Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us

Category: SWAHILI NEWS

Mripuko wa bomu wa kando ya barabara waua watu 3 katika mji mkuu wa Somalia
SWAHILI NEWS

Mripuko wa bomu wa kando ya barabara waua watu 3 katika mji mkuu wa Somalia

MUKSININovember 14, 2024

Askari wawili na raia mmoja wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea kando ya barabara katika mji…

Boko Haram waua raia wasiopungua 10 nchini Cameroon
SWAHILI NEWS

Boko Haram waua raia wasiopungua 10 nchini Cameroon

MUKSININovember 14, 2024

Rais wasiopungua 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi jipya la genge la kigaidi la Boko Haram nchini Cameroon.…

Jinai mpya za Israel: Zaidi ya Wapalestina 2,000 wauawa kwa umati katika siku 38
SWAHILI NEWS

Jinai mpya za Israel: Zaidi ya Wapalestina 2,000 wauawa kwa umati katika siku 38

MUKSININovember 14, 2024

Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Ukanda wa Ghaza imetangaza kuwa, wanajeshi makatili wa Israel wameua shahidi zaidi…

Hizbullah yaendelea kutoa vipigo, sasa imepiga wizara ya vita ya Israel
SWAHILI NEWS

Hizbullah yaendelea kutoa vipigo, sasa imepiga wizara ya vita ya Israel

MUKSININovember 14, 2024

Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon jana Jumatano uliitwanga kwa mara ya kwanza wizara ya vita ya utawala wa Kizayuni mjini…

Waislamu wana wasiwasi kuhusu ongezeko la ubaguzi katika nchi za Ulaya
SWAHILI NEWS

Waislamu wana wasiwasi kuhusu ongezeko la ubaguzi katika nchi za Ulaya

MUKSININovember 14, 2024

Shirika la Haki za Msingi la Umoja wa Ulaya limetangaza kwamba Waislamu wa bara hilo wameathiriwa na ongezeko kubwa la…

Msimamo mmoja wa nchi za Kiislamu na Kiarabu katika kulaani jinai za Israel dhidi ya Gaza
SWAHILI NEWS

Msimamo mmoja wa nchi za Kiislamu na Kiarabu katika kulaani jinai za Israel dhidi ya Gaza

MUKSININovember 14, 2024

Kikao cha dharura cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu…

Alkhamisi, tarehe 14 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Alkhamisi, tarehe 14 Novemba, 2024

MUKSININovember 14, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na 14 Novemba 2024. Siku kama ya leo miaka 491 iliyopita,…

Magaidi 11 wenye mfungamano na Israel waangamizwa na kutiwa nguvuni mashariki ya Iran
SWAHILI NEWS

Magaidi 11 wenye mfungamano na Israel waangamizwa na kutiwa nguvuni mashariki ya Iran

MUKSININovember 13, 2024

Msemaji wa mazoezi ya kijeshi ya “Mashahidi wa Usalama” katika Kamandi ya Quds ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya…

Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo kikubwa cha jeshi la anga la Israel
SWAHILI NEWS

Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo kikubwa cha jeshi la anga la Israel

MUKSININovember 13, 2024

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, kwa mara ya kwanza, imeshambulia kwa makombora kambi kubwa ya jeshi la…

Afrika Kusini yatoa ushahidi ICJ kuonesha Israel inavyowatesa kwa njaa Wapalestina wa Ghaza
SWAHILI NEWS

Afrika Kusini yatoa ushahidi ICJ kuonesha Israel inavyowatesa kwa njaa Wapalestina wa Ghaza

MUKSININovember 13, 2024

Afrika Kusini imesema, ushahidi iliotoa katika kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Mahakama…

UN: Nchi zinazohusika ziache kuzipatia silaha pande zinazopigana nchini Sudan
SWAHILI NEWS

UN: Nchi zinazohusika ziache kuzipatia silaha pande zinazopigana nchini Sudan

MUKSININovember 13, 2024

Umoja wa Mataifa umesema, kuendelea kuwasambazia silaha askari wa jeshi na wa vikosi vya wanamgambo wanaopigana nchini Sudan ndiko “kunakowezesha…

Imani ya dini ya vijana Wakristo Ujerumani inapungua kulinganisha na ya vijana wa Kiislamu
SWAHILI NEWS

Imani ya dini ya vijana Wakristo Ujerumani inapungua kulinganisha na ya vijana wa Kiislamu

MUKSININovember 13, 2024

Matokeo ya utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Ujerumani ya Shell Jugendstudie (Shell Youth Study) yanaonyesha kuwa, nafasi ya imani…

