Jeshi la Sudani laiweka tena kwenye himaya yake ikulu ya rais mjini Khartoum
Takriban miaka miwili baada ya kutekwa kwake na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), ikulu ya rais mjini Khartoum imerejea…
Mizozo ya kijeshi duniani
Takriban miaka miwili baada ya kutekwa kwake na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), ikulu ya rais mjini Khartoum imerejea…
Wakaazi wa Walikale-centre wameanza kurejea hatua kwa hatua katika mji huo, ambao uko chini ya udhibiti wa waasi wa M23…
Wahamiaji karibu Elfu tisa, walipoteza maisha mwaka uliopita, wakitumia usafiri wa majini kujaribu kufika barani Ulaya, kwa mujibu wa ripoti…
Utawala wa Kremlin unasema agizo la rais Vladimir Putin kwa wanajeshi wake kutoshambulia miundombinu ya nishati nchini Ukraine bado linatumika…
Nchi ya Angola, ambayo inaongoza katika upatanishi wa mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inasema ilishtushwa na…
Shirika la wanahabari wasio na mipaka RSF katika taarifa yake limethibitisha kwamba wanahabari 18 nchini Uganda walishambuliwa na jeshi wakati…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza siku ya Alhamisi Machi 20 kwamba mkutano mpya utafanyika Alhamisi ya wiki ijayo huko…
Korea Kaskazini imetangaza leo Ijumaa kuwa imefanyia majaribio mfumo mpya wa makombora ya kutungulia ndege chini ya usimamizi wa kiongozi…
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi Sergei Shoigu amewasili Pyongyang ambapo atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un,…
Serikali ya Israeli imetangaza leo Ijumaa, Machi 21, kumfukuza kazi Ronen Bar, mkuu wa Shin Bet – idara ya usalama…
Rais wa Tunisia KaĆÆs SaĆÆed ameamua siku ya Alhamisi usiku, bila kutoa sababu zozote rasmi, kumfukuza kazi Waziri Mkuu Kamel…
Rais wa Marekani siku ya Alhamisi, Machi 20, 2025, ametia saini agizo kuu la kufungwa kwa Wizara ya Elimu ya…
Kampuni ya uhandisi ya Uchina, sasa itawekeza kiasi cha dola za Marekani bilioni 1.4 kwa ajili ya kuboresha njia ya…
Kirsty Coventry, amekuwa mwanamke wa kwanza kutoka barani Afrika kuongoza kamati ya kimataifa ya Olimpiki, ambapo ametengeneza historia baada ya…
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, amesema nchi yake haitafuti mzozo au adui wa muda mrefu na jirani yake nchi…
Ujerumani imefungua tena ubalozi wake nchini Syria, ambao ulikuwa umefungwa tangu mwaka 2012, duru za Wizara ya Mambo ya Nje…
Televisheni ya taifa ya Sudani imesema siku ya Alhamisi kwamba jeshi linakaribia kuchukua udhibiti wa Ikulu ya rais mjini Khartoum…
Utawala wa Kremlin umesema mazungumzo mengine kati ya Marekani na Urusi yanaweza kufanyika Jumapili ya wiki hii au wiki ijayo.…
Mfaransa Olivier Grondeau, ambaye amekuwa kizuizini nchini Iran tangu mwezi Oktoba 2022, “yuko huru, na ameunganishwa na familia yake nchini…
Hii ni hatua mpya katika kesi za kisheria dhidi ya Agathe Habyarimana nchini Ufaransa. Mahakama ya Rufaa ya Paris imechunguza,…
Kwa mujibu wa Gazeti la kila siku la Marekani la New York Times, utawala wa Trump unanuia kuweka vikwazo vya…
Mashirika ya kiraia nchini Sudan Kusini, yanatoa wito kwa nchi za kikanda na Jumuiya ya Kimataifa, kufanya kila kinachowezekana kuwakutanisha…
Kwa mara ya kwanza baada ya mwaka mmoja, FĆ©lix Tshisekedi na Paul Kagame, marais wa Kongo na Rwanda, walikutana mjini…
Madhara ya mzozo unaoendelea nchini DRC yanaendelea kushuhudiwa hadi nje ya mipaka ya nchi hiyo, ambapo wanafunzi wakongomani wanaosoma nchini…
