UN yatoa wito wa karibu dola bilioni 1 kwa ajili ya wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladeshi
Umoja wa Mataifa na washirika wake wametoa wito Jumatatu, Machi 24, wa karibu dola bilioni 1 kutoa msaada muhimu kwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Umoja wa Mataifa na washirika wake wametoa wito Jumatatu, Machi 24, wa karibu dola bilioni 1 kutoa msaada muhimu kwa…
Meya wa upinzani wa Istanbul Ekrem Imamoglu, aliyesimamishwa kazi na kufungwa Jumapili, Machi 23, ameteuliwa rasmi na chama chake kuwa…
Rais wa Msumbiji Daniel Chapo amekutana na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane kwa mazungumzo ya kujaribu kutuliza wasiwasi kwenye taifa…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Jumatatu, Machi 24, amemshutumu mkuu wa Shin Bet, ambaye kutimuliwa kwake Ijumaa…
Ndege iliyokuwa imewabeba wahamiaji 199 waliofukuzwa nchini Marekani imewasili nchini Venezuela. Imechapishwa: 24/03/2025 – 09:48 Dakika 1 Matangazo ya kibiashara…
Urusi na Marekani zimeanza mazungumzo nchini Saudi Arabia siku ya Jumatatu kujadili uwezekano wa kupatikana kwa usitishwaji vita nchini Ukraine,…
Robo tatu ya wasafiri wa baharini wa Marekani wanaopitia Bahari Nyekundu sasa wanalazimika kuzunguka eneo hilo na kupitia kusini mwa…
Shambulizi la anga la Israeli limepiga Hospitali ya Nasser huko Khan Younis, kusini mwa ardhi ya Palestina, Jumapili, Machi 23,…
Wakati huu, Urusi imechagua timu ya mazungumzo yenye wasifu tofauti sana na mara ya kwanza. Ujumbe uliopita uliongozwa na Sergei…
Mahakama ya Kikatiba ya Korea Kusini siku Jumatatu, Machi 24, imetupilia mbali ombi la kutimuliwa kwa Waziri Mkuu Han Duck-soo,…
Serikali ya Kinshasa, hivi leo inatarajiwa kuzindua rasmi mazungumzo ya kitaifa kwa lengo la kuunda Serikali ya umoja, majadiliano haya…
Waziri wa ulinzi wa Ukraine, Rustem Umerov, amesema mazungumzo ya kutafuta amani kati ya ujumbe wa Marekani na Ukraine jijini…
Mkuu wa jeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amedai jeshi la Uganda, UPDF au waasi wa M23 watawasili katika mji wa…
Wakuu wa nchi toka jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya maendeleo ya kusini mwa Afrika, SADC, watakutana hivi leo…
Nchini Israeli, mvutano kati ya serikali na mahakama unaendelea. Kufuatia kufutwa kazi kwa mkuu wa idara ya upelelezi ya ndani,…
Mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani kuhusu uwezekano wa kusitisha vita na Urusi yatafanyika leo Jumapili jioni, Machi 23, mjini…
Nchini Uturuki, jaji ameamuru siku ya Jumapili Machi 23, 2025 kufungwa kwa Ekrem Imamoğlu, mpinzani mkuu wa Rais Recep Tayyip…
Nchini Cameroon, mjadala bado unaendelea kuhusu swali la iwapo Maurice Kamto atakuwa mgombea au la katika uchaguzi ujao wa urais.…
Usambazaji wa jumbe za unyanyapaa, udhalilishaji na vitisho, katikati ya hali ya migawanyiko ya kisiasa na kikabila kupitia vyombo vya…
Kufuatia kutekwa tena kwa ikulu ya rais mjini Khartoum, jeshi limeendelea kusonga mbele katika mji mkuu siku ya Jumamosi, Machi…
Wapiganaji wawili kutoka Movement for the Salvation of Azawad (MSA, wanaounga mkono utawala wa kijeshi) wameuawa siku ya Jumamosi, Machi…
Nchini Sudani Kusini, je, mzozo ulioanza katikati ya mwezi wa Februari huko Upper Nile, eneo la kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo,…
Katika kisiwa cha Ufaransa cha Réunion, ugojwa wa chikungunya umesababisha vifo vya kwanza: watu wawili wenye umri wa miaka 86…
Wapiganaji wa vuguvugu la AFC/M23 wametangaza leo Jumamosi, Machi 22, kwamba watajiondoa kutoka Walikale-Centre, katika mkoa wa Kivu Kaskazini, nchini…
