Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

Iran yasema vitendo ni muhimu kuliko matokeo ya uchaguzi Marekani
SWAHILI NEWS

Iran yasema vitendo ni muhimu kuliko matokeo ya uchaguzi Marekani

MUKSININovember 11, 2024

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utendaji wa Marekani kuhusu masuala ya kieneo na jinai za utawala wa Israel huko…

Mtandao wa “Mir” wa Russia waunganishwa na “Shetab” wa Iran
SWAHILI NEWS

Mtandao wa “Mir” wa Russia waunganishwa na “Shetab” wa Iran

MUKSININovember 11, 2024

Mtandao wa Mir miamala ya kibenki na kifedha wa Russia hii leo umeunganishwa na mtandao wa benki wa Iran (Shetab)…

Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
SWAHILI NEWS

Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel

MUKSININovember 11, 2024

Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya…

Lavrov akosoa jitihada za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya Russia
SWAHILI NEWS

Lavrov akosoa jitihada za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya Russia

MUKSININovember 11, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa vikali njama za nchi za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya nchi…

FIFA yatakiwa kutoichagua Saudi Arabia kuandaa Kombe la Dunia 2034
SWAHILI NEWS

FIFA yatakiwa kutoichagua Saudi Arabia kuandaa Kombe la Dunia 2034

MUKSININovember 11, 2024

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu yamelitaka Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) kusitisha mchakato wa kuichagua Saudi Arabia kuwa mwenyeji…

Tahadhari kuhusu matokeo ya kukiukwa haki za binadamu katika kipindi kingine cha urais wa Trump
SWAHILI NEWS

Tahadhari kuhusu matokeo ya kukiukwa haki za binadamu katika kipindi kingine cha urais wa Trump

MUKSININovember 11, 2024

Shirika la Human Rights Watch limetoa onyo kali likisema kuwa muhula wa pili wa urais wa Donald Trump ni tishio…

Iran yatengeneza dawa ya vidonda vya mguuni vinavyosababishwa na kisukari
SWAHILI NEWS

Iran yatengeneza dawa ya vidonda vya mguuni vinavyosababishwa na kisukari

MUKSININovember 11, 2024

Kwa mara ya kwanza, kampuni ya maarifa ya kisayansi na ujuzi ya Iran imefanikiwa kusambaza dawa ya kutibu vidonda vya…

Wakuu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wajadili diplomasia ya ulinzi mjini Tehran
SWAHILI NEWS

Wakuu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wajadili diplomasia ya ulinzi mjini Tehran

MUKSININovember 11, 2024

Viongozi wa ngazi ya juu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wamejadili njia za kuboresha diplomasia ya ulinzi kati…

Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai
SWAHILI NEWS

Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai

MUKSININovember 11, 2024

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala…

Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha Wazayuni huko Golan
SWAHILI NEWS

Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha Wazayuni huko Golan

MUKSININovember 11, 2024

Harakatii ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza imekishambulia kwa makombora kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na…

Baraza la mawaziri la Somalia lamfukuza kazi mkuu wa jeshi na kumteua tena mtangulizi wake
SWAHILI NEWS

Baraza la mawaziri la Somalia lamfukuza kazi mkuu wa jeshi na kumteua tena mtangulizi wake

MUKSININovember 11, 2024

Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Somalia wiki hii lilimfukuza kazi mkuu wa vikosi vya jeshi Ibrahim Sheikh Muhyadin Addow,…

Raila Odinga kuhuisha ndoto ya kuunganisha nchi za Afrika
SWAHILI NEWS

Raila Odinga kuhuisha ndoto ya kuunganisha nchi za Afrika

MUKSININovember 11, 2024

Fikra ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya ya kutaka kuziunganisha pamoja nchi za Afrika imemulikwa na kuakisiwa katika vyombo…

Kushindwa tena Wazayuni, mara hii katika mitaa ya Amsterdam
SWAHILI NEWS

Kushindwa tena Wazayuni, mara hii katika mitaa ya Amsterdam

MUKSININovember 11, 2024

Kufuatia dharau na matusi ya mashabiki wa Kizayuni dhidi ya bendera ya Palestina baada ya kumalizika mechi ya kandanda kati…

Jumatatu, tarehe 11 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumatatu, tarehe 11 Novemba, 2024

MUKSININovember 11, 2024

Leo ni Jumatatu tarehe 9 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe 11 Novemba mwaka 2024. Tarehe 9 Jamadil Awwal…

Rais wa Iran: Mkutano wa kilele wa Riyadh unaweza kusaidia kukomesha uhalifu wa Israel
SWAHILI NEWS

Rais wa Iran: Mkutano wa kilele wa Riyadh unaweza kusaidia kukomesha uhalifu wa Israel

MUKSININovember 11, 2024

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, anasema ana imani kwamba mkutanowa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Jumuiya…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia
SWAHILI NEWS

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia

MUKSININovember 11, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza suala la kujenga hali ya kuaminiana kimataifa na kusema, Jamhuri ya Kiislamu…

