Huu ndio uhaini anaoshtakiwa nao Lissu
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu (57) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu (57) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu…
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kuwepo juhudi za pamoja katika kukabiliana na maradhi ya moyo. Akizungumza kupitia hotuba…
Dodoma. Wabunge wameibua hoja tatu za hali mbaya ya usalama wa chakula, kuchelewa kwa utekelezaji wa Mradi wa Bonde la…
Lindi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetaja mambo manne kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba, 2025 huku kikisisitiza kuwa hakitafanya makosa katika kuteua…
Australia. Familia ya mfanyabiashara raia wa Uingereza aliyefariki akiwa mapumzikoni na mpenzi wake wa miaka 25, inataka majibu ya kina…
Bagamoyo. Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amesema Rais Samia Suluhu Hassan akichaguliwa tena katika uchaguzi mkuu ujao,…
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Benki ya Taifa ya Ushirika ambayo inalenga kuondoa changamoto ya mifumo ya fedha…
Dodoma. Tatizo la ajira limeibuka bungeni kwa Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni kukosoa mfumo wa ajira akisema hauko wazi.…
Dodoma. Mbunge wa Bunda (CCM), Mwita Getere amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kugombea na kurudi tena bungeni bila kujali kama…
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linamshikilia mwanamke aliyewajeruhi watoto wake wawili kwa kuwachoma na kisu tumboni kwa kile…
Moshi. Mwili wa Kamanda mstaafu wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Absalom Mwakyoma umeagwa leo Alhamisi, Aprili 10, 2025 nyumbani kwake…
Mtwara. Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali…
Dar es Salaam. Wakati upotevu wa umeme ukifikia asilimia 14.61 katika mwaka ulioishia 2023/2024, mauzo ya umeme yameongezeka kwa zaidi…
Bukoba. “Kareni mwanangu, sikuwahi kugombana naye zaidi ya masuala ya masomo. Alikuwa na ndoto nyingi, aliniahidi mambo mengi ya kubadilisha…
Njombe/Kilimanjaro. Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Manispaa ya Moshi zimetaja siri ya kuendelea kuwa kinara katika mashindano ya afya…
Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amezitaka taasisi za kifedha kuiga mfano wa Benki ya…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.…
Kuendesha na kudumisha mifumo ya usimamizi wa maji salama hakuwezi kufanikiwa bila uwekezaji mpya na utaalamu wa kiufundi, hususan ukizingatia…
Lindi. Zaidi ya saa 72 zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini iliyokatika Aprili…
Morogoro. Kesi inayowakabili watu 14 wanaotuhumiwa kwa kujifanya maofisa wanaotoa ajira, wakiwakusanya vijana 48 kutoka sehemu mbalimbali nchini na kujipatia…
Dar es Salaam. Habari ya mjini kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni kuhusu yanayoendelea katika ndoa ya mwanamichezo Haji…
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimeonyesha wasiwasi kuhusu kutoweka kwa matumaini ya kupatikana kwa mabadiliko na utekelezaji wa sheria…
Songea. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma, limesitisha mikutano yote iliyopangwa kufanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ukiwamo…
Dar es Salaam. Wakati ulimwengu ukitarajiwa kuadhimisha Siku ya Parkinson duniani, kesho, ugonjwa huo umetajwa kuathiri neva za fahamu na…
Morogoro. Wauguzi na wakunga nchini wameonywa kupokea fedha au zawadi kutoka kwa wagonjwa au ndugu wa wagonjwa baada ya kuwapa…
Dodoma. Msajili wa vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameichambua operesheni ya No reforms, no election (bila mabadiliko…
Dar es Salaam. Jina la Hamisa Mobetto si maarufu Tanzania pekee bali Afrika Mashariki yote kutokana na kazi zake na mtindo…
Dar es Salaam. Unaweza kusema haikuwa bahati kwa waliokuwa wakipendana, Haji Manara na mwigizaji Zaiylissa. Baada ya wawili hao kurushiana…
Usiku wa leo macho na masikio ya mashabiki wa kandanda yatakuwa kwenye viwanja mbalimbali barani Ulaya, ambako hatua ya robo…
Kigoma. Mahakama ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, imewahukumu watu watatu, akiwemo Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa…
Mwanza. Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kutoa zaidi ya Sh580 bilioni kufadhili awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefikishwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es…
Songea. Kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara tajiri wa madini, Marwa Masese Senso na mwanaye, imeahirishwa hadi Aprili 23,…
Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kime wataka baadhi ya viongozi kuacha tabia ya kuwagombanisha Wazanzibar na kusababisha kuuana kwa kisingizio cha…
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Salome Makamba amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusu…
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wafungwa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Tanzania, Boid…
Dodoma. Sintofahamu imeibuka kuhusu upanuzi wa barabara kutoka Kibaha hadi Chalinze, mkoani Pwani, kisha Morogoro, inayolenga kupunguza msongamano wa magari,…
Johannesburg. suluhu waliyoipata Orlando Pirates jana katika mchezo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya…
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelaani kitendo cha polisi kumshikilia mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu…
Arusha. Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) limeendelea kuimarisha uwezo wa wataalamu wa sekta ya ujenzi nchini kwa kutoa mafunzo…
Barcelona. Nyota wa Barcelona, Raphinha jana ameweka rekodi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo ilishuhudiwa Barcelona ikiifunga Borusia Dortmund mabao…
Songea. Mkutano uliopangwa kufanyika leo saa tano asubuhi kati ya waandishi wa habari na viongozi wa Chama cha Demokrasia na…
Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Singeli, Dullah Makabila ameiambia Mwananchi kuwa ameumizwa na taarifa zinazodai mwigizaji Zaiylissa ameachana na mumewe…
Angola. Unaweza kuiita ziara ya kihistoria kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Angola kwa mara ya kwanza tangu aingie…
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Clemence Mendrad, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia…
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani…
Nairobi. Wabunge wawili wanawake wa Bunge la Kenya wamenaswa kwenye video wakipigana nje ya viwanja vya Bunge hilo. Video hiyo…
Bao la dakika ya 79 lililofungwa na kiungo Sihle Nduli limetosha kuitupa nje Zamalek ya Misri kwenye mashindano ya Kombe…
Washington. Wakati soko la Kimataifa la bidhaa za Marekani likiripotiwa kudorora kwa kasi huku raia wakilia uchumi kuporomoka, Rais wa…
Kipute cha leo pale Azam Complex kimeshikilia mambo mawili makubwa; mosi, ni je Yanga itashinda na kukomaa juu ya msimamo…