Israel imesema wanajeshi wake, wametekeleza mashambulizi ya angaa Kusini mwa Lebanon, baada ya wapiganaji wa Hezbollah kuwashambulia kwa makombora. Imechapishwa:…
Nchini Ethiopia, jeshi limesema limewauwa waasi zaidi ya 300 kutoka kundi linalojiita FANO, washirika wa zamani wa wapiganaji kwenye jimbo…
Wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na SADC watakutana tena wiki ijayo, kujadili hali inavyoendelea Mashariki mwa Jamhuri…
Papa Francis atatoa salamu na baraka kwa sala ya kila wiki ya Malaika wa Bwana kutoka kwenye dirisha la Hospitali…
Mawaziri wa mambo ya nje wa Japani, Korea Kusini na China wamekubaliana siku ya Jumamosi, Machi 22, kuimarisha ushirikiano wao,…
Baada ya kuzuru Kinshasa, Mbunge wa Marekani Dk. Ronny Jackson ameendelea na ziara yake siku za hivi karibuni katika mji…
Umoja wa Mataifa umesema vurugu zilizoibuka mashariki mwa Kongo zimewalazimu katika kipindi cha mwezi mmoja, watu 100,000 kutoroka makazi yao…
James Boasberg ni jaji wa shirikisho ambaye alizuia utawala wa Trump kuwafukuza wahamiaji kwenda El Salvador. James Boasberg, ambaye amesema…
Raia 44 waliuawa siku ya Ijumaa, Machi 21, katika shambulio jipya la wanajihadi kusini magharibi mwa Niger, Wizara ya Mambo…
Gwiji wa uzito wa juu kutoka Marekani George Foreman amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, familia yake imetangaza…
Takriban miaka miwili baada ya kutekwa kwake na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), ikulu ya rais mjini Khartoum imerejea…
Wakaazi wa Walikale-centre wameanza kurejea hatua kwa hatua katika mji huo, ambao uko chini ya udhibiti wa waasi wa M23…
Wahamiaji karibu Elfu tisa, walipoteza maisha mwaka uliopita, wakitumia usafiri wa majini kujaribu kufika barani Ulaya, kwa mujibu wa ripoti…
Utawala wa Kremlin unasema agizo la rais Vladimir Putin kwa wanajeshi wake kutoshambulia miundombinu ya nishati nchini Ukraine bado linatumika…
Nchi ya Angola, ambayo inaongoza katika upatanishi wa mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inasema ilishtushwa na…
Shirika la wanahabari wasio na mipaka RSF katika taarifa yake limethibitisha kwamba wanahabari 18 nchini Uganda walishambuliwa na jeshi wakati…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza siku ya Alhamisi Machi 20 kwamba mkutano mpya utafanyika Alhamisi ya wiki ijayo huko…
Korea Kaskazini imetangaza leo Ijumaa kuwa imefanyia majaribio mfumo mpya wa makombora ya kutungulia ndege chini ya usimamizi wa kiongozi…
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi Sergei Shoigu amewasili Pyongyang ambapo atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un,…
Serikali ya Israeli imetangaza leo Ijumaa, Machi 21, kumfukuza kazi Ronen Bar, mkuu wa Shin Bet – idara ya usalama…
Rais wa Tunisia Kaïs Saïed ameamua siku ya Alhamisi usiku, bila kutoa sababu zozote rasmi, kumfukuza kazi Waziri Mkuu Kamel…
Rais wa Marekani siku ya Alhamisi, Machi 20, 2025, ametia saini agizo kuu la kufungwa kwa Wizara ya Elimu ya…
Kampuni ya uhandisi ya Uchina, sasa itawekeza kiasi cha dola za Marekani bilioni 1.4 kwa ajili ya kuboresha njia ya…
Kirsty Coventry, amekuwa mwanamke wa kwanza kutoka barani Afrika kuongoza kamati ya kimataifa ya Olimpiki, ambapo ametengeneza historia baada ya…
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, amesema nchi yake haitafuti mzozo au adui wa muda mrefu na jirani yake nchi…
Ujerumani imefungua tena ubalozi wake nchini Syria, ambao ulikuwa umefungwa tangu mwaka 2012, duru za Wizara ya Mambo ya Nje…