Wanamuqawama wa al Qassam wawaangamiza wanajeshi 15 wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Wanamuqawama wa al Qassam wawaangamiza wanajeshi 15 wa Kizayuni

MUKSININovember 11, 2024

Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimetangaza kuwa wanamuqawama…

Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine
SWAHILI NEWS

Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine

MUKSININovember 11, 2024

Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kuushughulikia mgogoro wa Ukraine…

Maporomoko ya udongo yauwa 12 nchini Cameroon
SWAHILI NEWS

Maporomoko ya udongo yauwa 12 nchini Cameroon

MUKSININovember 11, 2024

Wafanyakazi wa huduma za uokoaji wamepata miili 12 ya watu waliopoteza maisha katika maporomoko ya udongo yaliyomeza barabara huko magharibi…

Waziri wa Sheria alaani vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani na Magharibi dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Waziri wa Sheria alaani vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani na Magharibi dhidi ya Iran

MUKSININovember 11, 2024

Waziri wa Sheria wa Iran amelaani vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla dhidi ya…

Putin: Russia itaendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali
SWAHILI NEWS

Putin: Russia itaendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali

MUKSININovember 10, 2024

Rais Vladmir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendelea kutoa msaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali, yakiwemo mapambano…

Spika wa Bunge: Iran haiathiriwi na matokeo ya uchaguzi wa marais wa nchi za kigeni
SWAHILI NEWS

Spika wa Bunge: Iran haiathiriwi na matokeo ya uchaguzi wa marais wa nchi za kigeni

MUKSININovember 10, 2024

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesema uwezo wa Iran wa kutetea maslahi…

Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa
SWAHILI NEWS

Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa

MUKSININovember 10, 2024

Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wametangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya wa harakati hiyo huku wakisisitiza…

Israel imeua waandishi habari 188 wa Kipalestina tangu Okotaba mwaka jana
SWAHILI NEWS

Israel imeua waandishi habari 188 wa Kipalestina tangu Okotaba mwaka jana

MUKSININovember 10, 2024

Ofisi ya vyombo vya habari katika Ukanda wa Gaza, ambako utawala wa Israel umekuwa ukiendesha vita vya mauaji ya kimbari…

Israel imeua waandishi habari 188 wa Kipalestina tangu Oktoba mwaka jana
SWAHILI NEWS

Israel imeua waandishi habari 188 wa Kipalestina tangu Oktoba mwaka jana

MUKSININovember 10, 2024

Idara ya Yyombo vya Habari katika Ukanda wa Gaza, ambako utawala wa Israel umekuwa ukiendesha vita vya mauaji ya kimbari…

Spika wa Bunge: Iran haiathiriwi na matokeo ya uchaguzi wa rais wa nchi za kigeni
SWAHILI NEWS

Spika wa Bunge: Iran haiathiriwi na matokeo ya uchaguzi wa rais wa nchi za kigeni

MUKSININovember 10, 2024

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesema uwezo wa Iran wa kutetea maslahi…

Mtaalamu wa UN akosoa vyombo vya habari vya magharibi kwa kuficha ghasia za Waisraeli Amsterdam
SWAHILI NEWS

Mtaalamu wa UN akosoa vyombo vya habari vya magharibi kwa kuficha ghasia za Waisraeli Amsterdam

MUKSININovember 10, 2024

Mtaalamu wa sheria wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuchunguzwa kwa “kuficha” utangazaji wa…

Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa
SWAHILI NEWS

Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa

MUKSININovember 10, 2024

Wapiganaji wa harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wametangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya wa harakati hiyo huku wakisisitiza…

Putin: Russia itendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali
SWAHILI NEWS

Putin: Russia itendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali

MUKSININovember 10, 2024

Rais wa Russia, Vladmir Putin, amesema nchi yake itaendelea kutoa msaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali ikiwemo katika…

Somalia yasema Ethiopia haitaruhusiwa kuchangia askari wa kikosi kipya cha AU
SWAHILI NEWS

Somalia yasema Ethiopia haitaruhusiwa kuchangia askari wa kikosi kipya cha AU

MUKSININovember 10, 2024

Somalia imesisitiza kwamba Ethiopia haitakuwa sehemu ya ujumbe mpya wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini humo, huku mataifa…

Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma
SWAHILI NEWS

Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma

MUKSININovember 10, 2024

Kongamano la Kimataifa la Fikra za Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, limefanyika mjini Tehran…

Qatar yakadhibisha madai ya kufunga ofisi ya HAMAS mjini Doha
SWAHILI NEWS

Qatar yakadhibisha madai ya kufunga ofisi ya HAMAS mjini Doha

MUKSININovember 10, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amepuuzilia mbali ripoti za baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kufungwa…

Ndege za kivita za US na UK zashambulia miji ya Yemen
SWAHILI NEWS

Ndege za kivita za US na UK zashambulia miji ya Yemen

MUKSININovember 10, 2024

Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti katika mkoa wa Sana’a na maeneo mengine ya…

