Rwanda yasitisha misaada ya maendeleo ya Ubelgiji
Rwanda imetangaza siku ya Jumanne kusimamisha programu za misaada ya maendeleo ya Ubelgiji nchini humo, ikishutumu mkoloni huyu wa zamani…
Mizozo ya kijeshi duniani
Rwanda imetangaza siku ya Jumanne kusimamisha programu za misaada ya maendeleo ya Ubelgiji nchini humo, ikishutumu mkoloni huyu wa zamani…
Zaidi ya watu 200 wameuawa katika muda wa siku tatu katika mashambulizi ya wanamgambo kwenye vijiji viwili kusini mwa Khartoum,…
Hamas imetangaza siku ya Jumanne, Februari 18, kwamba mateka sita wa Israeli walioshikiliwa katika Ukanda wa Gaza wataachiliwa huru siku…
Baada ya kuuteka mji wa Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, mwishoni mwa juma hili, kundi hli lenye…
Mashua zimeanza tena shughuli za usafirishaji wa watu na vitu tangu siku ya Jumanne asubuhi kwenye Ziwa Kivu, kitovu cha…
Rais wa DRC Félix Tshisekedi amefanya ziara nchini Angola siku Jumanne 18 Februari kukutana na mwenzake wa Angola João Lourenço,…
Israeli inadai “kuondolewa kabisa kwa wanajeshi katika Ukanda wa Gaza” baada ya vita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel…
Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne, Februari 18, umeshutumu kundi la wapiganaji la M23, ambalo wapiganaji wake wanaoshirikiana na wanajeshi…
Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa Rachida Dati ameelezea ziara yake katika eneo linalozozaniwa na lisilo la uhuru la Sahara Magharibi…
Maafisa wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu wameomba dola bilioni 6 kwa Sudani mwaka huu kutoka kwa wafadhili ili…
Viongozi wa upinzani nchini Uganda wametoa makataa ya saa 48 kwa Rais Yoweri Museveni, wakitaka kuachiliwa mara moja kwa Dk…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) siku ya Jumatatu limelaani uporaji wa maghala yake mwishoni mwa wiki hii iliyopita…
Mashariki mwa DRC, M23 na wanajeshi wa Rwanda sasa wanadhibiti mji wa Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.…
Tangu Februari 14, wakati waasi wa M23/AFC wanaoungwa mkono na Rwanda walipojaribu kudhibiti mji wa Bukavu, mji mkuu wa mkoa…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) siku ya Jumatatu imeshutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusindwa kuchukuwa hatua…
Uingereza imesema Jumapili Februari 16 kwamba iko tayari “kutuma wanajeshi wakenchini Ukraine ikiwa itabidi” kwa usalama wa Uingereza, pamoja na…
Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa mkutano wa maandalizi kati ya maafisa wakuu wa Urusi na Marekani siku ya Jumanne, Februari…
Siku 500 tu baada ya Oktoba 7, baraza la mawaziri la Israeli linatazamiwa kukutana Jumatatu, Februari 17, kujadili kuendelea kwa…
Serikali ya Uganda imetangaza Jumapili kwamba itafuta kesi ya kijeshi dhidi ya kiongozi wa upinzani Kizza Besigye, ikimtaka aachane na…
Serikali ya Uingereza inaonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kuzidi kuwa mzozo mkubwa wa…
Waziri wa Burundi na chanzo cha misaada ya kibinadamu kimethibitisha siku ya Jumapili kuwasili kwa maelfu ya wakimbizi wa Kongo…
Wakati AFC/M23, wakiungwa mkono na jeshi la Rwanda, wakiingia Bukavu mwishoni mwa juma hili , wakuu wa nchi za Umoja…
Wanajeshi wa M23 na Rwanda wanaendelea kusonga mbele katika mkoa wa Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
M23 inayoungwa mkono na Rwanda yuko rasmi katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, tangu mapema Jumapili asubuhi.…
Katika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika (AU), Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amebainisha…
Mamlaka ya Lebanoni imeitisha mkutano wa dharura Jumamosi (Februari 15) baada ya maafisa wawili kujeruhiwa wakati gari la kikosi cha…
Wapiganaji wenye silaha wa Hamas wamewaachilia mateka watatu wa Israeli katika Ukanda wa Gaza leo Jumamosi, Februari 15. Mabasi ya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameagiza kuheshimiwa kwa ardhi na uhuru wa DRC akionya pia dhidi ya…
Kwa mara ya kwanza, siku ya Jumamosi Februari 15, maseneta 41 kati ya 61 wanatarajiwa kuchaguliwa na madiwani wa manispaa.…
Baraza la usalama la umoja wa Afrika limekutana jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili mzozo unaoendelea nchini Sudan na mashariki ya DRC.…
Sibi Lawson-Marriot, mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Sarah Nguyen, afisa usalama wa shirika hili, wamefukuzwa…
Rais wa DRC Fekix Thisekedi wakati akihudhuria mkutano wa usalama mjini Munich Ujerumani, alikutana na mwendesha mashtaka wa mahakama ya…
Mzozo wa mashariki mwa DRC umekuwa kiini cha mkutano wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika…
Rais wa DRC Félix Tshisekedi, amemtaja moja kwa moja mtangulizi wake Joseph Kabila kwa kuwafadhili waasi wa M23 wanaoendelea kuvamia…
Nani atamrithi Moussa Faki Mahamat, raia wa Chad, kama Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika? Hili ni mojawapo ya…
Kufuatia matukio ya hivi punde mashariki mwa DRC na kusonga mbele kwa waasi wa AFC/M23 wakiungwa mkono na wanajeshi wa…
Mji wa Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, unadhbitiwa na waasi wa M23 tang siku ya Ijumaa, Februari…
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare,…
Amerika ya Kusini imekuwa uwanja wa vita kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na China, chini ya shinikizo kutoka…
Umoja wa Afrika unapokutana Ijumaa, Februari 14 mjini Addis Ababa, ushindani kati ya mataifa ya kupata nafasi ndani ya taasisi…
Waziri Mkuu wa DRC Judith Suminwa Tuluka yuko jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kumwakilisha rais Felix Thisekedi katika baraza la…
Viongozi wa nchi na serikali, wamekutana jijini Addis Ababa kujadili kuundwa kwa taasisi ya Afrika itakayoshughulikia utathmini wa mikopo kwa…
Kesi iliyowasilishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dhidi ya Rwanda mbele ya Mahakama ya Afrika ya Haki za…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza “mkutano huko Munich” siku ya Ijumaa, Februari 14, kati ya “maafisa wakuu kutoka Urusi,…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonya kwamba amani itakuwa sawa na “kujisalimisha” kwa Ukraine na kuhoji kama mwenzake wa Urusi…
Nchini Marekani, Donald Trump anaanza tena mojawapo ya shughuli zake anazozipenda zaidi: kutoza ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani.…
“Urafiki na uhusiano kati ya India na Marekani haujawahi kuwa na nguvu,” ni hitimisho ambalo Donald Trump anatoa kutoka kwa…
Sasa ni rasmi kuwa Mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yanayojulikana kama Tumaini, yamevunjika mjini Nairobi. Haijulikani ni lini mazungumzo…
Nchini Mali, watu 16 waliuawa siku ya Jumatano, Februari 12 katika kijiji kilicho katika eneo la Macina, katika jimbo la…
Nchini DRC, ujumbe wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Protestante, madhehebu mawili makuu ya kidini nchini humo, unaendelea na mashauriano…