Marais wa Marekani waliopokea zawadi za kifahari
Wapinzani na wafuasi wake wa Trump, wote wanaungana kupinga zawadi ya ndege ya Qatar. Lakini usichojua ni kwamba, utawala wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Wapinzani na wafuasi wake wa Trump, wote wanaungana kupinga zawadi ya ndege ya Qatar. Lakini usichojua ni kwamba, utawala wa…
Duru mpya ya mazungumzo imefanyika huko Doha baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga yaliouwa mamia ya watu.
Simba wametoka Berkane wakiwa wamefungwa 2-0, lakini hawajachapwa. Walianguka bila kupasuka, inasubiriwa kuona kama wanaweza kupindua meza mchezo wa pili…
“Kula kwa uangalifu mara nyingi husababisha kula polepole zaidi … kwa kawaida hupungua, unatulia ili kufahamu kile unachokula na matokeo…
Marekani na Saudi Arabia zimetia saini mkataba wa kihistoria wa ushirikiano wa kiuchumi na kijeshi wenye thamani ya mamia ya…
Watu tisa wameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani za Urusi dhidi ya basi la abiria kaskazini-mashariki mwa Ukraine,…
Liverpool wanapambana na vigogo wa Hispania kumsajili Adam Wharton, lakini wanaweza kumpoteza Harvey Elliott kwa Wolves, huku mawakala wa mshambuliaji…
Israel inasema iliwalenga wapiganaji wakuu wa Hamas waliojificha miongoni mwa raia katika hospitali ya Khan Younis.
Kwa Padri Robert Karanja Ireri, itachukua muda kuzoea kumuita rafiki yake Robert Prevost kwa jina lake jipya, Papa Leo XIV.
Wabunge wa Ulaya wameitaka Serikali ya Tanzania kumwachilia mara moja Lissu na bila masharti yoyote.
Cristiano Ronaldo ameongoza orodha ya Forbes ya wanariadha wanaolipwa fedha nyingi zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo, huku nyota wa…
Mamia ya video zinazotolewa na AI zikimuonesha Bw TraorĂ© kama shujaa wa Afrika nzima, nyingi zikiwa na taarifa za uongo,…
Kwa mara ya kwanza kwa miaka 32 Simba inacheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, ikiwa ni fainali ya…
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amesema hana matarajio makubwa na mazungumzo ya amani ya Ukraine-Russia.
Gumzo la kawaida liligeuka pale mume wake alikiri kwamba amekuwa akimtilia dawa ya usingizi kwenye chai na kumbaka.
Zelensky atakuwa katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara, leo Alhamisi kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan, ambapo alisema angekutana na…
Tunategemea jokofu kutunza chakula kisiharibike, lakini ikiwa halijoto si sawa, inaweza kufanya kinyume: kuwa mazalia ya bakteria.
Kulingana na maafisa wa ulinzi, ndege tatu zisizo na rubani zilidunguliwa wiki iliyopita, na kusema kuwa Houthis wamekuwa bora zaidi…
Kabla ya kuchaguliwa kuwa rais mwaka wa 2022, Ruto alivutia majina yaliyoimarisha sifa yake kama mtu wa watu.
Urusi bado haijasema ni nani itatuma mjini Istanbul na haijatoa kauli yake ya mwisho.
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la…
“Ancelotti ni chaguo la Brazil kwa sababu ya mafanikio, akishinda katika nchi tano,” anasema mchambuzi wa soka wa Amerika Kusini…
Ingawa mimea mingi duniani ina faida kubwa kiafya na kiikolojia, kuna baadhi ambazo ni hatari sana kwa maisha ya binadamu…
Watu wote 298 waliokuwemo kwenye ndege ya Malaysia Airlines walikufa baada ya kushambuliwa kwa kombora lililotengenezwa na Urusi.
Rais wa Marekani alipotangaza mpango wake wa kuzuru eneo la Ghuba, aliweka wazi kwamba kipaumbele chake ni kuvutia uwekezaji kutoka…
Alhamisi iliyopita, India iliishutumu Pakistan kwa kurusha wimbi la ndege zisizo na rubani na makombora katika kambi tatu za kijeshi…
Maafisa wakuu wa biashara kutoka pande zote mbili walikutana siku ya Jumamosi katika mkutano wa kwanza wa ngazi ya juu…
Edan Alexander, 21, anaaminika kuwa mateka wa mwisho mwenye uraia wa Marekani huko Gaza.
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha…
Bayern Munich hawana mpango wa kuongeza ofa yao kwa Leroy Sane, Napoli wako kimya kuhusu uhamisho wa Kevin de Bruyne…
Zaidi ya watu 100 wamekufa baada ya mafuriko katika kijiji karibu na mwambao wa Ziwa Tanganyika mashariki mwa Jamhuri ya…
“Siwezi kusema napenda pesa ninazopata kwa sababu kama mama, siwezi kufurahia ninapoona maafa yanayowakumba watoto wa wanawake wengine,” msafirishaji haramu…
Historia ya mapapa wa mwanzo ni chanzo cha mjadala mkubwa wa kitaaluma, na haijulikani ni wangapi walikuwa, kama Mtakatifu Petro,…
Wanawake huathirika kwa kiasi kikubwa zaidi na migogoro kati ya binadamu na tembo, anaeleza King. Mara nyingi wao hufanya kazi…
India haijatoa maoni juu ya madai ya Pakistan kwamba kambi zake za jeshi zimeshambuliwa na makombora.
Kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV kumeibua shangwe na nderemo miongoni mwa waumini wa Kikatoliki. Lakini ni changamoto gani zinazomkodolea macho…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Papa Leo XIV ameongoza misa katika Kanisa la Sistine, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo kama kiongozi Mkuu wa…
Papa wa kwanza kutoka Marekani, mwenye uzoefu wa kimataifa na moyo wa umisionari
Napoli mbioni kumsaka Kevin de Bruyne, klabu ya Italia inamnyatia Jack Grealish na Marcus Rashford ana hamu ya kuhamia Barcelona.
Robert Prevost, mwenye umri wa miaka 69, atakuwa kiongozi wa 267 wa Kanisa Katoliki duniani
Umati wa watu wenye furaha walikusanyika katika uwanja wa Mtakatifu Petro kushuhudia uchaguzi wa kihistoria wa Papa wa kwanza wa…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Kupanga mifupa ni hatua ya mwanzo katika mchakato mrefu wa kutafuta haki dhidi ya uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Syria.
Robert Kardinali Prevost ana umri wa miaka 69 na kuchaguliwa kwake kunafuatia kifo cha Papa Francis, aliyefariki akiwa na umri…
Bunge la Ulaya limetoa maazimio 6 kwa ajili ya Serikali ya Tanzania, ikiwemo kuachiwa huru kwa Kiongozi wa upinzani nchini…
Pakistan imesema ilishambulia droni 25 za India wakati mvutano unaendelea kuongezeka baada ya shambulizi la Jumatano.
Kongamano litakalomchagua mrithi wa Papa Francis lilianzisha sheria zake za msingi karne nyingi zilizopita.
Nta ni mchanganyiko wa nywele, ngozi iliyokufa na uchafu mwingine. Mara baada ya kuundwa kwenye mfereji wa sikio, husafirishwa kutoka…
Mvutano huu ni sehemu ya mvutano wa muda mrefu ambao umegharimu maisha ya maelfu ya watu. Mizizi wa mvutano huu…