Wananchi wa Morocco waandamana kuunga mkono Palestina
Wananchi wa Morocco wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala…
Mizozo ya kijeshi duniani
Wananchi wa Morocco wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala…
Kamati ya Haki za Binadamu na Masuala ya Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio na kusisitiza…
Watu watano wamefariki dunia, na zaidi ya 40 kujeruhiwa baada ya jengo kuporomoka katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam,…
Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa zimeangamiza maafisa…
Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo…
Ikulu ya Russia imetangaza habari ya kufanyika mazungumzo ya simu baina ya Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo na Kansela…
Kwa mara nyingine tena, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametaka kukomeshwa vita mara moja katika Ukanda wa…
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameamuru kuondolewa dawa hatari za kuua wadudu barabarani na madukani kama moja ya hatua…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetahadharisha kuhuusu uharibifu huo kamili wa kitongoji cha al-Bastan cha Quds Tukufu inayokaliwa…
Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa, Iran inaendelea kuunga mkono kwa kila hali…
Mmmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Samih Aliwi, aliuawa shahidi jana Ijumaa, Novemba 15,…
Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaokimbilia Canada imeongezeka kwa kasi kutokana na vipigo inavyopata Israel kutoka kwa wanamapambano wa Lebanon…
Nigeria inarekodi takriban vifo 15,000 vinavyohusiana na Ugonjwa wa Ukimwi kila mwaka licha ya juhudi za serikali za kukabiliana na…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limewaua au kuwakamata magaidi 69 wanaohusishwa na shirika la ujasusi…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa mamia kwa maelfu ya watu wamekimbia kutoka Jimbo la Aljazira katikati mwa…
Leo ni Jumamosi 14 Mfunguo Nane, Jamadul Awwal 1446 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Vedant Patel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ametoa matamshi ambayo yanaonyesha kuwa Marekani haiko tayari kwa…
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amevitaja vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu…
Polisi wa Ireland Kaskazini wamemuokoa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hilary Clinton kwa kumuondoa kwenye Chuo…
Serikali ya Afrika Kusini imetangaza hali ya maafa ya taifa zima kufuatia mafuriko makubwa na kimbunga kilichosababisha uharibifu mkubwa wa…
Mashabiki wa soka waliohudhuria mechi ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya mjini Paris kati ya Ufaransa na utawala wa Kizayuni…
Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wanatarajiwa kukutana mwishoni mwa juma hili, katika mji mkuu wa…
Kaunti nne ambazo ziko kwenye maeneo yanayokumbwa mno na ukame zinakabiliwa na hatari ya janga kubwa la njaa ambalo linaweza…
Bezalel Smotrich, Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni ametoa matamshi kuhusiana na ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya amesisitiza kwamba ulimwengu unaelewa kuwa Iran inafuatilia amani na usalama duniani kote…
Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Angola na rais wa nchi hiyo wamelaani vitendo vya jinai vya…
Shirika la Afya Duuniani (WHO) na lile la Marekani CDC yametangaza kuwa, kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa surua kiliongezeka…
Philippe Lazzarini, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), ameonya kuwa, kizazi kizima…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, watu zaidi ya milioni 7.3 wamepatwa na ugonjwa wa Malaria nchini Ethiopia huku…
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kuketi katika meza ya mazungumzo ya…
Imesisitizwa katika kikao cha balozi wa Sudan nchini Iran na Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la…
Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amependekeza kuwa, umoja huo unapaswa kusitisha mazungumzo yake ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu Ufaransa kutuma makombora nchini Ukraine. Akizungumza katika mahojiano na…
Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kupoteza maisha katika jimbo la Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya kwanza ya vita…
Leo ni Ijumaa tarehe 13 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1446 Hijria ambayo inasafidiana na tarehe 15 Novemba 2024. Siku kama ya…
Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA aliwasili mjini Tehran Jumanne jioni ambapo amekutana…
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, amri ya kuhama ilioyotolewa na Israel katika eneo…
Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wamefanya kumbukumbu ya Arubaini ya Sayyid Hassan Nasrullah aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati…
Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, ushirikiano wa Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati…
Utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonyesha kuwa, idadi ya watu wazima wanaougua kisukari duniani kote imeongezeka maradufu katika miongo mitatu iliyopita,…
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, silaha za Ufaransa zimekuwa zikitumika katika vita vya wenyewe kkwa wenyewe…
Kituo cha Kitaifa cha Ukuzaji Mtaala (NCDC) nchinin Uganda kimetangaza kuwa lugha ya Kiswahili itaanzishwa kama somo la lazima katika…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kuanzisha tena kampeni yake ya…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito wa kuzidishwa harakati za umma katika ngazi ya kimataifa katika…
Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandika barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza…
Watu wapatao 16 wamefariki dunia wakati mashua waliyokuwa wakisafiria kupitia mtoni magharibi mwa Madagascar kukumbwa na maporomoko ya udongo. Hayo…
Mashirika ya intelijensia ya Ujerumani na ya Kizayuni kwa uratibu wa karibu na utawala wa Tel Aviv yameripotiwa kwamba, yamekuwa…
Mbunge wa chama cha Leba nchini Uingereza Zarah Sultana amekosoa vikali mashirikisho ya juu ya soka duniani ya FIFA na…
Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limetangaza kuwa litaacha kuweka maandiko yake kwenye X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana…
Iran imelaani vikali wito wa waziri mmoja wa utawala haramu wa Israel wa kunyakua kikamilifu eneo la Palestina la Ukingo…