Senegal: Ziara ya Ousmane Sonko nchini Burkina Faso yakosolewa vikali
Kufuatia ziara ya kirafiki na kikazi ya Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko nchini Burkina Faso siku ya Ijumaa tarehe…
Mizozo ya kijeshi duniani
Kufuatia ziara ya kirafiki na kikazi ya Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko nchini Burkina Faso siku ya Ijumaa tarehe…
Kulingana na Waziri wa Mpito wa Nishati wa Morocco Leila Benali, mradi wa bomba la gesi barani Afrika na Atlantiki…
Kiongozi wa upinzani na wakili nchini Kenya Martha Karua amekataliwa kuingia Tanzania siku ya Jumapili, Mei 18, 2025. Mwanasiasa huyo…
Ziadi ya watu 13 wameuawa baada ya mlipuaji wa kujitolea mhanga kulenga shughuli ya kuwasajili kurutu wa jeshi nchini Somalia.…
Muungano wa nchi za Kiarabu, umesema jaribio lolote la kuanzisha serikali mbadala nchini Sudan halikubaliki na kwamba njia pekee ni…
Mapigano yamezuka asubuhi ya Jumapili, Mei 18, karibu na Nyamamba, mji wa mwambao wa Ziwa Albert, yapata kilomita sitini kutoka…
Waziri Mkuu wa Libya anayeungwa mkono na Umoja wa Mataifa siku ya Jumamosi ametoa wito kwa makundi yenye silaha kujihusisha…
Eneo la afya la Kalemie katika mkoa wa Tanganyika linakabiliwa na mlipuko wa kipindupindu. Tangu kuanza kwa mwaka huu, zaidi…
Raia wa Poland wanapiga kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais siku ya Jumapili, kura ambayo inaonekana kuwa…
Raia wa Romania wanapiga kura kmchaguwa rais wao Jumapili hii, Mei 18. Ni lazima wachague kati ya mgombea wa siasa…
Wapiganaji wenye silaha kutoka kundi la M23, ambalo limechukua udhibiti wa Goma, mji muhimu mashariki mwa DRC, wamewafukuza maelfu ya…
Wakati mazungumzo huko Doha yakiwa yamekwama, ingawa yanaendelea chini ya shinikizo kutoka kwa wapatanishi, Israeli inatishia kuendeleza operesheni yake ya…
Urusi imefanya shambulio la ndege zisizo na rubani katika mikoa kadhaa ya Ukraine, ukiwemo mji mkuu, siku ya Jumamosi usiku.…
Zaidi ya wahamiaji 270 wameokolewa Jumamosi, Mei 17, 2025 katika Bahari ya Mediterania na meli ya Ocean Viking. Meli hiyo…
Nchini Madagascar, hatua mpya imepigwa kuelekea ujenzi wa kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha umeme nchini humo. Wiki hii, Serikali imetangaza…
Kwa wiki kadhaa sasa, mkuu wa nchi wa Cameroon amekuwa akijieleza kila siku kupitia mitandao ya kijamii ya X na…
Mwanasheria nguli kwenye ukanda wa Afrika Mashariki ambaye pia ni mwanasiasa kutoka Kenya, Martha Karua, sambamba na wanaharakati na wanasheria…
Shambulio la Urusi dhidi ya basi dogo lililokuwa limebeba raia kaskazini mwa Ukraine limesababisha vifo vya watu tisa na wanne…
Henna Virkkunen, kamishna wa sera za kidijitali wa Umoja wa Ulaya, ametoa wito siku ya Ijumaa kuwepo kwa ushirikiano wa…
Wakikutana siku ya Ijumaa, Mei 16, huko Istanbul kwa mazungumzo yao ya kwanza ya amani tangu msimu wa 2022, wajumbe…
Zaidi ya wiki tatu baada ya kusainiwa kwa tamko la kanuni huko Washington kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Mwanzilishi mwenza wa Mkataba wa Kijamii wa Amani na Kuishi Vizuri pamoja nchini DRC ili kumaliza mzozo unaosambaratisha Mashariki mwa…
Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba na familia yake wameachiliwa na wamewasili Luanda, ofisi ya rais wa Angola…
Wanajihadi kaskazini mwa Nigeria wanatumia mitandao ya kijamii kuendeleza kampeni zao kuwasajili wapiganaji wapya. Imechapishwa: 16/05/2025 – 10:23 Dakika 1…
