, Yoav Gallant kutokana na kushindwa kwa…
Wanamuqawama wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon wamevurumisha makombora katika kambi za kijeshi mahali walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa…
Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi karibu elfu 12 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko…
Afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Sudan Kusini jana Jumanne alithibitisha kupoteza maisha watu 41 kutokana na ugonjwa…
Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa mwanamke mmoja raia wa Ufaransa amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuliunga mkono na…
Watu 16 wakiwemo watoto wadogo wamepoteza maisha huko Libya tangu kuanza mwaka huu wa 2024 kufuatia milipuko ya mabomu ya…
Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya…
Leo ni Jumatano tarehe 04 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe 6 Novemba 2024. Miaka 392 iliyopita katika siku kama…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda…
Wapalestina wasiopungua 70 wameuawa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa, akthari yao wakiwa ni wa sehemu ya kaskazini ya Ukanda…
Bunge la Mpito la Mali limepitisha sheria inayojinaisha vitendo vya ufuska vya ‘ushoga’ na kujiunga na makumi ya nchi zingine…
Waziri wa Utamaduni wa Croatia ametoa wito wa kuitumia tajiriba na uzoefu wa wafuasi wa dini tofauti nchini Iran katika…
Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel inapasa utimuliwe katika Umoja wa Mataifa kutokana…
Mamilioni ya Wamarekani wamejitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kote nchini humo leo Jumanne huku mustakabali wa urais wa nchi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuongezwa juhudi za kidiplomasia za kuleta amani huko Gaza na…
Katika ujumbe aliouandika kwenye akaunti yake ya X, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili, Mufti wa Oman amepongeza kuchaguliwa Sjeikh…
Marja’ wa ngazi ya juu ya Mashia wa Iraq imeeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika…
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jioni ya jana Jumatatu aliwasili Islamabad,…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema, kupiga marufuku shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia…
Waasi wa M23 wanaendelea kupata nguvu mashariki mwa DRC. Kundi hilo ambalo linaripotiwa kuungwa mkono na Rwanda liliuteka mji huo…
Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Venezuela, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran amekutana na…