Emmanuel Macron: Ufaransa na Canada ni ‘chi za amani”‘na zinadai ‘ahadi za wazi’ kutoka Urusi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza siku ya Jumatatu, Machi 17, kwamba Ufaransa na Canada ni “nchi za amani” na…
Mizozo ya kijeshi duniani
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza siku ya Jumatatu, Machi 17, kwamba Ufaransa na Canada ni “nchi za amani” na…
Rwanda imetangaza Jumatatu, Machi 17, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikishutumu serikali ya zamani ya kikoloni kwa “kuunga mkono”…
Waasi wa Houthi wa Yemen wamedai kuhusika na shambulio la pili dhidi ya shehena ya ndege ya Marekani ya Harry…
Rais wa Marekani amebaini usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu, Machi 17, kwamba atazungumza na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, siku…
Waziri Mkuu mpya wa Canada, Mark Carney, amechagua Ufaransa na Uingereza kwa ziara yake ya kwanza rasmi nje ya nchi.…
Ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaripotiwa katika maeneo yanayokaliwa na waasi wa M23 katika mkoa wa Kivu Kusini, hasa…
Wanadiplomasia wa Marekani, wameonesha imani kuwa mapendekezo ya usitishaji mapigano kati ya Urusi na Ukraine yatakubaliwa katika wiki chache zijazo,…
Kwa siku kadhaa, tetesi zimekuwa zikienea kwamba baraza la mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya, linalokutana leo,…
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la…
Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mkutano wake wa kwanza mjini Kigali siku ya , Machi 16, mbele ya maelfu…
Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mkutano wake wa kwanza mjini Kigali siku ya , Machi 16, mbele ya maelfu…
Viongozi toka jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC, hivi…
Serikali ya DRC imesema itatuma ujumbe wake nchini Angola kwa mazungumzo yanayolenga kumaliza mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo kati…
Takriban wanamgambo watano me na karibu 30 kujeruhiwa siku ya Jumapili, Machi 16, katika shambulio jipya la waasi wanaotaka kujitenga…
Watu kadhaa wamefariki katika mkasa wa moto uliozuka katika klabu ya usiku huko Makedonia Kaskazini usiku wa Jumamosi Machi 15…
Matibabu yasiyopatikana, kupanda kwa bei na ulanguzi wa dawa za kulevya: inazidi kuwa vigumu kupata matibabu nchini Iran. Madaktari na…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku yaJumamosi, Machi 15, kwamba jeshi la Marekani lilifanya mashambulizi dhidi ya Houthis nchini…
Utawala wa Trump siku ya Jumamosi, Machi 15, 2025, umefuta wafanyakazi wa kituo cha habari cha Sauti ya Amerika (VOA),…
Mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Kinshasa na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, ambao wameteka miji miwili…
Uchimbaji umesitishwa katika mgodi wa Bisié mashariki mwa DRC. Kampuni ya Marekani ya Alphamin, ambayo hutumia amana hizi mbili za…
Je, hizi zinaweza kuwa dalili za kwanza za urekebishaji upya wa ulingo wa kisiasa nchini Guinea? Serikali ya mpito imewasilisha…
Togo haijawahi kuficha ukaribu wake na Mali, Niger na Burkina Faso, nchi tatu ambazo zimejitenga na ECOWAS na kuunda Muungano…
Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte siku ya Ijumaa Machi 14, 2025, amefikishwa kwa mara ya kwanza mbele ya…
Iran Villarreal Belmont, mwanasheria, amekuwa anaendesha ukurasa wa Facebook wa habari za ndani huko San Luis de la Paz, katika…
Ikulu ya rais wa Afrika Kusini siku ya Jumamosi, Machi 15, imetaja hatua ya kufukuzwa kwa balozi wake nchini Marekani…
Vita na mashambulizi dhidi ya raia vinatarajiwa kuwalazimisha watu milioni 6.7 kutoka makwao duniani kote katika kipindi cha miaka miwili…
Safari za ndege za wahamiaji wa Venezuela kutoka Marekani zitaanza tena Jumamosi, Machi 15, baada ya kusimamishwa na serikali ya…
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo…
Sudan imetangaza kusitisha uingizwaji wa bidhaa zote kutoka Kenya, baada ya nchi hiyo jirani mwezi Februari kutoa jukwaa kwa wanamgambo…
Waasi wa M 23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wamekaribisha kwa masharti tangazo la Angola, kushiriki kwenye mazungumzo na serikali ya…
Umoja wa Afrika, unatiwa mashaka na hali ya wasiwasi inayoshuhudiwa katika jimbo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia inayoweza kuzua vita…
China, Iran na Urusi zimetoa wito siku ya Ijumaa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Tehran wakati wa mazungumzo ya pande…
Kutokana na vikwazo vikali vya Marekani na Ulaya, Iran imeamua kununua dhahabu kwa wingi, ambayo ni kimbilio salama. Imechapishwa: 14/03/2025…
Kimbunga cha Jude kilipiga ufuo wa kaskazini mwa nchi mnamo siku ya Jumatatu, Machi 10, 2025, kikiwa na dhoruba za…
Ni miezi miwili tu iliyopita nchini Niger. Usiku wa Januari 13 kuamkia 14, 2025, Waziri wa zamani wa Mafuta “alitekwa…
Nchini Mali, ushuru mpya wa huduma za simu ulianza kutumika mnamo Machi 5. Serikali sasa inakata 10% ya gharama ya…
Mahakama ya kijeshi jijini Kinshasa imeanza kusikiliza kesi dhidi ya maofisa wa juu wa jeshi FARDC waliokimbia maeneo yao ya…
Viongozi mbalimbali wa upinzani wakiwemo marais wawili kutoka mataifa ya Afrika na wengine kutoka kwingineko duniani, siku ya Alhamisi walizuiwa…
Rais wa Urusi Vladimir Putin, amesema anakubaliana na wazo la kusitisha vita nchini Ukraine kwa siku 30, lakini kwa masharti.…
Takriban wanajeshi 20 wa Burundi wanaopigana na kundi lenye silaha la M23 na washirika wake wa Rwanda pamoja na jeshi…
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia…
Mvutano wa hivi majuzi nchini Sudani Kusini unaisukuma nchi hiyo maskini na isiyo na utulivu “karibu zaidi na ukingo wa…
Mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Ukraine na Urusi yanakaribia, lakini bado kuna safari ndefu. Wapatanishi wa Marekani, ambao wanatarajiwa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ameendelea kusalia hospitalini akipatiwa matibabu kutokana na matatizo ya kupumua wakati huu akifikisha…
Mawakili wa Rodrigo Duterte, ambao wako njiani kuelekea Hague kukabiliana na mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu katika Mahakama ya…
Viongozi kutoka nchi wanachama za SADC wanakutana kwa njia mtandao kujadili mzozo wa mashariki ya DRC ambapo pia wanafanyia tathmini…
Canada imetangaza siku ya Jumatano, Machi 12, nia yake ya kupunguza vikwazo vyake vya kifedha dhidi ya Syria na kuteua…
Akiwa amewasili Niger siku moja kabla, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi, amezuru…
Mkutano huo ambao utaongozwa na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya…
Takriban siku kumi baada ya vifo vya Frédéric Mounsi na Bienvenue Bello, watafiti wawili kutoka Taasisi ya Garoua ya Utafiti…