Wamarekani Waarabu waliompigia kura Trump wamhimiza asimamishe vita Ghaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Wamarekani Waarabu waliompigia kura Trump wamhimiza asimamishe vita Ghaza na Lebanon

MUKSININovember 13, 2024

Wamarekani Waarabu waliompigia kura Donald Trump katika mji wenye Waislamu wengi wa Dearborn, jimboni Michigan wamemtaka rais huyo mteule atoe…

Kuimarishwa uhusiano wa kiusalama kati ya Iran na Pakistan
SWAHILI NEWS

Kuimarishwa uhusiano wa kiusalama kati ya Iran na Pakistan

MUKSININovember 13, 2024

Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa katika safari yake ya…

Araghchi aionya Marekani kuhusu toleo la pili la “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Araghchi aionya Marekani kuhusu toleo la pili la “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” dhidi ya Iran

MUKSININovember 13, 2024

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kuanzisha tena kampeni yake “mashinikizo…

Umoja wa Mataifa: Israel ilikwamisha asilimia 85 ya majaribio ya kupelekwa misaada Gaza
SWAHILI NEWS

Umoja wa Mataifa: Israel ilikwamisha asilimia 85 ya majaribio ya kupelekwa misaada Gaza

MUKSININovember 13, 2024

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 85 ya majaribio yake ya kuratibu misafara ya misaada na ziara za kibinadamu kaskazini…

Guterres: Mataifa ya dunia yachukue hatua kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
SWAHILI NEWS

Guterres: Mataifa ya dunia yachukue hatua kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

MUKSININovember 13, 2024

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema kuwa, kuna ulazima wa kuchukua hatua za utekelezaji wa mabadiliko ya…

Mahakama ya rufaa ya Mali yakataa ombi la kuwaachia huru baadhi ya wapinzani
SWAHILI NEWS

Mahakama ya rufaa ya Mali yakataa ombi la kuwaachia huru baadhi ya wapinzani

MUKSININovember 13, 2024

Mahakama ya rufaa katika mji mkuu wa Mali, Bamako jana ilikataa ombi la kuwaachiwa huru mawaziri na wanasiasa 11 waliokuwa…

Serikali ya Niger yalifutia leseni shirika jingine la mkoloni Ufaransa
SWAHILI NEWS

Serikali ya Niger yalifutia leseni shirika jingine la mkoloni Ufaransa

MUKSININovember 13, 2024

Utawala wa kijeshi nchini Niger umetangaza kuwa, umefuta leseni ya shirika lisilo la kiserikali la Acted la Ufaransa kufanya kazi…

Iran, Russia na Uturuki zalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
SWAHILI NEWS

Iran, Russia na Uturuki zalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina

MUKSININovember 13, 2024

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja zikilaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika…

Miito ya kutimuliwa uwanachana Israel Umoja wa Mataifa yazidi kuongezeka
SWAHILI NEWS

Miito ya kutimuliwa uwanachana Israel Umoja wa Mataifa yazidi kuongezeka

MUKSININovember 13, 2024

Mataifa mbalimbali duniani yameendelea kutoa wito wa kufutiwa uanachama Israel katika Umoja wa Mataifa kutokana na jinai zake dhidi ya…

Kura ya maoni inatabiri kuwa kiongozi wa upinzani atashinda uchaguzi wa urais nchini Ghana
SWAHILI NEWS

Kura ya maoni inatabiri kuwa kiongozi wa upinzani atashinda uchaguzi wa urais nchini Ghana

MUKSININovember 13, 2024

Uchunguzi wa maoni iunaonyesha kwamba kiongozi mkuu wa upinzani nchini Ghana, John Dramani Mahama, atashinda uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika…

Polisi Msumbiji yakamata kilo 573 za kokeini katika meli ya India
SWAHILI NEWS

Polisi Msumbiji yakamata kilo 573 za kokeini katika meli ya India

MUKSININovember 13, 2024

Polisi ya Msumbiji imekamata kilo 573 sawa na (pauni 1,263) za dawa za kulevya aina ya kokeini katika meli ya…

Tunisia yasambaratisha mtandao wa magendo ya binadamu karibu na mji mkuu Tunis
SWAHILI NEWS

Tunisia yasambaratisha mtandao wa magendo ya binadamu karibu na mji mkuu Tunis

MUKSININovember 13, 2024

Walinzi wa Taifa wa Tunisia wametangaza kuwa wamesambaratisha mtandao wa magendo ya binadamu unaohusika na kusafirisha wahamiaji wasio na vibali…

Netanyahu ajificha kwenye ‘chumba cha chini ya ardhi’ kwa kuhofia mapigo ya Wanamuqawama
SWAHILI NEWS

