Waziri Tuggar: Nigeria inaunga mkono juhudi za ukombozi wa Palestina
Yusuf Maitama Tuggar, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesema kuwa nchi yake ingali inaunga mkono juhudi za kisiasa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Yusuf Maitama Tuggar, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesema kuwa nchi yake ingali inaunga mkono juhudi za kisiasa…
Wananchi wa Gabon wamepasisha katiba mpya ya nchi hiyo kwa wingi wa kura katika zoezi la kura ya maoni lililofanyika…
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa, hata wananchi wa Ulaya pia wametambua…
Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2024. Siku kama ya leo…
Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullah Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut,…
Gazeti la Washington Post limeripoti kwamba kuna uwezekano wa Marekani kukabiliwa na tishio kubwa zaidi kuliko silaha za nyuklia katika…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesisitiza kuwa jitihada zote za kuiwekea Tehran…
Bunge la Seneti la Australia limemkaripia seneta mtetezi wa haki za wakazi asili wa nchi hiyo, Lidia Thorpe, kwa matamshi…
Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka…
Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kwamba limeua wapiganaji 150 wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika vita vilivyozuka baina…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araqchi ametoa mjibizo kwa uamuzi wa Umoja…
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuuunga mkono Mhimili wa Muqawama, serikali na…
Jeshi la Yemen limetoa taarifa kuhusu mashambulizi liliyofanya dhidi ya baadhi ya maeneo nyeti na muhimu sana ya kijeshi ya…
Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekaribisha wito wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis wa kufanywa uchunguzi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amesisitiza ulazima wa kusitishwa haraka iwezekanavyo mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na jeshi la…
Rais Joe Biden wa Marekani ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka…
Watu 13 wamethibitika kufariki dunia na wengine 84 kujeruhiwa kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo katika eneo la Kariakoo mkoani…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani mashambulizi makali yaliyofanywa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel dhidi…
Mamia ya raia nchini Canada wameandamana katika mji mkuu Ottawa na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa…
Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu “mauaji ya halaiki” ya utawala…
Shirika la Habari la Bloomberg limetangaza kuwa, Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman ameghairi safari yake iliyokuwa imepangwa ya kushiriki…
Katika ripoti yake ya hivi karibuni zaidi, shirika la kuteteta haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine…
Leo ni Jumatatu tarehe 16 Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 18 Novemba 2024. Siku kama ya leo miaka 1165 iliyopita…
Mohammad Afif, afisa wa habari wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika shambulio la…
Mamia ya Maulamaa mashuhuri wa Kisunni wa nchini Iran wametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo na Maulamaa wa Ulimwengu…
Wapalestina wasiopungua 96 wameuawa shahidi na wengine 60 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa leo na jeshi la…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi 145 nchini Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita huku likishaidisha…
Kuendelea kwa jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon kumepelekea kupanuka uungaji mkono kwa Palestina na chuki dhidi…
Wasenegal leo wamepiga kura katika uchaguzi wa Bunge ambao utaamua kama rais mpya wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye ataweza…
Mabinti wa Malcolm X wamechukua hatua za kisheria za kulishtaki jeshi la Polisi la Marekani, Polisi ya Upelelezi (FBI) na…
Jenerali mstaafu wa jeshi la Nigeria ambaye alikwenda katika nchi kadhaa za Afrika zikiwemo Mali na Liberia kwa ajili ya…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med limesema kwamba limesajili makumi ya kesi za mauaji ya kukusudia na vitendo…
Mapema usiku wa kuamkia leo, moto umerushwa katika makazi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, huko Caesarea, tukio lililoelezwa…
Baada ya vita vya zaidi ya miezi 18 nchini Sudan kati ya jeshi la taifa na Vikosi vya Msaada wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi, amesema kuwa hivi sasa nchi za Ulaya zinaonyesha nia ya…
Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Azizi Nasirzadeh, ambaye yuko ziarani nchini Syria, amekutana na na kufanya mazungumzo na…
Bunge la Yemen limelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji mkuu wa Syria, Damascus na kuitaja hujuma hiyo ya…
Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi chetu cha leo ambacho kinaendelea kuzungumzia sababu za kuendelea kusimama…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baghaei amekanusha habari za kufanyika mkutano kati ya mwakilishi wa…
Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amekosoa…
Katika mahojiano na gazeti la El Pais la Uhispania, mwanahistoria wa Israel, Ilan PappĂ© amesema kuwa “mauaji ya kimbari ya…
Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya makombora katika…
Mahakama ya Ufaransa imeamuru kuachiliwa kwa mwanamapambano wa Lebanon, Georges Ibrahim Abdallah, ambaye alikamatwa miaka 40 iliyopita kutokana na mauaji…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa…
Leo ni Jumapili 15 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1446 Hijria mwafaka na 17 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Wapalestina wengine 18 wameuawa shahidi katika jinai mpya iliyotekelezwa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.…
Raia wa Gabon wamepiga kura ya maoni ya kuidhinisha katiba mpya katika hatua ambayo inaonekana kuwa muhimu kwa ajili ya…
Serikali ya Qatar imeonya kuhusiana na hatua ya kupigwa marukufu shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua…