Mgogoro mashariki mwa DRC katika ajenda ya mkutano usio wa kawaida wa SADC
Mkutano usio wa kawaida wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika kwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mkutano usio wa kawaida wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika kwa…
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulikuwa tena kiini cha majadiliano kati ya Félix Tshisekedi na mwenzake…
Shirika la kimataifa la Haki za Bindamu la Human Rights Watch (HRW) lina wasiwasi kuhusu kupungua kwa nafasi ya raia…
Jumuiya ya nchi za pembe ya Afrika IGAD, inaonya kuwa mapigano yaliyoripotiwa siku chache nchini Sudan Kusini, na kukamatwa kwa…
Angola imetangaza jana jioni katika taarifa ya ikulu ya rais kwamba mazungumzo ya amani ya moja kwa moja yatafanyika Jumanne,…
Haya ni mahojiano ambayo yanazua kelele nyingi nchini Iran. Mohsen Rafighdoost, waziri wa zamani wa Walinzi wa Mapinduzi (1982-1988), mrengo…
Shirikisho la Soka barani Afrika limefanya mkutano wake mkuu wa 14 usio wa kawaida leo Jumatano, Machi 12, mjini Cairo.…
Siku moja bada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na ule wa Ukraine, Kremlin imejibu pendekezo la usitishwaji mapigano…
Tume ya Ulaya imetangaza leo Jumatano asubuhi, Machi 12, kwamba itatoza ushuru wa forodha “wenye nguvu lakini wenye uwiano” kwa…
John Dramani Mahama amekamilisha ziara yake nchini Mali, Niger na Burkina Faso siku ya Jumatatu, Machi 10, ambapo alijadili hasa…
Nchini Senegal, Bunge la taifa limepitisha kwa kauli moja sheria inayomruhusu Rais wa Jamhuri kuidhinisha makubaliano kati ya Senegal na…
Akiwa ziarani Brussels kwa muda wa siku mbili zilizopita huku mashambulizi ya M23 yakiungwa mkono na majeshi ya Rwanda yakiendelea…
Ujumbe wa ngazi ya juu wa Belarus ukiongozwa na Naibu Waziri Mkuu Viktor Karankevich na unaojumuisha mawaziri sita umehitimisha ziara…
Hili ni moja ya masuali mengi wengi wanajiuliza kuhusu mazungumzo kati ya DRC na waasi wa M23. Haya ni baada…
Nchini Msumbiji, kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane, amemfungulia mashtaka rais Daniel Chapo kwa kuchochea machafuko nchini humo. Imechapishwa: 12/03/2025 –…
Uganda imetuma wanajeshi wake jijini Juba, nchini Sudan katika kile mkuu wa majeshi ya nchi hiyo Muhoozi Kainerugaba, amesema wamekwenda…
Marais wa DRC Felix Tshisekedi na wa Angola Joao Lorenco wamekutana jana mjini Luanda ambapo baada ya mkutano huo, serikali…
Ni kwenye ufuo wa Bahari Nyekundu huko Jeddah, Saudi Arabia, ambapo mkutano muhimu unafanyika Jumanne, Machi 11, kati ya wawakilishi…
Nchini Guinea, familia za waathiriwa wa mkasa wa Nzérékoré wamewasilisha malalamiko dhidi ya mamlaka ya mpito. Mnamo Desemba 1, 2024,…
“Sudan Kusini iko katika ukingo wa vita vipya vikubwa,” linaonya Shirika la Kimataifa linalotatua migogoro International Crisis Group (ICG), ambalo…
Nchini Kenya, ukarabati wa viwanja kadhaa vya soka unamtia wasiwasi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Katika ripoti yake ya…
Takriban watu 32 wamefariki siku ya Jumatatu Machi 10 katika ajali mbili za basi huko Mexico, viongozi wa majimbo ya…
Nchini Senegal, Wabunge wanatarajiwa kupiga kura katika kikao cha mashauriano leo Jumanne Machi 11 kuhusu mswada ambao utamuwezesha Rais wa…
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Washington iko tayari kujadiliana na Kinshasa makubaliano ambayo Marekani itatoa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametangaza siku ya Jumatatu, Machi 10, 2025, kwamba 83% ya mipango…
