Mai Mai Wazalendo wakabiliana na M23 katika eneo la Nyangezi Bukavu
Mapigano makali yaliripotiwa Jumanne ya wiki hii katika eneo la Nyangezi lililoko umbali wa kilometa 20 kaskazini mwa mji wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mapigano makali yaliripotiwa Jumanne ya wiki hii katika eneo la Nyangezi lililoko umbali wa kilometa 20 kaskazini mwa mji wa…
Vyama kadhaa vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimesusia mashauriano ya kisiasa yenye lengo la kuunda serikali…
Nchini Mali, imepita mwaka mmoja, tangu kutiwa saini kwa mkataba kati ya wanasiasa na viongozi wa mashirika ya kiraia, kushinikiza…
Kiongozi wa chama cha Rassembement National, Marine Le Pen, amepatikana na hatia ya ubadhirifu wa pesa za umma na amehukumiwa…
Uingereza na Marekani ziko kwenye mazungumzo ya makubaliano ya kiuchumi ambayo yatawezesha London kukwepa ushuru wa Marekani. Katika mazungumzo ya…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano yatafikiwa kwa ajili ya uuzaji wa shughuli za Marekani za mtandao wa…
Burkina Faso, Mali na Niger zimeamua kuanzisha ushuru wa forodha wa pamoja wa 0.5% kwa bidhaa wanazoagiza kutoka nchi zilizo…
Nchini Burkina Faso, takriban wanajeshi ishirini waliohukumiwa kwa jukumu lao katika mapinduzi yaliyoshindwa ya Septemba 16, 2015, walipata msamaha wa…
Rais wa Marekani Donald Trump amehakikisha katika mahojiano yaliyofanywa hadharani Jumapili, Machi 30, kwamba “hafanyi mzaha” aliporejelea kwamba anafikiria kugombea…
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amemchagua aliyekuwa Kamanda wa Jeshi la Wanamaji Eli Sharvit kuwa mkuu mpya wa Shin…
Utawala wa kijeshi nchini Burma umetangaza wiki ya moja ya maombolezo ya kitaifa Jumatatu, Machi 31, kufuatia tetemeko kubwa la…
Rais wa Marekani, Donald Trump, hapo jana amewasuta rais wa Urusi, Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wakati…
Serikali ya Jamhuriya Kidemokrasia ya Congo, inarejelea mashauriano ya kitaifa ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, yaliyoanza wiki…
Kiongozi wa kundi la RSF nchini Sudan, amethibitisha wapiganaji wake kujiondoa toka kwenye mji mkuu wa Khartoum, ambao kwa sasa…
Nchini Sudan Kusini kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa rais Riek Machar siku ya Jumatano, kumeendelea kuzua hali ya wasiwasi…
Watu zaidi ya 1,600 wamepoteza maisha, kufikia siku ya Jumamosi nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katika maeneo…
Takriban wanajeshi wanane na raia mmoja waliuawa magharibi mwa Pakistan siku ya Ijumaa katika mashambulizi tofauti kwenye mpaka na Afghanistani,…
Maafisa wanne wa polisi na watu wawili wanaoshukiwa kuwa waasi wameuawa katika eneo la India la Kashmir, ambalo limekuwa chini…
Kinyume na kile rais wa mpito wa Gabon Brice Oligui Nguema alidai katika mahojiano aliyotoa kwa RFI na France 24…
“Hakuna miadi ya visa inayoweza kufanywa katika Ubalozi wa Marekani huko Ndjamena.” Huu ndio ujumbe unaoonyeshwa sasa kwenye tovuti ya…
Katika agizo lililosomwa kwenye runinga ya Guinea jioni ya Ijumaa, Machi 28, mkuu wa serikali kuu ya Guinea, Jenerali Mamadi…
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lililoiteka miji ya Goma…
Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar na Thailand imepita watu Elfu Moja. Imechapishwa: 29/03/2025 –…
Maafisa wa Kongo na Rwanda wamefanya mazungumzo siku ya Ijumaa, wakati wawakilishi wa M23 wamekutana kando na wapatanishi wa Qatar,…
Utawala wa Trump siku ya Ijumaa, Machi 28, umeiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya jaji wa shirikisho ya kuwafukuza…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza Ijumaa, Machi 28, kushuka kwa asilimia 40 ya…
Serikali ya Rwanda, imepiga marufuku mashirika yote ya ndani na kimataifa yasiyokuwa ya kiserikali kushirikiana na taasisi za Ubelgiji, baada…
Mamia ya watu wamehofiwa kupoteza maisha nchini Myanmar na Thailand, huku wengine wakikwama kwenye vifusi baada ya jengo la orofa…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi hiyo, baada…
Mwezi mmoja baada ya kusitishwa mara moja kwa mapigano mashariki mwa DRC na kuondolewa kwa vikosi vya Rwanda, vilivyotakwa na…
Baada ya Japani mwaka 2021, Ufaransa inaandaa toleo la 3 la mkutano wa kilele wa Lishe kwa Ukuaji “Nutrition for…
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Ijumaa Maachi 28 ametoa wazo la “utawala wa mpito” kwa Ukraine, chini ya…
Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, Bintou Keita ametoa wito siku ya Alhamisi, Machi 27, kuelekeza…
Vikosi vya Wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vinashutumu na kulaani uimarishaji wa ngome za jeshi la Rwanda…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) hapo jana Alhamisi lilitoa wito kwa watawala wa kijeshi…
Watu milioni 28 wanakabiliwa na njaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hii ikiwa idadi ya juu zaidi kwa nchi…
Nchini Sudan Kusini, ongezeko la vita vya wenyewe kwa wenyewe linaendelea. Jioni ya Machi 26, Makamu wa Kwanza wa Rais…
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea na mashambulizi yake makubwa ya kibiashara. Siku ya Jumatano, ametangaza nyongeza ya asilimia 25 ya…
Mahakama nchini Algeria imemhukumu mwandishi maarufu wa vitabu, raia wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria Boualem Sansal, ambaye amekuwa kizuizini…
Baada ya kipindi cha zaidi ya miaka 10 cha msukosuko wa kifedha, shirika la ndege la Kenya, limeanza tena kuripoti…
Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Kigeni ya Baraza la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Christophe Lutundula amesema…
Korea Kaskazini ilituma wanajeshi 3,000 wa ziada nchini Urusi mwaka huu, pamoja na maelfu ambayo tayari yametumwa kusaidia uvamizi wa…
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema Alhamisi kutoka Tokyo kwamba “anatumaini tu kwamba haki itatendeka” katika kesi…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi siku ya Jumatano, Machi 26, amefunga safari ya haraka kwenda Luanda…
Nchini Algeria, jaji wa mahakama ya jinai ambaye Boualem Sansal alifikishwa mbele yake anatazamiwa kutoa uamuzi wake leo Alhamisi, Machi…
Makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ambaye ni hasimu wa muda mrefu wa rais Salva Kiir,…
Mkuu wa jeshi la Sudani Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jumatano jioni kwamba Khartoum “imekombolewa,” baada ya hapo awali kutangaza…
Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo,…
Nchini Sudani Kusini, kuna ongezeko jipya la uwezekano wa kurejea kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Makamu wa Kwanza wa…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akihotubia bunge, ametishia kuwa jeshi la nchi hiyo, litalazimika kuchukua baadhi ya maeneo ya…