Vatican: Papa Francis atoa ujumbe wa sauti kuwafariji waumini
Siku ya Alhamisi jioni, wakati wa mkesha wa maombi ya kila siku huko Vatican, rekodi ya sekunde chache ya papa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Siku ya Alhamisi jioni, wakati wa mkesha wa maombi ya kila siku huko Vatican, rekodi ya sekunde chache ya papa…
Utawala wa kijeshi nchini Sudan, umeishtaki nchi ya Falme za Kiarabu katika mahakama ya kimataifa ya haki, ikituhumu taifa hilo…
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya waliokutana katika mkutano wa kipekee mjini Brussels mnamo Machi 6, zimeidhinisha mpango kutoka Tume…
Marekani imejiondoa rasmi katika mkataba mkubwa wa hali ya hewa, mpango wa mabilioni ya dola uliozinduliwa mwaka wa 2021 ili…
Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila ameanzisha mazungumzo na wanasiasa wa upinzani kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo,…
Rais Donald Trump siku ya mnamo Alhamisi, Machi 6, kwa mara nyingine tena ametilia shaka kujitolea kwa Marekani kwa NATO,…
Jeshi la Kongo linamtuhumu mbabe wa zamani wa kivita Thomas Lubanga Dylo kwa kuunda kundi jipya lenye silaha liitwalo Convention…
Marekani “imesitisha” ushirikiano wa kijasusi na Ukraine, mkuu wa CIA John Ratcliffe amesema siku ya Jumatano. Hata hivyo, mazungumzo kati…
Umoja wa Mataifa umesema umetenga Dola Milioni 110 kutoka kwa mfuko wake wa dharura ili kusaidia kuokoa maisha ya watu…
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila anaanza marekebisho ya chama chake cha kisiasa, PPRD. Hatua…
Watu wanne wameripotiwa kuuawa katika shambulio la kombora la Urusi kwenye jengo la hoteli katika Mji wa Kryvyi Rih wengine…
Rais Trump alihalalisha kupunguzwa kwa misaada ya kigeni kwa Marekani katika hotuba yake kwa bunge la Congress siku ya Jumanne,…
Nchini Msumbiji, Rais Daniel Chapo na wawakilishi kadhaa wa mashirika ya kiraia, makundi ya kidini na upinzani wametia saini “mkataba…
Viongozi wa kidini kutoka Cenco na ECC wanaendelea na mashauriano yao katika kujaribu kutafuta suluhu la mzozo wa mashariki mwa…
Shirika la afya duniani WHO, linasema uamuzi wa utawala wa rais Donald Trump, kusitisha msaada wa kigeni utarudisha nyuma hatua…
Polisi wa Msumbiji, Jumatano ya wiki hii walifyatua risasi za moto pamoja na vitoa machozi dhidi ya wafuasi wa kinara…
Umoja wa mataifa umesema takribani wanaume, wanawake na watoto Elfu themanini kutoka DRC wamekimbilia nchi jirani kufuatia vita vya Uvamizi,…
Kiongozi wa serikali ya Guinea Amadou Oury Bah ametangaza kwa vyombo vya habari siku ya Jumatano kura ya maoni na…
Washington imethibitisha siku ya Jumatano kwamba inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas kuhusu mateka walioko Gaza, kwa kushauriana…
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajia kukutana kwa mkutano maalumu kujadili kuendelea kuungwa mkono kwa Ukraine na ulinzi wa Ulaya.…
Israeli “inatumia njaa kama silaha ya vita” huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kwa eneo la Palestina tangu siku…
Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika kanda ya Maziwa Makuu, Johan Borgstam, aanazuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia…
Canada imewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirika la Biashara Dubiani dhidi ya ushuru wa forodha wa 25% uliowekwa na serikali ya…
Familia mashariki mwa DRC, Jumanne ya wiki hii zilizika wahanga wa shambulio lililoua takriban watu 13 huko Bukavu, huku jamaa…
