Machi imenikumbusha misiba ya wanamuziki
Dar es Salaam. Mwezi Machi umepita, lakini ni mwezi wenye kumbukumbu nyingi chungu kwa ndugu, marafiki na wapenzi wa muziki…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Mwezi Machi umepita, lakini ni mwezi wenye kumbukumbu nyingi chungu kwa ndugu, marafiki na wapenzi wa muziki…
Dar es Salaam/Arusha. Suala la usimamizi wa mali za Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa nchini, Lameck Mfalila, anayesumbuliwa na…
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuwa visiwa hivyo vina utajiri mkubwa uliojificha, ambao…
Dar es Salaam. Mambo yanazidi kumnyookea kocha wa timu ya wanawake ya Yanga ‘Yanga Princess’ baada ya kuongezwa kwenye benchi…
Songea. Deodatus Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo.…
Dar es Salaam. Chama cha Wataalamu wa Masoko Tanzania (TMSA) kimeingia makubaliano rasmi na Chuo cha Masoko cha Uingereza (CIM)…
Dar es Salaam. Hatimaye robo ya kwanza ya mwaka 2025 imetimia huku mengi yakijiri katika tasnia ya burudani Bongo ambayo…
Dodoma. Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaelekea ukingoni, likitarajiwa kuvunjwa Juni, 2025. Kila mbunge ana yake…
Dar es Salaam. Chadema bado hapajapoa ndivyo unavyoweza kueleza. Hii ni baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kutengua uteuzi…
Shinyanga. Meneja wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) LOT 5, kutoka Isaka hadi Mwanza, Mhandisi Christopher Kalisti,…
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amesema licha ya jitihada za kuwainua wanawake kiuchumi kufanikiwa, bado kuna…
Marekani. Mwanamuziki wa Pop Marekani, Taylor Swift pamoja na mpenzi wake, Travis Kelce wameamua kujifungia ndani ili kukwepa vyombo vya…
Kyiv. Mamlaka nchini Ukraine zinasema watu wasiopungua 18, wakiwemo watoto tisa, wameuawa katika shambulio la kombora la Russia kwenye eneo…
Manchester. Jana Ijumaa, Aprili 04, 2025, kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne (33) aliwaaga mashabiki wa timu hiyo akifichua…
Dar es Salaam. Ni miaka zaidi ya 10 imepita tangu Wema Sepetu na Diamond Platnumz wameachana lakini uhusiano wao una…
Nyota wa Real Madrid Antonio Rudiger, Kylian Mbappe, na Dan Ceballos wamepigwa faini na Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA)…
Dar es Salaam. Aman Nzala ndilo jina lake ingawa wengi wanamfahamu kama Anko Nzala. Mwonekano wake unaweza kusema ni kati…
Dar es Salaam. Baadhi ya vituo vya afya vikilalamika kucheleweshewa malipo na mengine kukataliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima…
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua ya kulinda ukuaji wa uchumi ikiwa ni siku mbili baada…
Mwanza. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amewaagiza askari wa Jeshi la Uhifadhi kuzingatia sera ya ujirani mwema…
Kakonko. Diwani wa CCM Kata ya Kiziguzigu, Mwalimu Martin Mpemba, amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa kichwani na kitu chenye…
Dar es Salaam. Kuwekeza katika kilimo cha kisasa na viwanda ni miongoni mwa maeneo matano yaliyoainishwa na wadau, kama muhimu…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza namna Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ilivyokuwa ikitawaliwa na vyama vya…
Geita. Watu 45 wameuawa mkoani Geita kwa imani za kishirikina kwa kipindi cha mwaka 2021-24 huku umaskini na ukosefu wa…
Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa programu ya kuboresha na kurejesha maeneo ya miji ambayo yameathiriwa na changamoto mbalimbali ukianza,…
Dar es Salaam. Kwa miaka zaidi ya 25, Dully Sykes amekuwepo katika muziki akifanya vizuri kwa nyimbo zake maarufu huku akitoa…
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaonekana kukumbwa na mgawanyiko kuhusu msimamo wake wa No Reforms, No Election.…
Dodoma. Wakati maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/26 yakiendelea, wakulima wameiangukia Serikali kuweka ruzuku au kupunguza Kodi ya Ongezeko la…
Geita. Jeshi la Polisi nchini limewataka askari polisi wote wa ngazi ya kata nchini kutumia sheria, busara pamoja na mbinu…
Morogoro. Watu 14 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Morogoro (Nunge) kwa tuhuma ya kujifanya maofisa wenye mamlaka ya…
Kiungo wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea…
Dar es Salaam. Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa…
Katika kochi moja refu maeneo ya Kinondoni nilipata bahati na wasaa wa kukaa na kupiga gumzo na mmoja kati ya…
Seoul. Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imemwondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol aliyekuwa amefutwa kazi kwa kura ya kutokuwa…
Dodoma. Changamoto ya mifumo ya usafirishaji wa zao la parachichi ambayo inasababisha usafirishaji kuchukua siku 50, imetajwa kuathiri viwango vya…
Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, imekusanya Sh238.746 bilioni,…
Dodoma. Job Ndugai ni jina lisilopitwa katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kushika nafasi ya…
Dar es Salaam. Staa wa Bongofleva, Harmonize ametangaza kukamilika kwa albamu yake mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa mwaka huu ikiwa ni ya…
Chunya. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali imetenga bajeti kwa ajili ya kutekeleza mkakati wa kununua wa ndege yenye…
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mwisho wa kutumia matoleo ya fedha ilizoziainisha (pichani) ni kesho Jumamosi…
Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa chama hicho na wadau wengine wa…
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewataka mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa itapata matokeo mazuri katika mechi ya…
Kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Uganda jana kumeifanya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa…
London, England. Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Enzo Fernandez ameisaidia timu yake kupata ushindi baada ya kufunga bao pekee katika mchezo…
Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika…
Stephane Aziz Ki wa msimu uliopita, huwezi kumlinganisha na wa msimu huu, ukiangalia namba zake katika Ligi Kuu Bara zimeshuka…
Dar es Salaam. Kuwa namba moja ni jambo gumu, lakini kuendelea kuwa namba moja ni jambo guu zaidi, wahenga walisema. Hii…
Kisukari aina ya kwanza ni changamoto kubwa kwa watoto na vijana wengi duniani. Mara nyingi, wenye aina ya kwanza ya…
Mwanza. Wataalamu wa afya, lishe na mazingira wametaja ulaji wa chakula kinachofaa, kudhibiti msongo wa mawazo, kufanya uchunguzi wa afya…
Zimebaki siku chache ili kuadhimisha siku ya Afya Duniani ambayo inaadhimishwa kila mwaka tarehe 7 Aprili chini ya mwamvuli wa…