Mashariki mwa DRC: London inatangaza “kusiTishwa” kwa misaada yake mingi ya kifedha kwa Rwanda
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy ametangaza siku Jumanne, Februari 25, kwamba Uingereza itasitisha misaada yake mingi…
Mizozo ya kijeshi duniani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy ametangaza siku Jumanne, Februari 25, kwamba Uingereza itasitisha misaada yake mingi…
Serikali ya Sudan imesema siku ya Jumatatu itachukua “hatua za lazima” katika kukabiliana na kile ilichokiita usaidizi wa “kutowajibika na…
Mwanasheria mkuu wa serikali huko Nouakchott nchini Mauritania ameomba kifungo cha miaka ishirini jela dhidi ya rais wa zamani wa…
Mwendesha mashtaka Mkuu katika Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu ICC, Karim Khan ametoa wito kwa makundi yote yenye silaha mashariki…
Miaka mitatu baada ya mashambulizi ya Urusi, Marekani ya Donald Trump siku ya Jumatatu iliungana na Urusi kwa kura ambazo…
Licha ya tofauti kubwa katika suala hilo, Donald Trump na Emmanuel Macron wamehakikisha siku ya Jumatatu Februari 24 kwamba wanataka…
Wakuu wa nchi za SADC na EAC wameteua wawezeshaji watatu wapya katika mgogoro wa mashariki mwa DRC, zaidi ya wiki…
Mawaziri 27 wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels siku ya Jumatatu ambapo wameamua kulegeza vikwazo…
Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yuko katika mji wa DRC, Kinshasa, tangu Jumatatu jioni, Februari 24.…
Takriban wanajeshi 200 waliotumwa na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliondoka katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri…
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu, Februari 24, kwamba nchi za Ulaya zinaweza “kushiriki” katika mchakato wa…
Urusi imesema siku ya Jumatatu, Februari 24, kwamba imefikia makubaliano na Ukraine kuwahamisha wakaazi wa eneo la Urusi la Kursk,…
Mahmoud Sallah, kiongozi wa kundi la waasi la Patriotic Front for Liberation, alikamatwa jana, Jumapili, Februari 23, huko Gatroon, kusini…
Hali bado ni ya wasiwasi nchini Haiti kutokana na ghasia za magenge. Afisa wa polisi wa Kenya aliyetumwa Haiti, aliyejeruhiwa…
Wakati waasi wa /M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda lilipochukua udhibiti wa mji mkuu wa Bukavu katika mkoa wa…
Usimamizi wa wakimbizi wa ndani nchini DRC unazidi kuwa mgumu. Kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala…
Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF° nchini Sudani na washirika wao siku ya Jumapili wametia saini hati ambayo inafungua njia…
Baada ya zaidi ya wiki moja ya mgomo wa kula, mpinzani wa kihistoria nchini Uganda Kizza Besigye ameanza tena kula,…
Wakati waasi wa M23 wakiendelea kusonga mble katika mkoa wa Kivu Kaskazini na Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la…
Wakati wa mahojiano na Gazeti la Afrika Kusini la Sunday Times siku ya Jumapili hii, Februari 23, Joseph Kabila, rais…
Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yanaendelea na ziara yao ya mashauriano kuandaa mazungumzo.…
Nchini DRC, mkuu wa majeshi ya nchi kavu wa FARDC, Jenerali Ndaywel, alikuwa Bunia siku ya Ijumaa kukutana na maafisa…
Kipindi kipya cha mvutano ndani ya mfumo wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israeli na Hamas. Baada ya kukabidhiwa…
Baada ya kumuua kiongozi wake katika shambulio la ndege isio na rubani katikati ya wiki, jeshi la Kongo limeshambulia tena…
Rais wa Marekani aliambia Fox News kwamba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky “anafanya iwe vigumu sana kufikia makubaliano” ya kukomesha…
Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana siku ya Ijumaa jijini Nairobi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura siku ya Ijumaa kulitaka jeshi la Rwanda kuacha kuunga mkono kundi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura siku ya Ijumaa kulitaka jeshi la Rwanda kuacha kuunga mkono kundi…
Michel Rukunda, almaarufu Makanika, aliuawa Februari 19 katika eneo la Minembwe, katika mkoa wa Kivu Kusini. Afisa wa zamani wa…
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya kisheria…
Umoja wa ulaya unataka serikali nchini Kenya, kufanya kila juhudi kuhakikisha mageuzi ya mfumo mzima wa uchaguzi yanafanyika kabla ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amewaambia viongozi wenzake wa G20 kwamba “dirisha la amani” linafunguliwa nchini…
Kulingana na msemaji wa jeshi la Israeli, Ariel na Kfir Bibas walikufa wakiwa kizuizini huko Gaza, ” ambao waliuawa na…
Rais wa Kongo Felix Tshisekedi anatafuta kuungwa mkono huku vita vikiendelea mashariki, lakini hadi sasa amerejea mikono mitupu kutoka katika…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC, siku ya Alhamisi limewataka wanajeshi waliokimbia mashambulizi ya M23 kuungana tena na…
Likiungwa mkono na jeshi la Rwanda, kundi hilo lenye silaha la M23 linaendelea kupata nguvu katika mikoa miwili ya mashariki…
Marekani imeweka vikwazo vya kifedha dhidi ya James Kabarebe, Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Rwanda, na Lawrence Kanyuka, msemaji…
Hamas imekabidhi, siku ya Alhamisi, Februari 20, kwa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) majeneza manne yamiili ya mateka…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limekutana kwa dharura kujadili hali Mashariki mwa Jamhuri ya…
Wanasheria wawili wa kutoka Afrika, jaji wa Botswana Sanji Monageng na jaji wa Ghana Evelyn Ankumah, wamejiunga na kundi la…
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio hatahudhuria mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa mambo ya nje…
Nchini Sudani Kusini, mvutano kati ya wanajeshi wa Rais Salva Kiir na wale wa Makamu wa Rais Riek Machar umekuwa…
Vita vya maneno kati ya Volodymyr Zelensky na Donald Trump vimfikia kiwango kipya siku ya Jumatano, Februari 19. Kwa kujibu…
Viongozi wa kidini wa Kongo wanalenga kuandaa mazungumzo ya amani ambayo yataleta serikali ya Rais Felix Tshisekedi, waasi wa M23…
Katika hafla ya sherehe ambapo Waziri wa Jeshi la Ufaransa, Sébastien Lecornu, na mwenzake wa Côte d’Ivoire, Téné Birahima Ouattara,…
Milio ya risasi ilisikika katika mji wa Uvira, mji ulio kwenye mpaka na Burundi, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Kaskazini-mashariki mwa DRC, vikosi vya Uganda vinaimarisha uwepo wao. Wametumwa kwa miaka kadhaa kama sehemu ya makubaliano kati ya nchi…
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye aambaye amewasili kwa muda mfupi katika mahakama ya kiraia siku ya Jumatano wakati…
Didier Mazenga, mjumbe maalum wa Rais wa Kongo Félix Tshisekedi, amezuru Chad siku ya Jumanne, Februari 18. Amefanya ziara hii…
Burundi inaondoa vikosi vyake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako walikuwa wakipigana dhidi ya waasi wa M23, duru…