ACT-Wazalendo: Hatutaki kuvunja Muungano, tunahitaji usawa
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hakina lengo la kuuvunja Muungano, badala yake wanahitaji usawa utakaojenga heshima kwa pande zote mbili…
Mizozo ya kijeshi duniani
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hakina lengo la kuuvunja Muungano, badala yake wanahitaji usawa utakaojenga heshima kwa pande zote mbili…
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) kutoka Iringa kwa tuhuma za kutoa taarifa…
Unguja. Katika kuimarisha ushiriki na upatikanaji wa taarifa kwa vijana katika ngazi ya uamuzi, uongozi na ajira, Baraza la Vijana…
Dar es Salaam. Unapohisi mpangilio ule ule wa matone ya mvua yakigonga ngozi yako, huenda usifikirie kuhusu sifa za kuvutia…
Dodoma. Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe leo Jumatatu April 14, 2025 bungeni jijini Dodoma ameihoji Serikali kama haioni haja…
Simba imeamua kuweka kambi ya siku tano visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika…
Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru washtakiwa watatu walioshtakiwa kwa makosa ya kusafirisha kilo 221.43…
Shanghai. Serikali nchini China imetoa wito kwa wakazi wa Kaskazini mwa nchi hiyo walio na uzito wa chini ya kilo…
Novemba 6, mwaka jana, Kampuni ya Mawasiliano Yas (zamani Tigo) ilifanya mabadiliko makubwa ya chapa zake. Kampuni hii ambayo ilianza…
Bao moja ambalo Saimon Msuva ameifungia timu yake ya Al Talaba dhidi ya Al Karma juzi kwenye Ligi Kuu ya…
Baada ya kuchomoza na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West Ham United katika mwendelezo wa Ligi Kuu England, Liverpool…
Dar. Mvua zilizoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 14, 2025 maeneo mbalimbali ikiwemo jijini Dar es Salaam imesababisha…
Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo-Hanga utazikwa nyumbani kwao Mingungani,…
Dodoma. Patachimbika bungeni, ndivyo unavyoweza kusema wakati wabunge wakiwa kwenye kipindi cha lala salama, watakapoichambua bajeti ya Wizara ya Nchi,…
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ imepangwa kundi A katika fainali za Mataifa…
Dar es Salaam. Sio swali tena kuhusu Chadema itashiriki au haitoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kinachowatafakarisha wadau wa…
Morogoro. Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Tatu Hamis (51) mkazi wa Kijiji cha Kibangile Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro…
Arusha. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kukirasimisha rasmi, kukitambua na kusajili Chama cha Wafawidhi…
Dar es Salaam. Simba imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuibuka na ushindi…
Tarime. Wanaume nchini wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika harakati za kuleta usawa wa kijinsia. Imeelezwa kuwa suala la usawa wa…
Geita. Padri Albert Kusekwa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Katoliki la Geita, amewataka viongozi…
Dodoma. Serikali imesema mpango wa kutofungamana na upande wowote, umeendelea kuifanya Tanzania kutokuwa na uadui na mataifa mengine. Kauli hiyo…
Kibaha. Katika kuhakikisha kampeni ya upandaji miti inaendelea nchini, Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za…
Lagos. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi anayeongoza kwa uwezeshaji Barani Afrika katika hafla ya…
Unguja. Waziri wa Afya Zanzibar, Ahmed Nassor Mazrui amesema utafiti uliofanywa na wizara hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine, kuhusu…
Kisarawe. Tanzania iko mbioni kuacha kuagiza vilipuzi na baruti kutoka nje ya nchi. Kila mwaka Tanzania inaagiza vilipuzi milioni 10…
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewatega wabunge wake, baada ya kutangaza mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za…
Musoma. Uwanja wa ndege wa Musoma unaokarabatiwa na kujengwa gharama ya zaidi ya Sh35 bilioni sasa unatarajiwa kukamilika Septemba mwaka…
Dar es Salaam. Wakati takwimu zikionesha takriban hekta 460,000 za misitu zinapotea nchini kwa mwaka, wanaojihusisha na shughuli za uharibifu…
Geita. Mahakama ya Wilaya ya Geita imemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela, pamoja na kulipa faini ya Sh1 milioni baada…
Bagamoyo. Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ikija na mfumo wa kidijitali wa ununuzi wa umma (Nest),…
Unguja. Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar kimesema kimeandaa mkakati mkali wa kukabiliana na vitendo vya rushwa katika kipindi chote cha…
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amechukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi…
Dar es Salaam. Kifo ni fumbo la imani. Ni kauli ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto…
Dar es Salaam. Watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), wametakiwa kutosita kuwekeza na kutuma fedha nchini kwa kuwa, wadau wa…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, hakijasaini kanuni za maadili ya uchaguzi…
Dar es Salaam. Baada ya kutoka kuiondoa Al Masry katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba…
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),…
Bwana Yesu asifiwe! Wiki inayoanza kesho Jumatatu Wakristo hapa nchini wataungana na wenzao ulimwenguni kote kuadhimisha sherehe ya Pasaka kuanzia…
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo itafahamu kundi itakalopangwa na wapinzani itakaocheza…
Tarime. Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara uliopo Nyamongo Wilaya ya Tarime mkoani Mara unatarajia kurejesha leseni nne za…
Mara. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco), Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13,…
Katika ulimwengu wa leo ambao umejaa vishawishi, mashinikizo na changamoto nyingi, hakuna zawadi bora ambayo mzazi anaweza kumpatia mtoto wake …
Ukiniuliza mimi nitakwambia natamani mtoto wangu awe mwanasayansi wa kwanza wa Kitanzania kugundua sayari nyingine ambayo binadamu tunaweza kuhamia na…
Mikopo ni nyenzo muhimu katika kuendeleza biashara za kifamilia, hasa linapokuja suala la upanuzi wa biashara, ununuzi wa vifaa au…
Umewahi kufikiri namna tunavyoendelea kutengeneza kizazi cha watu wanaochoshwa na upendo? Kuna ukweli mchungu kuwa tumeanza kuwa na kizazi cha…
Kuna siri ambayo wanaume wanaodharau na kutesa wake wao hawajui. Siri hii ni kuwa wanawake wanachangia kwa kiasi kikubwa katika…
Huko nyuma ukisikia msamiati umbea harakaharaka akili ilikuwa inakupeleka kwa wanawake. Kutokana na asili yao si aghalabu kukuta kiumbe wa…
Siku hizi, ndoa zinafungwa na kuvunjika sana. Tofauti na zama zile, zamani, mababu na mabibi walirahisishia mambo na kujengea misingi…
Anti naomba unishauri bila kunificha. Ninatafuta mwanaume wa kuzaa naye tu, mtoto nitalea mwenyewe. Ninafanya hivyo kwa sababu wanaume wanasumbua…