Nchini Chad, dazeni kadhaa za watu wamefariki katika “makabiliano makali” katika kijiji cha Mandakao, katika jimbo la Logone Occidental, karibu…
Nchini Chad, Waziri Mkuu wa zamani Succès Masra amekamatwa alfajiri ya Ijumaa, Mei 16, nyumbani kwake. Imechapishwa: 16/05/2025 – 08:52…
Libya imekubali mamlaka ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa nchini humo, licha…
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini Aaron Motsoaledi amesema siku ya Alhamisi kwamba serikali bado haijapata ufadhili mpya kwa ajili…
Chama kikuu cha upinzani nchini Ethiopia, Tigray People’s Liberation Front (TPLF), siku ya Alhamisi kimeelezea maagizo kutoka kwa Tume ya…
Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imekanusha uvumi unaoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa rais Salva Kiir amefariki…
Mamlaka ya Mbuga kubwa ya kitaifa ya Rwanda imetangaza Alhamisi kuwa itapokea vifaru weupe 70 kutoka Afrika Kusini baadaye mwezi…
Bunge la Seneti limeanza kuchunguza ombi la kumvua kinga ya useneta rais wa zamani Joseph Kabila siku ya Alhamisi, Mei…
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imetangaza siku ya Alhamisi, Mei 15, kuwa imewahamisha zaidi ya wanajeshi 1,300 wa…
Mshauri wa rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, Alhamis ameripoti kufanya mazungumzo na rais wa…
Mkuu wa majeshi ya Uganda, ambaye ni mtoto wa rais wa Uganda amesema Alhamisi kwamba raia yeyote ambaye altapiga kura…
Akiwa amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kufuatia kitendo chake cha kujaribu kumshawishi jaji katika kesi iliyokuwa inamkabili, Nicolas Sarkozy…
Wajumbe wa Urusi na Ukraine wanatarajiwa kukutana leo Alhamisi, Mei 15, “katika sehemu ya pili ya siku” huko Istanbul ili…
Nchini Mali, mamlaka ya mpito inabainisha hatua zinazofuata katika mchakato wa mageuzi. Kufuatia kufutwa kwa katiba ya vyama vya siasa…
Mkurugenzi wa Gazeti la Quotidien de Bangui ambaye alikamakamatwa wiki iliyopita, aliwekwa chini ya ulinzi na kuhamishwa siku ya Jumatano,…
Chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF), ambacho kilitawala Ethiopia kwa takriban miongo mitatu, kinapoteza rasmi hadhi yake kama chama…
Wizara ya Mambo ya Ndani ya DRC inabainisha kwamba mahakama imeombwa kufutwa kwa vyama kadhaa vya siasa, ikiwa ni pamoja…
Ujumbe wa Urusi umewasili Istanbul kwa mazungumzo na Ukraine, shirika la habari la serikali ya Urusi Ria Novosti limeripoti. “Wajumbe…
Takriban watu mia moja waliandamana Jsiku ya umanne tarehe 13 na Jumatano Mei 14 huko Diafarabé, katikati mwa Mali, kupinga…
Nchini Niger, sekta ya elimu inadorora. Kufuatia wito wa muungano wa vyama 28 uliozinduliwa Jumatatu, Mei 12, walimu meamua kuanzisha…
Siku mbili baada ya kujiuzulu, Tidjane Thiam amechaguliwa tena kuwa mkuu wa PDCI wakati wa kongamano lililoandaliwa siku ya Jumatano,…
Mapigano makali kati ya makundi hasimu yenye silaha yamezuka tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, na kuendelea Jumatano katika…
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa watakutana katika Ikulu ya White House wiki ijayo…
Aliyekuwa naibu wa rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ambaye kwa sasa ni mkosoaji mkubwa wa aliyekuwa bosi wake rais William…
Ukraine na Urusi kwa mara ya kwanza zinatarajiwa kuwa na mazungumzo ya ana kwa ana baada ya zaidi ya miaka…
Mapigano zaidi yameripotiwa kwenye vijiji vya Tchofui, Kasheke, Kabamba na Mabingu jimboni Kivu Kusini mashariki mwa nchi ya DRC kati…