Netanyahu ajificha kwenye ‘chumba cha chini ya ardhi’ kwa kuhofia mapigo ya Wanamuqawama

MUKSININovember 13, 2024

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameripotiwa kuwa anafanya kazi kutoka kwenye “chumba cha chini ya ardhi” kwa hofu ya…

Jumatano, 13 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumatano, 13 Novemba, 2024

MUKSININovember 13, 2024

Leo ni Jumatano tarehe 11 Jamadil Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2024. Siku kama ya leo…

Matukio ya Amsterdam dhihirisho la utambulisho halisi wa Wazayuni
SWAHILI NEWS

Matukio ya Amsterdam dhihirisho la utambulisho halisi wa Wazayuni

MUKSININovember 13, 2024

Kinyume na riwaya na simulizi iliyogeuzwa ya ghasia za Wazayuni huko Amsterdam Uholanzi, sasa Wazayuni wavamizi katika nchi nyingine za…

Mkutano wa UN kuhusu hali ya hewa waanza Baku, viongozi nchi kubwa wahepa
SWAHILI NEWS

Mkutano wa UN kuhusu hali ya hewa waanza Baku, viongozi nchi kubwa wahepa

MUKSININovember 12, 2024

Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa (COP29) unendelea huko Baku nchini Azarbaijan, huku baadhi ya watu wenye…

Libya ina hamu ya kujiunga na BRICS
SWAHILI NEWS

Libya ina hamu ya kujiunga na BRICS

MUKSININovember 12, 2024

Libya imetangaza kuwa ina hamu ya kujiunga na jumuiya ya uchumi ya BRICS. Hayo yameelezwa na afisa wa wizara ya…

Baraza la Usalama kuzichukulia hatua pande hasimu nchini Sudan
SWAHILI NEWS

Baraza la Usalama kuzichukulia hatua pande hasimu nchini Sudan

MUKSININovember 12, 2024

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesema kuwa, wanathathmini azimio lililoandaliwa na Uingereza, kutaka jeshi na wanamgambo…

Maafisa watano wa jeshi la Israel waangamizwa kaskazini mwa Ghaza
SWAHILI NEWS

Maafisa watano wa jeshi la Israel waangamizwa kaskazini mwa Ghaza

MUKSININovember 12, 2024

Maafisa wengine watano wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na wanamapambano wa Kiislamu kaskazini mwa Ukanda wa…

Wanafunzi wa Kiyahudi waandamana London kumuunga mkono Ripota wa Umoja wa Mataifa, Albanese
SWAHILI NEWS

Wanafunzi wa Kiyahudi waandamana London kumuunga mkono Ripota wa Umoja wa Mataifa, Albanese

MUKSININovember 12, 2024

Wanafunzi wa Kiyahudi wamefanya maandamano mbele ya Shule ya Mafunzo ya Mashariki na Afrika katika Chuo Kikuu cha London wakitangaza…

Trump amteua Mrepublican mkereketwa wa Israel na adui mkubwa wa Iran kuwa balozi UN
SWAHILI NEWS

Trump amteua Mrepublican mkereketwa wa Israel na adui mkubwa wa Iran kuwa balozi UN

MUKSININovember 12, 2024

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mbunge wa chama cha Republican Elise Stefanik, muungaji mkono mkubwa wa utawala wa…

Azma ya Iran na Saudi Arabia ya kuimarisha uhusiano baina yao
SWAHILI NEWS

Azma ya Iran na Saudi Arabia ya kuimarisha uhusiano baina yao

MUKSININovember 12, 2024

Viongozi wa ngazi ya juu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wamejadili njia za kuboresha diplomasia ya ulinzi kati…

Taarifa ya kikao cha Riyadh yasisitiza kuliunga mkono kwa dhati taifa la Palestina
SWAHILI NEWS

Taarifa ya kikao cha Riyadh yasisitiza kuliunga mkono kwa dhati taifa la Palestina

MUKSININovember 12, 2024

Washiriki wa kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia wamesisitiza umuhimu wa suala…

Jeshi la Israel laua Wapalestina 14 Ghaza baada ya kuua Walebanon 14 pia Bekaa
SWAHILI NEWS

Jeshi la Israel laua Wapalestina 14 Ghaza baada ya kuua Walebanon 14 pia Bekaa

MUKSININovember 12, 2024

Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendelea kufanya jinai za mauaji ya kinyama katika Ukanda wa Ghaza kwa kuwaua…

Jihadul Islami: Maneno ya waziri wa fedha wa Israel yamewazaba kibao wafanya mapatano
SWAHILI NEWS

Jihadul Islami: Maneno ya waziri wa fedha wa Israel yamewazaba kibao wafanya mapatano