Umoja wa Afrika (AU) umekaribisha mazungumzo katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kati ya wakuu wa nchi za Rwanda na…
Rais wa Ukraine, Volodymry Zelensky, amesema wamejadiliana na rais Donald Trump, kuhusu uwezekano wa Washington kuendesha kinu chake cha nishati…
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua mji mwingine muhimu mashariki mwa DRC, siku mbili kupita tangu kundi hilo…
Urusi na Ukraine, zinalaumiana baada ya kushuhudiwa kwa mashambulio ya angaa, yaliyolenga miundo mbinu ya nishati, saa chache baada ya…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo Jumatano kwamba kuanza tena kwa mashambulio ya Israeli huko Gaza ni “hatua kubwa inayorudisha…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza kwamba angezungumza na Donald Trump leo Jumatano, Machi 19, siku moja baada ya mazungmzo…
Jaji wa Mahakama ya Juu nchini Marekani John Roberts, siku ya Jumanne, Machi 18, amemkosoa rais wa Marekani, ambaye hapo…
Waasi wa Houthi nchini Yemen wamedai kufanya shambulio la nne ndani ya masaa 72 dhidi ya meli ya kivita ya…
Mazungumzo kuhusu kusitisha mapigano nchini Ukraine “yataanza Jumapili mjini Jeddah,” Saudi Arabia, mjumbe wa Marekani Steve Witkoff amesema siku ya…
Mmoja wa viogozi wa chama cha kisiasa cha Servir et non se servir (Sens), Idrissa Barry amekamatwa bila sababu yoyote…
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia na unyonyaji katika ujumbe wa kulinda amani na ule wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa,…
Hapo awali waliondoka mwezi Juni mwaka jana kwa misheni ya siku nane, Butch Wilmore na Suni Williams waliona muda wao…
Mazungumzo ya simu kati ya Vladimir Putin na Donald Trump, ambayo yamelenga juu ya pendekezo la kusitisha vita nchini Ukraine,…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda Paul Kagame, hapo jana wamefanya mazungumzo ya…
Hamas imetangaza vifo vya mkuu wake wa serikali, Essam al-Dalis, pamoja na Meja Jenerali wake Mahmoud Abu Watfa, Waziri wa…
Ukraine na Urusi zimekuwa zikishambuliana kwa makumi ya ndege zisizo na rubani tangu Jumatatu, Machi 17, siku moja kabla ya…
Israel imeapa kuendelea na mapigano katika Ukanda wa Gaza hadi pale ambapo mateka wote wanaoshikiliwa na Hamas wataachia huru. Imechapishwa:…
Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile…
Niger imetangaza siku ya Jumatatu, Machi 17, kujiondoa katika Shirika la Kimataifa la Francophonie (OIF). Niamey ilisimamishwa katika shirika hilo…
Walebanoni saba na Wasyria wengi wameuawa siku ya Jumatatu, Machi 17, katika mapigano yaliyozuka siku moja kabla kwenye mpaka wa…
Wakati Donald Trump ametangaza kuwa atakutana na Vladimir Putin leo, Jumanne, Machi 18 – tangazo lililothibitishwa na Kremlin – kuhusu…
Jeshi la Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza limetangaza siku ya Jumanne, Machi 18, idadi mpya ya vifo vya…
Wakati mzozo wa kibinadamu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ukizidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi mapya ya waasi…
Israel usiku wa kuamkia leo imetekeleza mashambulio mfululizo ya anga kwenye eneo la Gaza, ambapo watu zaidi ya 100 wameripotiwa…
Kigali imeishutumu Brussels kwa kuhujumu mara kwa mara Rwanda kutokana na mashambulizi ya M23 nchini Kongo. Imechapishwa: 18/03/2025 – 05:44Imehaririwa:…
Waasi wa M23 wanaosidiwa na Serikali ya Rwanda, jana jioni wametangaza kuwa hawatashiriki mazungumzo ya amani kati yake na Serikali…