Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

Uhispania yazuia meli 2 za Kimarekani zinazobeba silaha za Israel kutia nanga kwenye bandari yake
SWAHILI NEWS

Uhispania yazuia meli 2 za Kimarekani zinazobeba silaha za Israel kutia nanga kwenye bandari yake

MUKSININovember 9, 2024

Uhispania imekataa kuruhusu meli 2 za Marekani kutia nanga kwenye bandari yake kwa sababu zimebeba silaha kwa ajili ya utawala…

Spika wa Iran: Israel haiheshimu mapatano yoyote
SWAHILI NEWS

Spika wa Iran: Israel haiheshimu mapatano yoyote

MUKSININovember 9, 2024

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Ghalibaf amesema kuuawa shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa…

Wasiwasi wa Ulaya kuhusu kurejea Trump White House
SWAHILI NEWS

Wasiwasi wa Ulaya kuhusu kurejea Trump White House

MUKSININovember 9, 2024

Matokeo ya ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani yamegubika hali ya siasa, uchumi na usalama wa…

Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia
SWAHILI NEWS

Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia

MUKSININovember 9, 2024

Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Russia na Afrika umeanza leo katika mji wa pwani wa…

Iran: Madai ya kuhusika na njama za kutaka kuwaua viongozi wa Marekani hayana msingi wowote
SWAHILI NEWS

Iran: Madai ya kuhusika na njama za kutaka kuwaua viongozi wa Marekani hayana msingi wowote

MUKSININovember 9, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, madai kwamba Iran ilihusika katika jaribio la kuwaua viongozi wa…

Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel
SWAHILI NEWS

Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel

MUKSININovember 9, 2024

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, imezishambulia tena kwa makombora ngome na vituo vya jeshi la utawala wa Kizayuni…

Wapalestina 162 wameuawa shahidi na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza
SWAHILI NEWS

Wapalestina 162 wameuawa shahidi na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza

MUKSININovember 9, 2024

Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa watu 39 wameuawa shahidi na 123 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kinyama ya utawala…

Ripoti yadai: Qatar imewaeleza viongozi wa Hamas kuwa hawatakiwi kuwepo tena nchini humo
SWAHILI NEWS

Ripoti yadai: Qatar imewaeleza viongozi wa Hamas kuwa hawatakiwi kuwepo tena nchini humo

MUKSININovember 9, 2024

Mtandao wa habari wa lugha ya Kiebrania wa Kan umedai kuwa Qatar imewaambia viongozi wa kisiasa wa Harakati ya Muqawama…

Mahakama Kuu ya India yabatilisha hukumu ya kuzifunga Madrasa 17,000 za Waislamu
SWAHILI NEWS

Mahakama Kuu ya India yabatilisha hukumu ya kuzifunga Madrasa 17,000 za Waislamu

MUKSININovember 9, 2024

Baada ya uhakiki na uchunguzi uliochukua muda wa miezi kadhaa, Mahakama Kuu ya India hatimaye imetoa uamuzi wa kubakishwa Madrasa…

Chad inawapa hifadhi wakimbizi zaidi ya 680,000 wa Sudan
SWAHILI NEWS

Chad inawapa hifadhi wakimbizi zaidi ya 680,000 wa Sudan

MUKSININovember 9, 2024

Zaidi ya wakimbizi 680,000 wa Sudan wamepata mazingira salama nchini Chad, baada ya kulazimika kukimbia vita vinavyoendelea nchini Sudan. Hayo…

Kambi ya Israel ya Nevatim yapigwa kwa kombora la hypersonic
SWAHILI NEWS

Kambi ya Israel ya Nevatim yapigwa kwa kombora la hypersonic

MUKSININovember 9, 2024

Msemaji wa Jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema vikosi vya nchi hiyo vimefanikiwa kushambulia kambi hasasi ya kijeshi…

IRGC: Uhalisia wa kushindwa Israel unakaribia kutimia
SWAHILI NEWS

IRGC: Uhalisia wa kushindwa Israel unakaribia kutimia

MUKSININovember 9, 2024

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kisasi cha hivi karibuni cha Iran dhidi ya…

Wabunge wa Ireland wataka Israel iwekewe vikwazo
SWAHILI NEWS

Wabunge wa Ireland wataka Israel iwekewe vikwazo

MUKSININovember 9, 2024

Wabunge katika Jamhuri ya Ireland kwa kupasishwa hoja katika bunge la nchi hiyo, wameitaka serikali yao kuuwekea vikwazo utawala haramu…

UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake
SWAHILI NEWS

UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake

MUKSININovember 9, 2024

Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, wanawake na watoto wanaunda asilimia kubwa ya vifo na majeruhi wa mashambulizi ya kinyama ya…

Jeshi latumwa mitaani kuzima ghasia za baada ya uchaguzi Msumbiji
SWAHILI NEWS

Jeshi latumwa mitaani kuzima ghasia za baada ya uchaguzi Msumbiji

MUKSININovember 9, 2024

Msumbiji imetuma wanajeshi mitaani kusaidia kudumisha utulivu kufuatia wiki kadhaa za maandamano ya ghasia dhidi ya chama tawala ambacho kinatuhumiwa…

