Rais Samia aomboleza kifo cha Nyamo-Hanga, dereva wake
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),…
Bwana Yesu asifiwe! Wiki inayoanza kesho Jumatatu Wakristo hapa nchini wataungana na wenzao ulimwenguni kote kuadhimisha sherehe ya Pasaka kuanzia…
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo itafahamu kundi itakalopangwa na wapinzani itakaocheza…
Tarime. Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara uliopo Nyamongo Wilaya ya Tarime mkoani Mara unatarajia kurejesha leseni nne za…
Mara. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13,…
Katika ulimwengu wa leo ambao umejaa vishawishi, mashinikizo na changamoto nyingi, hakuna zawadi bora ambayo mzazi anaweza kumpatia mtoto wake …
Ukiniuliza mimi nitakwambia natamani mtoto wangu awe mwanasayansi wa kwanza wa Kitanzania kugundua sayari nyingine ambayo binadamu tunaweza kuhamia na…
Mikopo ni nyenzo muhimu katika kuendeleza biashara za kifamilia, hasa linapokuja suala la upanuzi wa biashara, ununuzi wa vifaa au…
Umewahi kufikiri namna tunavyoendelea kutengeneza kizazi cha watu wanaochoshwa na upendo? Kuna ukweli mchungu kuwa tumeanza kuwa na kizazi cha…
Kuna siri ambayo wanaume wanaodharau na kutesa wake wao hawajui. Siri hii ni kuwa wanawake wanachangia kwa kiasi kikubwa katika…
Huko nyuma ukisikia msamiati umbea harakaharaka akili ilikuwa inakupeleka kwa wanawake. Kutokana na asili yao si aghalabu kukuta kiumbe wa…
Siku hizi, ndoa zinafungwa na kuvunjika sana. Tofauti na zama zile, zamani, mababu na mabibi walirahisishia mambo na kujengea misingi…
Anti naomba unishauri bila kunificha. Ninatafuta mwanaume wa kuzaa naye tu, mtoto nitalea mwenyewe. Ninafanya hivyo kwa sababu wanaume wanasumbua…
Katika dunia hii yenye kelele za mapenzi ya mitandao na ndoa za ‘soft life’, ni muhimu kuelewa sifa za mke…
Dar/Mikoani. Suala linalogonga vichwa na kutawala mijadala ya kisiasa kwa sasa ni tangazo la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…
Dar es Salaam. Licha ya changamoto zinazojitokeza, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema mapambano yataendelea na hakuna kukata tamaa. Hayo yamesemwa leo…
Unguja. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya…
Dar es Salaam. Mtibwa Sugar inahitaji pointi nne tu katika mechi zake nne ilizobakiza kwenye Ligi ya Championship baada ya…
Rombo. Kundi la wafugaji jamii ya Kimasai linalodaiwa kutoka nchi jirani ya Kenya, limevamia na kujeruhi watu kadhaa akiwemo Diwani…
Nachingwea. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema walijua mapema kuwa wapinzani wao…
Dodoma. Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake la Mkoa wa Dodoma limesema miongoni mwa vikwazo vinavyofanya biashara za wajasiriamali wanawake kushindwa kukua…
Dar es Salaam. Zaidi ya watu 22, wamenusika kifo baada ya kutokea ajali ya daladala inayofanya safari zake kati ya…
England. Manchester City imepanda hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu England (EPL) baada ya kuibuka na ushindi…
Dodoma. Wanandoa wamefikishwa katika ofisi ya Kata ya Tambukareli, jijini Dodoma, wakikabiliwa na tuhuma za kumjeruhi mtoto wa miaka minne, tukio…
Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa shule mpya ya wavulana ya kidato cha tano na sita itakapokamilika, itakuwa na…
Shinyanga. Mtoto wa siku mbili mkazi wa Kijiji cha Shatimba Kata ya Nyamalogo Wilaya ya Shinyanga anadaiwa kuuawa na babu…
Unguja. Mwili wa mwanamke ambaye bado hajafahamika jina, umekutwa leo Aprili 12, 2025, saa 12 asubuhi nje ya jengo la…
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitakubali atokee mtu yeyote kuvuruga amani na kusababisha mpasuko miongoni mwa wananchi hususani…
Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeainisha mambo yanayotakiwa na yasiyoruhusiwa kufanywa wakati wa uchaguzi mkuu wa Rais,…
Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu mwelekeo wa jinsia katika ajira, imebainisha kuwa…
Dar es Salaam. Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Zaiylissa amefunguka kwa mara ya kwanza huku akiweka wazi kuwa kwa sasa…
Arusha. Elia Wekwe ametiwa hatiani na Mahakama na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Kulwa James katika nyumba ya kulala…
Dar es Salaam. Katika kile kinachoonekana ni kumuandaa kipa wao Moussa Camara kwa ajili ya mechi za nusu fainali za…
London. Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta ametoa habari njema kwa mashabiki wa timu hiyo kuwa mshambuliaji wake Kai Havertz anaweza…
Dar es Salaam. Moja ya mambo ambayo yamepungua sana kwenye bendi siku hizi ni suala la uhasama kati ya bendi…
Tarime. Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara uliopo Nyamongo wilayani Tarime Mkoa wa Mara unatarajia kutoa leseni zake nne…
New York. Familia ya watu watano kutoka Hispania imefariki dunia katika ajali ya helikopta ya utalii iliyotokea kwenye Mto Hudson,…
Mtwara. Katika jitihada za kupunguza vifo vya wavuvi vinavyotokana na ajali za mara kwa mara katika Ziwa Victoria, Serikali ya…
Dodoma. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni…
Dar es Salaam. Tamthiliya. Ndiko liliko kimbilio kwa waigizaji wetu. Hakuna tena filamu. Tunalazimika kutafuta ving’amuzi vya runinga tofauti ili…
Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa Singida Black Stars, Omary Kaya ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa klabu hiyo, mabadiliko ambayo…
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya maofisa polisi na kuchukua kiasi cha…
Dar es Salaam. Ni miezi sita sasa bila Alikiba kutoa wimbo mpya lakini sio jambo geni bali ni utamaduni wake…
Meatu. Licha ya Tanzania kuwa na sheria zinazozuia ndoa na mimba za utotoni, jamii inatumia usiri na uongo kama mbinu…
Dar es Salaam. Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, (INEC), vyama vya siasa na Serikali leo Aprili 12, 2025…
Nigeria. Mkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Davido amefunguka kuhusu nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mkewe Chioma katika maisha yake binafsi…
Dar es Salaam. Juzi kati wakati nipo kwenye harakati za mtu mweusi nikazama chimbo moja hivi ninalopenda kutembelea mara kwa mara. …
Dar es Salaam. Juzi kati wakati nipo kwenye harakati za mtu mweusi nikazama chimbo moja hivi ninalopenda kutembelea mara kwa mara. …
Dar es Salaam. Tusaini au tusisaini? ndilo swali lisilo na jawabu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa…
Dar es Salaam. Wakati wiki ya Azaki mwaka huu ikitarajiwa kufanyika Juni, moja ya jambo litakaloangaliwa ni njia gani zinaweza …