Norway itamrejesha nchini Rwanda mtu mmoja kwa ombi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kujibu mashtaka ya mauaji wakati wa…
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa dharura wa kuchangisha dola milioni 11.2 kusaidia Uganda kukabiliana na mlipuko wa Ebola ambao…
Mapigano makali yaliendelea siku ya Jumanne Machi 4 huko Nasir, mji mdogo kaskazini-mashariki mwa Sudan Kusini, kati ya jeshi la…
Mapigano makali yaliendelea siku ya Jumanne Machi 4 huko Nasir, mji mdogo kaskazini-mashariki mwa Sudan Kusini, kati ya jeshi la…
Serikali ya Uingereza imesema haitatuma malipo zaidi kwa Rwanda kufuatia kufutwa kwa makubaliano ya mkataba wa wahamiaji kati ya nchi…
Mapigano makali yamezuka usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne (Machi 3 hadi 4) katikati mwa mji wa Butembo, mojawapo ya miji…
Canada imetangaza mapema wiki hii, siku ya Jumatatu, Machi 3, 2025, hatua za kiuchumi zinazohusiana na “ushiriki wa Rwanda katika…
Maaskofu wa Kikatoliki na wachungaji wa Kiprotestanti wanaongeza juhudi zao kwa ajili ya “mapatano ya kijamii kwa ajili ya amani…
Nchini Mali, mazungumzo yanaendelea kati ya waasi wa FLA na wanajihadi wa Jnim. Taarifa zilizofichuliwa siku ya Jumatatu Machi 3…
Baada ya Uingereza na Canada, Ujerumani imetangaza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 kwamba itakatiza msaada wake mwingine kwa Rwanda…
Rwanda imetanga siku Jumatatu kwamba London inalazimika kulipa kiasi cha fedha kilnachosalia kutoka kwa makubaliano yenye utata ya kupokea wahamiaji…
Waasi wa M23 walioanzisha mashambulizi mashariki mwa Kongo waliwateka nyara takriban watu 130 wagonjwa na waliojeruhiwa kutoka hospitali mbili za…
Vyombo vya usalama vya Kongo na Naibu Waziri Mkuu anayehusika na Mambo ya Ndani walifanya vikao kadhaa mwishoni mwa juma…
Mapigano yamezuka katika mji wa Nasir, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, siku ya Jumatatu Machi 3 kati ya jeshi la…
Chama cha Ukombozi cha Watu wa Tigray, ambacho kinasimamia eneo la kaskazini mwa Ethiopia, kilishindwa kufanya mkutano wake mkuu, na…
Ofisi ya kamishna mkuu wa haki za binadamu inaishutumu moja kwa moja M23 kwa kuwakamata watu wasiopungua 130 katika hospitali…
Mzozo unaendelea baada ya AFC-M23, inayoungwa mkono na Kigali, kukabidhi kwa Rwanda watu 14 waliowasilishwa kama wanachama wa Democratic Forces…
Rais Umaro Sissoco Embalo amerejea Guinea-Bissau siku ya Jumatatu, Machi 3, baada ya ziara yake huko Ulaya. Ametangaza kugombea kiti…
Nchini Tunisia, kesi ya madai ya kula njama dhidi ya usalama wa taifa inatarajiwa kufunguliwa leo Jumanne, Machi 4. Inahusu…
Rais wa mpito wa Gabon Jenerali Brice Clotaire Oligui Nguema almetangaza kugombea uchaguzi wa urais wa Aprili 12, 2025. Anajionyesha…
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu ameagiza kusitishwa kwa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine huku kukiwa…
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo cha juu cha mahakama cha Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatatu imemteua Mjapani…
Gari moja limegonga umati wa watu huko Mannheim siku ya Jumatatu na kuua mtu mmoja na wengine kujeruhiwa vibaya, msemaji…
Sudani, ambayo imetumbukia katika vita vibaya tangu mwezi wa Aprili 2023, imeathirika pakubwa na uamuzi wa Marekani wa kusitisha misaada…
Nchini Afrika Kusini, mamia ya Waafrika Kusini walitoa heshima kwa Imamu Muhsin Hendricks siku ya Jumamosi, Machi 1, wakati wa…
Ujumbe wa ECOWAS ulitembelea Guinea-Bissau kati ya Februari 21 na 28 kusaidia kutatua mzozo wa kisiasa kuhusu kupanga tarehe ya…