MUKSININovember 12, 2024

Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza katika taarifa kwamba, kauli ya Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu kuukalia…

Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (8)
SWAHILI NEWS

Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (8)

MUKSININovember 12, 2024

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Podkasti ya “Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo” mbali na kutoa maana ya fikra chafu ya ukoloni,…

Muqawama wa Kiislamu wa Iraq washambulia ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Muqawama wa Kiislamu wa Iraq washambulia ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni

MUKSININovember 12, 2024

Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umefanya shambulizi la ndege isiyo na rubani kwenye kituo cha kijeshi kusini mwa…

Ufaransa yapiga marufuku bendera ya Palestina katika mechi ya soka kati ya nchi hiyo na Israel
SWAHILI NEWS

Ufaransa yapiga marufuku bendera ya Palestina katika mechi ya soka kati ya nchi hiyo na Israel

MUKSININovember 12, 2024

Mamlaka za Ufaransa zimetumia kisingizio cha fujo zilizotokea wiki iliyopita nchini Uholanzi, kupiga marufuku watazamaji kubeba bendera ya Palestina kwenye…

Kiongozi Mkuu wa Kanisa UK ashinikizwa ajiuzulu kwa kunyamazia udhalilishaji wa kingono
SWAHILI NEWS

Kiongozi Mkuu wa Kanisa UK ashinikizwa ajiuzulu kwa kunyamazia udhalilishaji wa kingono

MUKSININovember 12, 2024

Mkuu wa Kanisa la Uingereza, ambaye ni kiongozi wa kiroho wa Kanisa la Kianglikana duniani anashinikizwa ajiuzulu baada ya uchunguzi…

Iran: Kura ya maoni ndilo suluhisho pekee la kidemokrasia la kudumu kuhusu kadhia ya Palestina
SWAHILI NEWS

Iran: Kura ya maoni ndilo suluhisho pekee la kidemokrasia la kudumu kuhusu kadhia ya Palestina

MUKSININovember 12, 2024

Mohammad Reza Aref, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa kufanyika kura ya maoni…

Jumanne, 12 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumanne, 12 Novemba, 2024

MUKSININovember 12, 2024

Leo ni Jumanne tarehe 10 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na 12 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…

Kushadidi hitilafu katika Umoja wa Ulaya
SWAHILI NEWS

Kushadidi hitilafu katika Umoja wa Ulaya

MUKSININovember 12, 2024

Katika miaka ya hivi karibuni, nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekuwa zikikabiliwa na mizozo kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa…

Viongozi wa Kiislamu wataka kukomeshwa mara moja jinai za Israel huko Ghaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Viongozi wa Kiislamu wataka kukomeshwa mara moja jinai za Israel huko Ghaza na Lebanon

MUKSININovember 12, 2024

Viongozi wa Kiislamu na wa Kiarabu ambao wameitisha mkutano wa dharura mjini Riyadh Saudi Arabia wameutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe…

Chama tawala Mauritius chakubali kushindwa katika uchaguzi Bunge
SWAHILI NEWS

Chama tawala Mauritius chakubali kushindwa katika uchaguzi Bunge

MUKSININovember 12, 2024

Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Kumar Jugnauth jana Jumatatu alikubali kushindwa muungano wake wa chama tawala katika uchaguzi wa Bunge…

Takriban watu 11 wameuawa katika shambulio la RSF katikati mwa Sudan
SWAHILI NEWS

Takriban watu 11 wameuawa katika shambulio la RSF katikati mwa Sudan

MUKSININovember 12, 2024

Takriban watu 11 wameuawa na wengine 18 kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji…

Hizbullah: Kukimbia Israel kusini mwa Lebanon ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni
SWAHILI NEWS

Hizbullah: Kukimbia Israel kusini mwa Lebanon ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni

MUKSININovember 12, 2024

Msemaji wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kukimbia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kusini mwa Lebanon ni…

Russia yakanusha kuweko mazungumzo ya simu baina ya Putin na Trump
SWAHILI NEWS

Russia yakanusha kuweko mazungumzo ya simu baina ya Putin na Trump

MUKSININovember 12, 2024

Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amekanusha taarifa zilizodai kufanyika mazungumzo ya simu baina ya rais mteule wa Marekani Donald…

Kwa mara nyingine mfumo wa makombora wa Israel wadhalilishwa na Yemen
SWAHILI NEWS

Kwa mara nyingine mfumo wa makombora wa Israel wadhalilishwa na Yemen

MUKSININovember 11, 2024

Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeendelea kuyatwanga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni na kuzidi kuifedhehesha na kuidhalilisha…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us