Sudani: Mashambulio ya wanamgambo yaua sita Darfur Kaskazini
Mashambulizi ya mizinga katika soko lililojaa watu wengi na kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Darfur nchini…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mashambulizi ya mizinga katika soko lililojaa watu wengi na kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Darfur nchini…
Misri siku ya Jumapili imefutilia mbali majaribio ya kuanzisha serikali pinzani nchini Sudan, ikionya kwamba hatua kama hizo zinadhoofisha “umoja,…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametetea msimamo mkali wa chama hicho kuhusu kauli mbiu ya…
Mkuu wa Majeshi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amewasili nchini Rwanda Jumapili kwa mkutano wa hadhi ya juu na…
Mkuu wa zamani wa Kitivo cha Tiba cha Butare nchini Rwanda ameshtakiwa mjini Paris kwa mauaji ya halaiki, uhalifu dhidi…
Mgonjwa wa pili wa Ebola, mtoto wa miaka 4, amefariki nchini Uganda, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema, likinukuu wizara…
Jeshi la Uganda limethibitisha siku ya JumapiliMAchi 2, 2025 kwamba limetuma wanajeshi katika mji mwingine wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekanusha siku ya Jumapili Machi 2, 2025 kwamba wapiganaji 20 wanaohusishwa na mauaji…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekanusha siku ya Jumapili Machi 2, 2025 kwamba wapiganaji 20 wanaohusishwa na mauaji…
Sasa imepita zaidi ya mwezi mmoja tangu kundi la waasi la M23 – linaloungwa mkono na Rwanda – kuiteka Goma,…
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), askari wasiopungua 55 wa Kikosi cha Wanajeshi wa Kongo (FARDC) wamehukumiwa kifo…
Rais wa Ukraine amepokelewa kwa furaha Jumamosi Machi 1 mjini London na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, siku moja…
Jeshi la Marekani limetangaza siku ya Jumamosi kutumwa kwa karibu wanajeshi 3,000 wa ziada kwenye mpaka na Mexico, na kufikisha…
Wanajeshi 11 wa Niger waliuawa siku ya Ijumaa katika shambulio lililodaiwa na kundi la wanajihadi lenye uhusiano na Al-Qaeda, kaskazini…
Rais wa zamani wa Senegal Macky Sall, ambaye aliongoza Senegal kutoka mwaka 2012 hadi mwaka 2024, “ataitishwa mahakamani” kwa “vitendo…
Waziri Mkuu wa Jahuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) Judith Suminwa amezindua siku ya Jumamosi, Machi 1, kampeni ya kitaifa…
Vatican inasema kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaendelea vyema hospitalini kwa siku ya pili mfulilizo. Imechapishwa: 28/02/2025 –…
Shirika la afya duniani limesema wataalam wake wanachunguza ugonjwa mpya usiojulikana nchini DRC baada ya mlipuko miwili tofauti kuripotiwa mapema…
Shirika la kimataifa la madaktari wasio na mipaka, MSF waathiriwa wa mzozo wa M23 na vikosi vya Congo,wameanza kuondoka kambini…
Serikali ya DR Congo na Umoja wa Mataifa inaomba wahisani Dolla Bilioni 2.54 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu mwaka…
China imeapa siku ya Ijumaa kuchukua “hatua zote muhimu” baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa ataweka ushuru…
Mexico imewatuma Marekani watu 29 kati ya wafanyabiasahra wake hatari zaidi wa dawa za kulevya waliokuwa wanafungwa. Njia mpya ya…
Mafanikio kwa mkutano wa COP16 kuhusu bioanuwai huko Roma. Baada ya vizuizi miezi michache iliyopita huko Cali, Colombia, wajumbe kutoka…
Mtazamo wa mzigo mkubwa wa madeni unaozikumba nchi maskini unahitaji kurekebishwa haraka ili kuepusha mizozo mingi, viongozi wa Afrika walmesema…
