Auawa akigombea mke wa mtu
Kenya. Katika tukio la kushangaza Kevin Ouma ameuawa kwa kile kilichotajwa kugombea mke wa mtu. Ouma mwenye umri wa miaka…
Mizozo ya kijeshi duniani
Kenya. Katika tukio la kushangaza Kevin Ouma ameuawa kwa kile kilichotajwa kugombea mke wa mtu. Ouma mwenye umri wa miaka…
Dar es Salaam. Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025…
Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika,…
Mbeya. Wakati mwili wa aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, Lucia Sule…
Morogoro. Katika msako maalumu ulioendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani wa Morogoro katika kukabiliana na wimbi la matapeli wa mitandaoni,…
Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa kwenye mitandao ya kijamii kinachozungumzwa zaidi kwa sasa ni habari ya mwanamuziki Zuchu na…
Arusha. Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…
Dar es Salaam. Msanii wa muziki nchini, Mr.Blue ambaye mwaka huu anatimiza miaka 22 kwenye kiwanda cha burudani, ametangaza kuachia…
Geita. Methali ya kusema “ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga” inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita,…
Shinyanga. Mkazi wa kata ya Ndembezi iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Athuman Idd (35) amekutwa amejinyonga katika kata ya…
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameshauri njia mbalimbali za kumsaidia mgonjwa wa usonji, ikiwa ni pamoja na kumpeleka kufanyiwa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa…
Kinshasa. Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa raia watatu wa Marekani kwa makosa…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE),…
Nairobi. Mtifuano wa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ni kama umeanza upya baada ya kiongozi huyo…
Dar es Salaam. Mtayarishaji wa muziki nchini Paul Matthysse ‘P Funk’ amebariki binti yake Paula Paul kubadili dini na kuwa…
Dar es Salaam. Kadri joto la uchaguzi wa mwaka 2025 linavyozidi kupanda, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na…
Dar es Salaam. Msimamo wa ama kuendelea kugombea au kuweka rehani ndoto za kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba,…
Mamelodi Sundowns na Esperance huenda kila moja ikajikuta ikikumbana na adhabu kali kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)…
Marekani. Elon Musk, mmoja wa wafanyabiashara wakubwa duniani na mkuu wa kampuni ya Tesla, amekuwa gumzo hivi karibuni baada ya…
Dar es Salaam. Licha ya muziki wake kutawaliwa na drama nyingi kutokana na kuwa na uhusiano na Shilole kipindi cha…
Zaidi ya asilimia 70 ya fedha za Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi ya Fedha (HEET) zimeelekezwa…
Dar es Salaam. Baada ya miaka mitano akiwa kama Mtangazaji wa Radio, Ray C aliamua kujaribu bahati yake katika Bongofleva,…
San’aa. Shambulizi lililolofanywa kwa ndege ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen limesabababisha vifo vya watu wanne huku kadhaa wakijeruhiwa. Al…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Bw. Binuru Shekidele, akizungumza alipokutana na Timu ya Wataalamu…
Dar es Salaam. Ni miaka 23 sasa tangu Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ aachie wimbo wake ‘Mabinti’ wimbo uliobeba majina ya warembo…
Hatima ya mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina kuendelea kuliwakilisha jimbo hilo iko mikononi mwa wananchi kutokana na vita kali…
Kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara huenda akarejea kwenye lango la timu hiyo dhidi ya Al Masry leo, baada…
Masasi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi leo Jumatano, Aprili 2, 2025 anaanza ziara ya kikazi…
Wasiwasi umetanda ndani ya Arsenal wiki moja kabla ya kuivaa Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya…
Kibaha.Wakati uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ukitarajia kufanyika leo Aprili 2,2025 mjini Kibaha Mkoa wa Pwani, shamrashamra…
Dar es Salaam. Huenda kuongezeka kwa wastani wa gharama za kubadilisha fedha za kigeni kwa asilimia 1.91, Aprili 2025 ikawa…
Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu…
The post EWURA YATANGAZA BEI MPYA YA MFUTA appeared first on Mzalendo.
Juzi tulishangaa sana. Mwe! Nani angeamini kuwa mafyatu wanene na wanono wangefyatukiana na kufyatuana hadharani? Unene kweli taabu, japo una…
Kaulimbiu za kampeni ni silaha yenye nguvu kwa chama cha siasa au mgombea. Donald Trump alijitengenezea mtaji mkubwa haraka, alipoinuka…
Dar es Salaam. Mageuzi ya mfumo wa kisiasa yatakayohusisha mabadiliko ya kisheria, sera na Katiba kwa ujumla wake, limekuwa hitaji…
Leo naendelea na mfululizo wa makala zangu elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), nikilielekeza jicho langu…
Kuna baadhi ya tungo za muziki zinafikirisha sana. Vijana wawili wa zamani waliuliza kwenye utunzi wao: “Ingekuwa vipi kama pumzi…
aa The post PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 2,2025 appeared first on…
Mwanza. Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Emmanuel Chacha…
Same. Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare…
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto…
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa wito wa kulinda amani katika kipindi hiki cha…
Dar es Salaam. Miamala ya mikopo ya kidijitali nchini Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa mwaka 2024, ikiongezeka kwa asilimia 91.49 hadi…
Simiyu/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara kwenye daraja wilayani Maswa mkoani Simiyu. Hayo yakitokea, katika maeneo mengine…
Unguja. Wakati miundombinu ya Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) ikitajwa kuchakaa na kuzidiwa, hivyo kusababisha upatikanaji hafifu wa umeme, shirika…
Rombo. Serikali imetoa zaidi ya Sh9.3 bilioni kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji utakaopunguza tatizo la maji katika vijiji…
Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amewasisitiza walezi wa vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalumu mkoani…