Haya ni makubaliano ambayo hayakutarajiwa kabisa. Nchini Syria, maelewano yaliafikiwa Jumatatu, Machi 10, kati ya rais wa mpito wa Syria,…
Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte amekamatwa leo Jumanne, Machi 11, baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa…
Ni kwenye ufuo wa Bahari Nyekundu huko Jeddah, nchini Saudi Arabia, ambapo mkutano muhimu ultafanyika leo Jumanne, Desemba 11, kati…
Vuguvugu la waasi na kijeshi la AFC-M23 linaendelea kusonga mbele. Baada ya siku nne za mapigano dhidi ya jeshi la…
Viongozi wa Marekani na Ukraine wamekubaliana kukutana nchini Saudi Arabia mwanzoni mwa juma kujaribu kupata msimamo wa pamoja kabla ya…
Maafisa wa chama cha PPRD, chama cha rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange, wameitishwa mbele ya mahakama za…
Wasafirishaji wa malori na wasafirishaji wa mizigo kutoka Rwanda wanasema wanapitia wakati mgumu kutokana na mzozo huo katika eneo la…
Korea Kaskazini imerusha “makombora kadhaa ya balestiki yasiyotambulika” Jumatatu, Machi 10, jeshi la Korea Kusini limetangaza, siku ambayo Korea Kusini…
Kufuatia wito wa Rais Salva Kiir siku ya Ijumaa, Machi 7 kutakakuwataka raia kuwa na utulivu, mashirika ya kiraia nchini…
Kamati ya fedha ya Bunge la taifa inachunguza kwa karibu bajeti ya juhudi kutoa motisha kwa wanajeshi walio vitani. kamati…
Nchini Côte d’Ivoire, vyama kumi na tano vya upinzani vinazindua muungano siku ya Jumatatu, Machi 10, kwa nia ya uchaguzi…
Wiki tatu baada ya M23 inayoungwa mkono na Rwanda kuchukuwa udhibiti wa mji wa Bukavu, mji mkuu wa Mkoa wa…
Rais wa Argentina Javier Milei ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya mafuriko kuua takriban watu 16 nchini…
Huku likihusishwa na uvamizi wa wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, shambulio hilo lililotekelezwa usiku wa Jumatano 5 kuamkia Alhamisi Machi 6,…
Rais wa Ghana John Dramani Mahama alianza ziara yake siku ya Jumamosi, Machi 8, katika nchi tatu za Muungano wa…
Kufuatia mahojiano mapya katika majengo ya kitengo cha mahakama kinachojihusisha na uchunguzi siku ya Jumamosi, Machi 8, muda wa kuzuiliwa…
Wakati ushirikiano wa kimahakama kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kuimarika, hususan katika vita dhidi ya ulanguzi wa dawa za…
Wagombea wa uchaguzi wa urais nchini Gabon mnamo Aprili 12 walikuwa na hadi Jumamosi hii saa kumi na mbili jioni…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imetangaza zawadi ya Dola Milioni tano, kwa yeyote atakayesaidia ukamataji wa viongozi wa…
Nchini Burkina Faso, jeshi la taifa limewaangamiza washukiwa kadhaa wa kigaidi, akiwemo kiongozi aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu wa kundi…
Uchaguzi wa rais na wabunge nchini Guinea-Bissau utafanyika tarehe 23 Novemba. Wiki moja mapema kuliko tarehe ya Novemba 30 iliyotangazwa…
Nchini Chad, Bunge la Seneti la kwanza katika historia ya nchi hiyo limemchagua rais wake siku ya Ijumaa, Machi 7,…
Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wametiliana saini, mkataba wa ushirikiano kati ya chama tawala UDA na…
Maeneo mawili kati ya matano ya jeshi la Ufaransa nchini Senegal yatakabidhiwa rasmi kwa mamlaka ya Senegal leo Ijumaa, Machi…
Hospitali katika miji kadhaa ya mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini zinakabiliwa na uhaba wa damu, wakati kukiripotiwa mapigano kati…