Mbunge wa upinzani nchini Senegal ambaye ni mshirika wa karibu wa rais wa zamani wa nchi hiyo Macky Sall ameshtakiwa…
Hii ni hatua mpya katika kuboresha mahusiano kati ya Ethiopia na Somalia: baada ya mwaka wa mvutano, siku ya Alhamisi…
Mpango wa kukabiliana na mzozo wa kibinadamu nchini DRC ulifanyika Alhamisi, Februari 27, 2025 mjini Kinshasa ili kujaribu kukusanya fedha…
Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky wanatarajiwa kusaini makubaliano yatakayowapa Marekani sehemu ya rasilimali adimu…
Baada ya Emmanuel Macron,ni zamu ya Keir Starmer, Waziri Mkuu wa Uingereza, ambaye amekwenda Washington siku ya Alhamisi, Februari 27.…
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen yuko katika ziara ya siku mbili nchini India. Lengo ni kujadili…
Milipuko miwili imesikika siku ya Alhamisi, Februari 27, kwenye eneo la Uhuru huko Bukavu, wakati Corneille Nangaa, mratibu wa AFC/M23,…
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kurejea madarakani, Donald Trump amefanya mkutano wake wa kwanza wa baraza la mawaziri Jumatano,…
Baraza la Taifa, ambalo ni sawa na Bunge la Seneti nchini Algeria, limetangaza siku ya Jumatano Februari 26 “kusitishwa kwa…
Waziri Mkuu François Bayrou alisema Jumatano tarehe 26 Februari kwamba hakuwa na nia ya kuingia katika “mzozo” na Algeria, lakini…
Mashariki mwa DRC, katika Nyanda za Juu za Kivu Kusini, mapigano yanaripotiwa tangu Februari 21. Katika eneo hili la milima…
Corneille Nangaa, mratibu wa AFC/M23, vuguvugu la kisiasa na kijeshi linaloungwa mkono na Kigali, aliwasili Bukavu, mji mkuu wa Kivu…
Marekani imetangaza kupunguza kwa kiasi kikubwa bajeti kwa mipango ya maendeleo ya Marekani na misaada ya kigeni siku ya Jumatano,…
Hamas wamekabidhi miili ya mateka wanne wa Israeli mapema siku ya Alhamisi, baada ya wafungwa wa Kipalestina ambao wamekuwa wakizuiwa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP limesema limelazimika kusitisha operesheni zake katika kubwa ya Zamzam,…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema siku ya Jumatano Februari 26, 2025 analenga kukutana na mwenzake wa Marekani Donald Trump…
Hali ya usalama katika mji wa Goma na viunga vyake imezidi kuwa ya wasiwasi tangu waasi wa M23 na Muungano…
Nchi za Afrika Mashariki na kusini zinachunguza uwezekano wa kupeleka wanajeshi kulinda maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Vatican imesema kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis mwenye umri wa miaka 88, ambaye anaugua homa ya mapafu, amekuwa…
Somalia inasema maafisa wake wa jeshi wamewauwa magaidi zaidi ya 70 wa Al Shabab, wakati wa opresheni iliyofanyika siku ya…
Wapatanishi katika mzozo kati ya Israeli na Hamas wamefikia makubaliano, chini ya kivuli cha Misri, kwa ajili ya kuachiliwa kwa…
Nchini Israeli, mazishi ya familia ya Bibas, ambao miili yao ilirejeshwa wiki iliyopita na Hamas, yatafanyika leo Jumatano, Februari 26.…
Nchini Sudani Kusini, hali ya wasiwasi inaongezeka tena licha ya wito wa kuheshimiwa kwa makubaliano ya amani. Chini ya mkataba…
Mjini Khartoum, jeshi la Sudani, katika vita na wanamgambo wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) tangu Aprili 2023, linaendelea…
Madiwani wa manispaa na mikoa ya Chad wameitwa kwenye uchaguzi siku ya Jumanne, Februari 25, 2025, ili kuwachagua maseneta wao.…
Kinshasa imeamua kusitisha kwa muda wa miezi minne mauzo yake ya cobalt, ambayo hutumika haswa katika utengenezaji wa betri zinazoweza…