Iran: Ushindi wa Trump hautakuwa na athari yoyote kwa uchumi wetu
SWAHILI NEWS

Iran: Ushindi wa Trump hautakuwa na athari yoyote kwa uchumi wetu

MUKSININovember 10, 2024

Gavana wa Benki Kuu ya Iran (CBI), Mohammad-Reza Farzin amesema kuchaguliwa tena Donald Trump kuwa rais wa Marekani hakuna mfungamano…

Mgonjwa ‘wa mwisho’ wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini
SWAHILI NEWS

Mgonjwa ‘wa mwisho’ wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini

MUKSININovember 10, 2024

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya mwezi mmoja baada ya Rwanda kutangaza mripuko wa ugonjwa wa virusi vya…

Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria
SWAHILI NEWS

Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria

MUKSININovember 10, 2024

Raia wa Lebanon wanaoishi nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria, wakati huu ambapo utawala…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan atoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kukomesha vita
SWAHILI NEWS

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan atoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kukomesha vita

MUKSININovember 10, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan, Ali Youssef, ametoa wito wa kufanyika “mazungumzo baina ya makundi yote ya Wasudani…

Iran yaonya kuhusu kuenea kwa vita vya Israel nje ya Asia Magharibi
SWAHILI NEWS

Iran yaonya kuhusu kuenea kwa vita vya Israel nje ya Asia Magharibi

MUKSININovember 10, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameonya kwamba matokeo mabaya ya uvamizi wa kikatili wa Israel kwenye…

Waziri Kombo: Tanzania kuendelea kuongeza fursa za lugha ya Kiswahili
SWAHILI NEWS

Waziri Kombo: Tanzania kuendelea kuongeza fursa za lugha ya Kiswahili

MUKSININovember 10, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza…

Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo
SWAHILI NEWS

Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo

MUKSININovember 10, 2024

Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrullah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua…

Wanaharakati: Itakuwa bora iwapo Trump atapuuza nchi za Afrika
SWAHILI NEWS

Wanaharakati: Itakuwa bora iwapo Trump atapuuza nchi za Afrika

MUKSININovember 10, 2024

Wanaharakati Afrika wamesema sera ya mambo ya nje ya Marekani haina faida kwa bara la Afrika na wala haileti maendeleo…

Hizbullah yadungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Israel ya Hermes 450
SWAHILI NEWS

Hizbullah yadungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Israel ya Hermes 450

MUKSININovember 10, 2024

Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wameiangusha ndege ya kivita ya Israel isiyo na rubani ilipokuwa ikiruka…

UN: Mafuriko nchini Sudan Kusini yaathiri watu milioni 1.4
SWAHILI NEWS

UN: Mafuriko nchini Sudan Kusini yaathiri watu milioni 1.4

MUKSININovember 10, 2024

Mafuriko makubwa nchini Sudan Kusini yameathiri takriban watu milioni 1.4, na kuwakosesha makazi wengine 379,000. Hayo ni kwa mujibu wa…

Jumapili, 10 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumapili, 10 Novemba, 2024

MUKSININovember 10, 2024

Leo ni Jumapili 8 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na 10 Novemba 2024 Miladia. Miaka 541 iliyopita muwafaka na leo, alizaliwa Martin…

Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
SWAHILI NEWS

Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland

MUKSININovember 10, 2024

Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya…

Iran na Sudan zajadili uhusiano na masuala ya kiuchumi
SWAHILI NEWS

Iran na Sudan zajadili uhusiano na masuala ya kiuchumi

MUKSININovember 9, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amekutana na Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi wa Sudan,…

WHO yanaonya juu ya kuongezeka mashambulio ya virusi vya mtandaoni dhidi ya hospitali
SWAHILI NEWS

WHO yanaonya juu ya kuongezeka mashambulio ya virusi vya mtandaoni dhidi ya hospitali

MUKSININovember 9, 2024

Shirika la Afya Duniani (WHO) na nchi hamsini zimeonya juu ya kuongezeka mashambulizi ya virusi vya kuombea vikombolea (ransomware) dhidi…

Baraza la Usalama lawaweka vikwazo viongozi wawili wa RSF nchini Sudan
SWAHILI NEWS

Baraza la Usalama lawaweka vikwazo viongozi wawili wa RSF nchini Sudan

MUKSININovember 9, 2024

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo viongozi wawili wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) nchini Sudan,…

Uhispania yazuia meli 2 za Kimarekani zinazobeba silaha za Israel kutia nanga kwenye bandari yake
SWAHILI NEWS

Uhispania yazuia meli 2 za Kimarekani zinazobeba silaha za Israel kutia nanga kwenye bandari yake

MUKSININovember 9, 2024

Uhispania imekataa kuruhusu meli 2 za Marekani kutia nanga kwenye bandari yake kwa sababu zimebeba silaha kwa ajili ya utawala…

Spika wa Iran: Israel haiheshimu mapatano yoyote
SWAHILI NEWS

Spika wa Iran: Israel haiheshimu mapatano yoyote

MUKSININovember 9, 2024

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Ghalibaf amesema kuuawa shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us