Jeshi la Kongo lashutumu kuimarishwa kwa ngome za M23/AFC na jeshi la Rwanda Walikale
Vikosi vya Wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vinashutumu na kulaani uimarishaji wa ngome za jeshi la Rwanda…
Mizozo ya kijeshi duniani
Vikosi vya Wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vinashutumu na kulaani uimarishaji wa ngome za jeshi la Rwanda…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) hapo jana Alhamisi lilitoa wito kwa watawala wa kijeshi…
Watu milioni 28 wanakabiliwa na njaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hii ikiwa idadi ya juu zaidi kwa nchi…
Nchini Sudan Kusini, ongezeko la vita vya wenyewe kwa wenyewe linaendelea. Jioni ya Machi 26, Makamu wa Kwanza wa Rais…
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea na mashambulizi yake makubwa ya kibiashara. Siku ya Jumatano, ametangaza nyongeza ya asilimia 25 ya…
Mahakama nchini Algeria imemhukumu mwandishi maarufu wa vitabu, raia wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria Boualem Sansal, ambaye amekuwa kizuizini…
Baada ya kipindi cha zaidi ya miaka 10 cha msukosuko wa kifedha, shirika la ndege la Kenya, limeanza tena kuripoti…
Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Kigeni ya Baraza la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Christophe Lutundula amesema…
Korea Kaskazini ilituma wanajeshi 3,000 wa ziada nchini Urusi mwaka huu, pamoja na maelfu ambayo tayari yametumwa kusaidia uvamizi wa…
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema Alhamisi kutoka Tokyo kwamba “anatumaini tu kwamba haki itatendeka” katika kesi…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi siku ya Jumatano, Machi 26, amefunga safari ya haraka kwenda Luanda…
Nchini Algeria, jaji wa mahakama ya jinai ambaye Boualem Sansal alifikishwa mbele yake anatazamiwa kutoa uamuzi wake leo Alhamisi, Machi…
Makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ambaye ni hasimu wa muda mrefu wa rais Salva Kiir,…
Mkuu wa jeshi la Sudani Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jumatano jioni kwamba Khartoum “imekombolewa,” baada ya hapo awali kutangaza…
Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo,…
Nchini Sudani Kusini, kuna ongezeko jipya la uwezekano wa kurejea kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Makamu wa Kwanza wa…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akihotubia bunge, ametishia kuwa jeshi la nchi hiyo, litalazimika kuchukua baadhi ya maeneo ya…
Mapigano mapya kati ya muungano wa wapiganaji wa Wazalendo-Mai-Mai na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda, yameshuhudiwa katika kijiji cha…
Kiongozi wa kijeshi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, ameapishwa siku ya Jumatano, kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka…
Afisa wa polisi kutoka nchini Kenya ambaye ni sehemu ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Haiti hajulikani alipo…
Kati ya mwaka 2020 na 2022, mzozo kati ya chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF) na serikali ya shirikisho…
Thomas Lubanga, kiongozi wa zamani wa wanamgambo aliyehukumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kifungo cha miaka 14 jela kwa…
Watu 19 wamefariki katika mfululizo wa moto wa misitu miongoni mwa matukio mabaya zaidi katika historia ya Korea Kusini, ambao…
Walinzi wa Mapinduzi, jeshi la wasomi la Iran, wamezindua mji mpya wa makombora wa chini ya ardhi siku ya Jumanne,…
Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano makubwa zaidi dhidi ya Hamas huko Gaza tangu vita na Israel kuanza, wakiingia mitaani…
Utawala wa rais Donald Trump umeendesha mashambulizi siku ya Jumanne, Machi 25, huku kesi ya mwandishi wa habari wa Jarida…
Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mashambulio ya kwenye bahari nyeusi na miundombinu ya nishati, makubaliano ambayo sasa yatatoa ahueni katika…
Shirika la Kimataifa la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, juma hili limesema raia wanauguza majeraha “ya kutisha” kutokana na ongezeko…
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi…
Rwanda imesema imesikisitishwa na madai, ambayo inasema ni ya kusikitisha yaliyotolewa na rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, kuwa Kigali inapanga…
Maafisa wa Marekai na Ukraine, wamekutana na kufanya mazungumzo kwa kifupi mapema leo nchini Saudi Arabia, siku moja baada ya…
Rai wa Ufaransa Emmanuel Macron atampokea mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya Élysée siku ya Jumatano jioni, Machi…
Rais wa Israeli siku ya Jumanne, Machi 25, amesema “kushtushwa” kuona kwamba suala la mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Gaza…
Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye ameliambia shirika la habari la Uingereza BBC kwamba amepata taarifa za kijasusi za kuaminika kwamba…
Rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter na aliyekuwa rais wa shirikisho la soka la Ulaya,…
Mkutano mwingine kati ya timu za Ukraine na Marekani kuhusu usitishwaji vita kati ya Kyiv na Moscow unaendelea mjini Riyadh,…
Ikulu ya Marekani imethibitisha Jumatatu, Machi 24, kwamba mwandishi wa habari wa Marekani alijumuishwa kimakosa katika kikundi cha mazungumzo ya…
Nchini Senegal, Shirika la Fedha la Kimataifa linadai kuwa kati ya mwaka 2019 na 2024, deni la takriban dola bilioni…
Kukamatwa na kufungwa kwa Meya wa Istanbul Ekrem Imamoğlu kumeendelea kuhamasisha umati wa watu tangu Machi 19. Wafuasi kadhaa wa…
Sudan Kusini iko ukingoni mwa vita vingine vya wenyewe kwa wenyewe, afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema siku ya Jumatatu linahitaji dola milioni 19.8 kwa dharura kulisha wakimbizi 120,000 ambao…
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba, kupunguzwa kwa kiwango cha misaada inayoingia Gaza, kutachangia idadi kubwa ya vifo miongoni mwa watoto…
Mpango wa serikali ya DRC chini ya rais wa DRC Felix Tshisekedi, kuingia kwenye mkataba na nchi ya Marekani kuhusu…
Majadiliano ya kitaifa nchini DRC yalizinduliwa Jumatatu ya wiki hii jijini Kinshasa, yakilenga kupata mwafaka kuelekea kuundwa kwa serikali ya…
Katika kile kinaonekana ni jaribio jingine la kutupilia mbali madai ya Merekani, rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema tuhuma…
Waandishi wa habari kumi wa Uturuki, akiwemo mpiga picha kutoka shirika la habari la AFP, wamekamatwa siku ya Jumatatu, Machi…
Nchi ya Angola, imetangaza kujiondoa rasmi kama mpatanishi wa mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupitia kiongozi…
Umoja wa Mataifa na washirika wake wametoa wito Jumatatu, Machi 24, wa karibu dola bilioni 1 kutoa msaada muhimu kwa…
Meya wa upinzani wa Istanbul Ekrem Imamoglu, aliyesimamishwa kazi na kufungwa Jumapili, Machi 23, ameteuliwa rasmi na chama chake kuwa…
Rais wa Msumbiji Daniel Chapo amekutana na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane kwa mazungumzo ya kujaribu kutuliza wasiwasi kwenye taifa…