Uhusiano wa Mwana Fa na Mboni Mhita upo hivi
Dar es Salaam. Ni miaka 23 sasa tangu Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ aachie wimbo wake ‘Mabinti’ wimbo uliobeba majina ya warembo…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Ni miaka 23 sasa tangu Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ aachie wimbo wake ‘Mabinti’ wimbo uliobeba majina ya warembo…
Hatima ya mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina kuendelea kuliwakilisha jimbo hilo iko mikononi mwa wananchi kutokana na vita kali…
Kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara huenda akarejea kwenye lango la timu hiyo dhidi ya Al Masry leo, baada…
Masasi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi leo Jumatano, Aprili 2, 2025 anaanza ziara ya kikazi…
Wasiwasi umetanda ndani ya Arsenal wiki moja kabla ya kuivaa Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya…
Kibaha.Wakati uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ukitarajia kufanyika leo Aprili 2,2025 mjini Kibaha Mkoa wa Pwani, shamrashamra…
Dar es Salaam. Huenda kuongezeka kwa wastani wa gharama za kubadilisha fedha za kigeni kwa asilimia 1.91, Aprili 2025 ikawa…
Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu…
The post EWURA YATANGAZA BEI MPYA YA MFUTA appeared first on Mzalendo.
Juzi tulishangaa sana. Mwe! Nani angeamini kuwa mafyatu wanene na wanono wangefyatukiana na kufyatuana hadharani? Unene kweli taabu, japo una…
Kaulimbiu za kampeni ni silaha yenye nguvu kwa chama cha siasa au mgombea. Donald Trump alijitengenezea mtaji mkubwa haraka, alipoinuka…
Dar es Salaam. Mageuzi ya mfumo wa kisiasa yatakayohusisha mabadiliko ya kisheria, sera na Katiba kwa ujumla wake, limekuwa hitaji…
Leo naendelea na mfululizo wa makala zangu elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), nikilielekeza jicho langu…
Kuna baadhi ya tungo za muziki zinafikirisha sana. Vijana wawili wa zamani waliuliza kwenye utunzi wao: “Ingekuwa vipi kama pumzi…
aa The post PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 2,2025 appeared first on…
Mwanza. Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Emmanuel Chacha…
Same. Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare…
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto…
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa wito wa kulinda amani katika kipindi hiki cha…
Dar es Salaam. Miamala ya mikopo ya kidijitali nchini Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa mwaka 2024, ikiongezeka kwa asilimia 91.49 hadi…
Simiyu/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara kwenye daraja wilayani Maswa mkoani Simiyu. Hayo yakitokea, katika maeneo mengine…
Unguja. Wakati miundombinu ya Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) ikitajwa kuchakaa na kuzidiwa, hivyo kusababisha upatikanaji hafifu wa umeme, shirika…
Rombo. Serikali imetoa zaidi ya Sh9.3 bilioni kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji utakaopunguza tatizo la maji katika vijiji…
Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amewasisitiza walezi wa vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalumu mkoani…
Ouagadougou. Rais wa mpito wa Burkina Faso, Kapteni, Ibrahim Traoré, amewasamehe wanajeshi 21 waliokutwa na hatia ya kujaribu kupindua Serikali…
Babati. Watendaji wa vijiji na Kata wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wanaokiuka taratibu za kisheria katika masuala ya ardhi…
Nimefurahishwa na ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwamba Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu 2025 unafanyika kwa haki na furaha…
Moshi/Dar. Mjadala wa ukomo kwa nafasi ya ubunge wa jimbo, umeanza kupamba moto huku baadhi ya wasomi na wananchi wakiikumbuka…
Morogoro. Ulaji wa mayai na unywaji wa maziwa kwa wananchi wa vijijini unaonekana kuwa mdogo ikilinganishwa na wa mijini. Hayo…
Mandalay. Jamii nchini Myanmar imeendelea na maombolezo ya waliopoteza maisha katika tetemeko kubwa la ardhi ambalo hadi sasa limesababisha vifo…
Same. Majeruhi 46 kati ya 75 wa ajali mbili tofauti ikiwemo iliyoua wanakwaya sita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri…
Dar/mikoani. Bodaboda wanaokesha kazini ‘popo’ ni sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania, wakihudumia watu wanaosafiri nyakati mbalimbali ikiwamo…
Ituri. Mhalifu wa kivita aliyetiwa hatiani na ICC kwa makosa mbalimbali, ametangaza kuunda kundi jipya la waasi lenye lengo la…
Mbeya. Simanzi imeibuka tena jijini Mbeya baada ya kifo cha aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi…
Jumatano, Aprili 2, 2025, Simba itakuwa ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi…
Kuna saa 24 za moto kwa Simba na Yanga kujiuliza wanaziendeaje mechi zao zilizoshikilia maana kubwa katika kufikia malengo yao…
Hatma ya kiungo Clatous Chama ndani ya Yanga bado inapasua kichwa baada ya mabosi wa timu hiyo kusubiri uamuzi wa…
Inaelezwa kwamba Manchester City imefikia hatua nzuri katika harakati za kuiwania saini ya winga wa Bayer Leverkusen na timu ya…
Hatma ya kiungo Clatous Chama ndani ya Yanga bado inapasua kichwa baada ya mabosi wa timu hiyo kusubiri uamuzi wa…
Dar es Salaam. Katika sherehe nyingi siku hizi, ni nadra kukutana na wanawake walioacha maumbo yao ya asili yaonekane bila…
aa The post PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 1,2025 appeared first…
Na Ramadhan Hassani, Mtanzania Digital Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani ya nchi na…
LONDON, ENGLAND: Arsenal imethibitisha uteuzi wa mkurugenzi mpya wa michezo, Andrea Berta, ambaye kazi yake kubwa itakuwa kufanya usajili wa kuleta…
LIVERPOOL, ENGLAND: Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Stephen Warnock anaamini bado kuna nafasi Trent Alexander-Arnold akaendelea kubaki Anfield msimu ujao. Alexander-Arnold,…
LONDON, ENGLAND: Licha ya Arsenal kuripotiwa imeshafanya makubaliano ya kumsajili Martin Zubimendi dirisha lijalo, ripoti zinadai mkurugenzi mpya wa michezo, Andrea…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haimvumilia mtu yeyote atakayetumia dini kuchochea chuki na uhasama nchini, jambo…
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonya amewataka Waislamu kuendelea kuyaishi mafunzo ya…
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonya amewataka Waislamu kuendelea kuyaishi mafunzo ya…
Kyela. Imeelezwa kuwa ongezeko la kina cha maji katika mwambao wa Ziwa Nyasa, Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya ndicho chanzo…
Dar es Salaam. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametaka kutokuvumiliwa kwa kauli zinazohatarisha amani nchini, huku akiwasisitiza…