Kila bao la Mpanzu laki moja kwa kocha
Ellie Mpanzu amewafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimpopoa wakati alipoanza kuitumikia Simba iliyomsajili kupitia dirisha dogo, huku mabao aliyoanza kuyafunga…
Mizozo ya kijeshi duniani
Ellie Mpanzu amewafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimpopoa wakati alipoanza kuitumikia Simba iliyomsajili kupitia dirisha dogo, huku mabao aliyoanza kuyafunga…
Na Ramadhan Hassan, Mtanwania Digital Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amewataka mashabiki wa soka nchini…
The post PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 15,2025 appeared first on Mzalendo.
Na WMJJWMM, Tarime – Mara Wataalam mbalimbali wa Ngazi ya Kata kutoka katika Halmashauri za Wilaya ya Tarime wametakiwa…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, akizungumza na Waandishi wa Habari leo Aprili 14,2025 jijini Dodoma…
Ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar, kwenye uwanja wa Liti, mkoani Singida katika mchezo…
Dodoma. Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amekosoa utaratibu wa waajiriwa wapya kufanyiwa mtihani kabla ya kuajiriwa na badala yake…
Dodoma. Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amekosoa utaratibu wa waajiriwa wapya kufanyiwa mtihani kabla ya kuajiriwa na badala yake…
Mbeya. Mradi wa upimaji ardhi katika maeneo ya Utengule na Nsalala uliokuwa chini ya Tanganyika Packers na TBC Iwambi mkoani…
Arusha. Watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani wameelezea ugumu wanaokabiliana nao katika kuishi chini ya uangalizi wa wazazi au walezi …
Dar es Salaam. Ni simulizi inayoweza kukutoa machozi kutokana na namna mume aliyefumwa na mkewe ‘akichat’ usiku wa manane, alivyomuua…
Mtwara. Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hassan Mtenga amekitaka chama hicho kuwachukulia hatua kali wale aliowataja kuwa ‘wahuni’ waliomo ndani…
Dodoma. Mbunge wa Kerwa (CCM), Innocent Bilakwate ameshauri Serikali kushusha bei ya usafiri wa treni ya kisasa ya (SGR) kwa…
Longido. Wananchi 37,752 wa kata za Sinya, Namanga na Kimokoua, wilayani Longido Mkoa wa Arusha, wanatarajia kuondokana na adha ya…
Songwe. Serikali imesema inatarajia kuanza utekelezaji wa ujenzi wa daraja katika barabara ya Mlowo-Kamsamba ili kuondoa changamoto inayowakabili wananchi baada…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Tuzo za Kimataifa za Utaili zijulikanazo kama World…
Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) na Wakurugenzi (DED) nchini kumzungumzia mema Rais Samia Suluhu…
Dar es Salaam. Serikali imeshindwa kumsomea maelezo ya awali (PH) “Bwana Harusi” Vicent Masawe (36) anayekabiliwa na kesi ya wizi…
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuendana na ukuaji wa teknolojia na uboreshaji wa miundombinu Tanzania iko mbioni kuanzisha mifumo…
Dodoma. Suala la wageni kupewa fursa ya kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania, na changamoto ya ajira nchini, ni miongoni…
Dar/Bunda. Kashemeile Stanslaus, mke wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Boniface Gissima Nyamo-Hanga, ameelezea namna alivyoagana…
Dar/Bunda. Kashemeile Stanslaus, mke wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Boniface Gissima Nyamo-Hanga, ameelezea namna alivyoagana…
Arusha. Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imeingia makubaliano ya miaka miwili na Taasisi ya Udhibiti wa…
Mkurugenzi wa Kampuni ya Look inayoendesha mashindano ya kumsaka Miss Tanzania, Basila Mwanukuzi amesema Miss Tanzania 2023, Tracy Nabukeera hajajitoa…
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,…
Unguja. Zanzibar imeshuhudia ongezeko kubwa katika sekta ya utalii mwaka 2024, kwa kuwapokea wageni wa kimataifa 736,755, sawa na ongezeko…
Dar es Salaam. Wakati mvua iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam ikisababisha adha kwa wananchi, Mamlaka…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ulinzi…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha…
Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewaagiza Chama cha Wanawake wa Sekta ya Fedha (Tawifa), kutoa elimu kwa wanawake…
Dar es Salaam. Katika kuokoa mazingira ya Mlima Kilimanjaro ikiwemo barafu na miti, wadau wa mazingira kwa kushirikiana na Serikali…
Arusha. Serikali imeanza kutumia balozi za nje kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini, ikiwa ni mkakati wa kufikisha malengo ya…
Dar es Salaam. Unaweza kusema ni kijana barobaro au vijana wa 2000 kutokana na umri wao kwenye soka tangu wabadilishwe…
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele ametangaza ngwe ya…
Wanaume wenye matiti ambayo yametanuka (gynecomastia), wapo katika hatari ya kufa kabla ya kufika umri wa miaka 75, wanasayansi wamebaini.…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imetangaza mpango wa utambuzi na usajili wa watu wote chini ya…
Bunda. Baadhi ya wakazi wa Bunda, mkoani Mara wamesema ni jambo la kawaida kuwapo waendesha baiskeli usiku eneo la Nyatwali…
Mwigizaji Chuchu Hancy amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai amefariki dunia. Taarifa ya Chuchu kufariki ilichapishwa na…
Na. Mwandishi Wetu, Dodoma Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi…
Dodoma. Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa, ambazo ni saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake,…
Refa mzoefu Jean Jacques Ndala kutoka DR Congo ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya kwanza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho…
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hakina lengo la kuuvunja Muungano, badala yake wanahitaji usawa utakaojenga heshima kwa pande zote mbili…
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) kutoka Iringa kwa tuhuma za kutoa taarifa…
Afisa Raslimali Mwandamizi wa Barrick nchini,Chrispin Ngwaji akiwaeleza wanafunzi wa vyuo vikuu shughuli za kampuni ya Barrick nchini. Mkuu wa…
Unguja. Katika kuimarisha ushiriki na upatikanaji wa taarifa kwa vijana katika ngazi ya uamuzi, uongozi na ajira, Baraza la Vijana…
Dar es Salaam. Unapohisi mpangilio ule ule wa matone ya mvua yakigonga ngozi yako, huenda usifikirie kuhusu sifa za kuvutia…
Dodoma. Mbunge wa Ndanda (CCM), Cecil Mwambe leo Jumatatu April 14, 2025 bungeni jijini Dodoma ameihoji Serikali kama haioni haja…
Simba imeamua kuweka kambi ya siku tano visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika…
Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru washtakiwa watatu walioshtakiwa kwa makosa ya kusafirisha kilo 221.43…