Tanzania, Sweden zatia saini mkataba wa tafiti za mabadiliko ya tabianchi
Dar es Salaam. Serikali ya Sweden na Tanzania zimeingia mkataba wa miaka mitano kuanzia 2025 hadi 2029, lengo likiwa ni…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Serikali ya Sweden na Tanzania zimeingia mkataba wa miaka mitano kuanzia 2025 hadi 2029, lengo likiwa ni…
Dar es Salaam. Teknolojia inaendelea kukua katika sekta ya uvuvi, na sasa biashara ya samaki na mazao yake inaweza kufanywa…
Dodoma. Mfumo unaotumia Akili Unde (AI), utakaomwezesha mtu kujipima na kubaini changamoto za afya akili kwa kutumia simu au kompyuta…
Tanzania imeanguka kwa nafasi moja katika chati ya viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani…
Kigoma. Serikali Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imesema haitofanya uthamini kwa kaya 171 zilizogomea kwa awamu mbili tofauti ili kupisha…
Namtumbo. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameiagiza Wizara ya Kilimo kuongeza kasi ya utafiti na…
Dar es Saaam. “Ilikuwa jana Jumatano ya Aprili 2, 2025 saa 10 jioni mjukuu wangu alipokatishwa uhai na mtoto wa…
Unguja. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema historia ya Zanzibar haiwezi kuandikwa bila kumtaja muasisi…
Mwanga. Wakati watu 14 wakifariki dunia huku wengine 117 wakijeruhiwa kwa ajali ndani ya siku nne, mkoani Kilimanjaro, mashuhuda wa…
Geita. Watu watano akiwemo mtoto mwenye umri wa wiki mbili wamenusurika kufa baada ya mtambo aina ya tingatinga (bulldozer) kuparamia…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kamati kuu mbili zilizopewa jukumu la kuandaa awamu ya pili ya Mpango…
Dar es Salaam. Katika hali isiyo ya kawaida mikoko iliyopo Kijichi, eneo ambalo Mto Mzinga unaingia Bahari ya Hindi, wilayani…
Dar es Salaam. Wanasheria wamekuwa na mitazamo tofauti katika sakata la kukamatwa Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe…
Dar es Salaam. Droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) imechezeshwa huku timu mbili za Championship, Stand…
Dodoma. Bunge la 12 la Tanzania litahitimisha uhai wake wa miaka mitano (2020-2025), baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia…
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan atazindua jengo la makao makuu ya Mahakama ya Tanzania, lililojengwa kwa mithili ya nyota huku…
Geita. Watu watatu, akiwemo mtoto mdogo, wanaosadikiwa kuwa ni wa familia moja, wamepoteza maisha baada ya kugongwa na gari katika…
Istanbul, Uturuki. Kocha wa Fenerbahce, Jose Mourinho amejikuta tena kwenye mzozo mwingine baada ya kuzua tafrani kubwa katika mechi ya…
Mwanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Mvungi, lililopata ajali na kusababisha vifo…
Kyiv. Jeshi la Russia limetekeleza mashambulizi ya anga kwa kutumia ndege zisizo na rubani (droni) na kombola la ‘balistiki’ katika…
Dar es Salaam. Kila mtu anaweza kuwa msafirishaji wa bidhaa, lakini si kila msafirishaji atakufikishia mzigo ukiwa salama kama inavyotakiwa…
Mwanga. Watu saba wamefariki dunia papo hapo huku wengine 32 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mvungi, walilokuwa wakisafiria…
London, England. Liverpool imezidi kuukaribia Ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Everton…
Dar es Salaam. Katibu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Julius Mwita ameondolewa katika…
Washington DC. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuzilima vikwazo nchi zote duniani ikiwemo kutangaza ushuru mpya mkubwa kwa mataifa…
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi…
Beki mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya…
Ili kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ugenini…
Siku zote kadiri Sikukuu ya Eid inavyokaribia, ndivyo hamasa za manunuzi ya nguo mpya inavyoongezeka. Kwa wanawake, hakikisho kubwa ni…
Huenda ikawa ni jambo la kushangaza kwa wengi, lakini ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inaongoza katika uwekezaji nchini Kenya, licha…
Kutokana na uwepo wa bandari katika kanda ya Dar es Salaam, Kanda ya Kaskazini, na Kanda ya kusini Mashariki, kunaweza…
Katika biashara kunakuwa na mtaji wa muda mrefu ambao unashikilia msingi wa biashara yako ya mahitaji ya kifedha ya muda…
Hatifungani ni mojawapo ya njia salama za uwekezaji zinazoweza kumhakikishia mwekezaji mapato ya uhakika. Licha ya kuwa njia ya kuhifadhi…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30,…
Dar es Salaam. Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia…
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa…
Tunduru. Diwani wa Mchoteka (ACT-Wazalendo), Seif Dauda na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, Said Mponda na baadhi…
Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Aprili 2, 2025 kuibuka na ushindi…
Unguja. Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo…
Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa…
Kahama. Watu wawili akiwemo dereva wa bajaji Rajabu Hussein (mwenye umri kati ya miaka 27 na 30), pamoja na mtu…
Dar es Salaam. Ili kulinda afya ya kinywa na meno wataalamu wa afya wanasema mtu hatakiwi kusukutua na maji baada…
Kenya. Katika tukio la kushangaza Kevin Ouma ameuawa kwa kile kilichotajwa kugombea mke wa mtu. Ouma mwenye umri wa miaka…
Dar es Salaam. Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025…
Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika,…
Mbeya. Wakati mwili wa aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, Lucia Sule…
Morogoro. Katika msako maalumu ulioendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani wa Morogoro katika kukabiliana na wimbi la matapeli wa mitandaoni,…
Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa kwenye mitandao ya kijamii kinachozungumzwa zaidi kwa sasa ni habari ya mwanamuziki Zuchu na…
Arusha. Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…