Idadi ya waliofariki yapindukia 200 katika mji wa Sudan ulioko kwenye mzingiro wa RSF
SWAHILI NEWS

Idadi ya waliofariki yapindukia 200 katika mji wa Sudan ulioko kwenye mzingiro wa RSF

MUKSININovember 9, 2024

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mji wa Al-Hilaliya wa katikati mwa jimbo la Al Jazirah nchini Sudan, imeongezeka na…

Kubatilishwa na kukanushwa hata na Ukraine madai hewa ya nchi za Ulaya dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Kubatilishwa na kukanushwa hata na Ukraine madai hewa ya nchi za Ulaya dhidi ya Iran

MUKSININovember 9, 2024

Rais wa Ukraine amesema, madai hewa yaliyotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya Iran kwamba imeipelekea Russia makombora ya balestiki…

Jumamosi, 9 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumamosi, 9 Novemba, 2024

MUKSININovember 9, 2024

Leo ni Jumamosi 7 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na 9 Novemba 2024 Miladia. Katika siku kama hii ya…

Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Shahidi Nasrallah aligeuza Hizbullah kuwa ngome imara
SWAHILI NEWS

Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Shahidi Nasrallah aligeuza Hizbullah kuwa ngome imara

MUKSININovember 8, 2024

Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah alikuwa kiongozi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu), mwanazuoni…

Waandamanaji Ufaransa wataka kusitishwa tamasha litakalomshirikisha waziri wa Israel
SWAHILI NEWS

Waandamanaji Ufaransa wataka kusitishwa tamasha litakalomshirikisha waziri wa Israel

MUKSININovember 8, 2024

Waungaji mkono Palestina nchini Ufaransa wametoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kufuta tamasha lililopangwa kufanyika Novemba 13 mjini Paris,…

Jeshi la Yemen langusha ndege ya kivita ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper
SWAHILI NEWS

Jeshi la Yemen langusha ndege ya kivita ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper

MUKSININovember 8, 2024

Vikosi vya ulinzi wa anga vya Yemen vimelenga kwa kombora na kuiangusha ndege nyingine ya kivita ya Marekani  isiyo na…

Israel yashambulia shule ya UNRWA Gaza, yaua raia 14
SWAHILI NEWS

Israel yashambulia shule ya UNRWA Gaza, yaua raia 14

MUKSININovember 8, 2024

Raia zaidi wa Kipalestina wameuawa katika vita vya mauaji ya kimbari vya  Marekani na Israel dhidi ya Gaza, huku utawala…

Jumuiya ya Nchi za Kiislamu, OIC, yalaani vikali hujuma za Israel dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Jumuiya ya Nchi za Kiislamu, OIC, yalaani vikali hujuma za Israel dhidi ya Iran

MUKSININovember 8, 2024

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha hivi karibuni cha utawala ghasibu wa Israel cha uchokozi dhidi…

Nchi zilizoathiriwa zaidi Afrika zapokea  dozi laki nane za chanjo ya MPOX
SWAHILI NEWS

Nchi zilizoathiriwa zaidi Afrika zapokea  dozi laki nane za chanjo ya MPOX

MUKSININovember 8, 2024

Shirika la Afya Duniani (WHO) imetenga dozi 899,000 za chanjo ya MPOX kwa nchi tisa za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi…

Hikma za Nahjul Balagha (69)
SWAHILI NEWS

Hikma za Nahjul Balagha (69)

MUKSININovember 8, 2024

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 69 ya mfululizo wa makala hizi fupifupi za…

Hikma za Nahjul Balagha (68)
SWAHILI NEWS

Hikma za Nahjul Balagha (68)

MUKSININovember 8, 2024

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 68 ya mfululizo wa makala hizi fupifupi za…

Hikma za Nahjul Balagha (66) – (59)
SWAHILI NEWS

Hikma za Nahjul Balagha (66) – (59)

MUKSININovember 8, 2024

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 66 ya mfululizo wa makala hizi fupifupi za…

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina
SWAHILI NEWS

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina

MUKSININovember 8, 2024

Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu Duniani umezitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya jinai…

Muqawama wa Palestina: Republican au Democratic; Serikali zote za Marekani zinaiunga mkono Israel
SWAHILI NEWS

Muqawama wa Palestina: Republican au Democratic; Serikali zote za Marekani zinaiunga mkono Israel

MUKSININovember 8, 2024

Kamati ya makundi ya mapambano na Muqawama ya Palestina imetoa taarifa kuhusu ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais…

Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel
SWAHILI NEWS

Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel

MUKSININovember 8, 2024

Kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kumeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kimazingira na kiafya. Kanali ya…

Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina
SWAHILI NEWS

Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina

MUKSININovember 8, 2024

Mashabiki wa mpira wa Kizayuni waliokuwa wakitizama mechi ya soka katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi wameshambuliwa na kuchezea kipigo…

Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao
SWAHILI NEWS

Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao

MUKSININovember 8, 2024

Bunge la Ghana jana Alhamisi liliahirishwa tena kwa muda usiojulikana kufuatia pingamizi la wabunge kutoka chama tawala cha New Patriotic…

Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani
SWAHILI NEWS

Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani

MUKSININovember 8, 2024

Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang’anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5,…

Wanajeshi wa Nigeria waua magaidi 481 mwezi Oktoba
SWAHILI NEWS

Wanajeshi wa Nigeria waua magaidi 481 mwezi Oktoba

MUKSININovember 8, 2024

Jeshi la Nigeria limetoa taarifa na kusema kuwa, takriban magaidi 481 wameuawa na wengine zaidi ya 741 wametiwa mbaroni na…

Pezeshkian: Iran haijali nani ameshinda uchaguzi wa rais Marekani
SWAHILI NEWS

Pezeshkian: Iran haijali nani ameshinda uchaguzi wa rais Marekani

MUKSININovember 8, 2024

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Haijalishi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nani ameshinda uchaguzi wa rais…

Iran na Sudan zasisitiza kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara
SWAHILI NEWS

Iran na Sudan zasisitiza kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara

MUKSININovember 8, 2024

Waziri wa Uchumi na Fedha wa Iran na Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Sudan wamekutana na kujadili…

Iran: Ushindi wa Trump ni fursa kwa Marekani kurekebisha ‘sera zisizo sahihi’
SWAHILI NEWS

Iran: Ushindi wa Trump ni fursa kwa Marekani kurekebisha ‘sera zisizo sahihi’

MUKSININovember 8, 2024

Iran inasema itaihukumu serikali mpya ya Marekani kwa misingi ya sera na mienendo yake baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi…

Kambi ya Jabalia, “Hiroshima” ya Gaza, ambayo inafutwa na utawala ghasibu wa Israel
SWAHILI NEWS

Kambi ya Jabalia, “Hiroshima” ya Gaza, ambayo inafutwa na utawala ghasibu wa Israel

MUKSININovember 8, 2024

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukijaribu kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Kaskazini mwa…

2024 huenda ukawa mwaka wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa duniani
SWAHILI NEWS

2024 huenda ukawa mwaka wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa duniani

MUKSININovember 8, 2024

Mwaka huu wa 2024 uko mbioni kuwa mwaka wa joto zaidi kuwahi kutokea duniani. Haya ni kwa mujibu wa shirika…

Maombi ya zaidi ya nchi 50 za dunia ya kuwekewa vikwazo vya silaha utawala wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Maombi ya zaidi ya nchi 50 za dunia ya kuwekewa vikwazo vya silaha utawala wa Kizayuni

MUKSININovember 8, 2024

Kufuatia kuendelea mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na Lebanon, zaidi ya…

Ijumaa, tarehe 8 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Ijumaa, tarehe 8 Novemba, 2024

MUKSININovember 8, 2024

Leo ni Ijumaa tarehe 6 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 8 Novemba 2024. Siku kama ya…

Alkhamisi, tarehe 7 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Alkhamisi, tarehe 7 Novemba, 2024

MUKSININovember 7, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Novemba 2024. Siku kama ya leo,…

Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha
SWAHILI NEWS

Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha

MUKSININovember 7, 2024

Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024…

Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika
SWAHILI NEWS

Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika

MUKSININovember 7, 2024

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia jinsi harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah na HAMAS zinavyoendelea na mapambano…

Filamu ya ‘animesheni’ kuhusu Palestina yatikisa hisia za walimwengu + Video
SWAHILI NEWS

Filamu ya ‘animesheni’ kuhusu Palestina yatikisa hisia za walimwengu + Video

MUKSININovember 7, 2024

Mtengenezaji filamu mmoja Muislamu raia wa Marekani ametengeneza filamu ya ‘animesheni’ iitwayo “Mimi ni kutoka Palestina” na kutikisa hisia za…

UN yatoa mwito wa kupunguzwa mvutano wa baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
SWAHILI NEWS

UN yatoa mwito wa kupunguzwa mvutano wa baada ya uchaguzi nchini Msumbiji

MUKSININovember 7, 2024

Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka mvutano na machafuko ya baada ya…

Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege
SWAHILI NEWS

Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege

MUKSININovember 7, 2024

Balozi wa Tunisia mjini Tehran ametaka kuweko safari za moja kwa moja za ndege baina ya Tehran na Tunis hasa…

Serikali ya Ujerumani yasambaratika
SWAHILI NEWS

Serikali ya Ujerumani yasambaratika

MUKSININovember 7, 2024

Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amemfuta kazi waziri wa fedha na hivyo kuisambaratisha serikali ya muungano wa vyama ya nchi…

MSF yaanza upya kutoa huduma kwa wananchi waliokumbwa na njaa magharibi mwa Sudan
SWAHILI NEWS

MSF yaanza upya kutoa huduma kwa wananchi waliokumbwa na njaa magharibi mwa Sudan

MUKSININovember 7, 2024

Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, limeanza tena kutoa huduma katika kambi ya wakimbizi…

Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni

MUKSININovember 7, 2024

Hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ya kumfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Vita…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us