Gabon yaanza kampeni ya urais kabla ya uchaguzi wa Aprili 12
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Gabon zimeanza rasmi siku ya Jumamosi na zitaendelea hadi Aprili 11. Upigaji kura utafanyika…
Mizozo ya kijeshi duniani
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Gabon zimeanza rasmi siku ya Jumamosi na zitaendelea hadi Aprili 11. Upigaji kura utafanyika…
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo…
Leo ni tarehe Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Machi 2025.
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za…
Baraza la Uratibu wa Tablighi ya Kiislamu la Iran limetoa taarifa ya kulaani ukandamizaji waliofanyiwa Waislamu wa Nigeria wakati wa…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu…
Utawala vamizi wa Israel umekataa pendekezo la Misri na Qatar la kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na umetoa pendekezo…
Wataalamu na watunga sera waliohudhuria mkutano kuhusu vipaumbele vya AfÅ•ika chini ya Urais wa Afrika Kusini wa Kundi G20 wamesisitizia…
Abdel Fattah Al-Burhan, Mkuu wa Baraza la Mpito la Sudan ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Sudan SAF, amepinga…
Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema kwa mara…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya…
Katika muhula wake wa pili wa urais, Donald Trump, rais mpya wa Marekani kwa mara nyingine tena ameamua kutumia mtindo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali…
Marekani imebatilisha viza za wanafunzi zaidi ya 300 wa kigeni kwa kuratibu na kushiriki katika maandamano ya kuwanga mkono na…
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi…
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…
Katika uamuzi wa kutatanisha, kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ametoa msamaha wa rais kwa mtawala…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na…
Leo ni Jumapili tarehe 29 Ramadhani 1446 Hijria sawa na 30 Machi 2025.
Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku…
Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa kila kitu katika Ukanda wa Gaza kinakaribia…
Vyombo vya habari vimearifu kuwa, Marekani imefanya mashambulizi 72 ya anga katika maeneo mbalimbali ya Yemen katika muda wa saa…
Makumi ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati askari usalama walipofyatua risasi kwenye maandamano ya Siku ya…
Taasisi ya Kutetea Demokrasia (FDD) nyenye makao yake makuu huko Washington DC imezungumzia kushindwa serikali ya Donald Trump katika kukabiliana…
Idadi ya watu waliofariki dunia katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar na Thailand imepindukia watu elfu moja.
Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini.
Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yalifanyika jana Ijumaa tarehe 28 Machi nchini Iran na katika miji na…
Maandamano na mijumuiko ya siku ya kimataifa ya Quds imefanyika maeneo mbali mbali nchini Kenya katika ijumaa ya mwisho ya…
Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kwamba Naibu Rais wa Kwanza, Riek Machar, amekamatwa na atachunguzwa kwa tuhuma za kujaribu kuchochea…
Mshauri mwandamizi wa kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amethibitisha kwamba Iran itatekeleza operesheni…
Iran imelaani vikali shambulio kubwa la anga la utawala haramu Israel kwenye maeneo ya makazi katika mji mkuu wa Lebanon,…
Utawala ghasibu wa Isarel umeelekeza shirika lake la ujasusi la Mossad kutafuta nchi ambazo zitaafiki mpango wa kupokea idadi kubwa…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: “Utawala wa Kizayuni wa Israel ni mashine ya mauaji ya…
Wananchi wa Yemen jana walijitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ikiwa ni katika Ijumaa ya…
Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha…
Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani.
Kesi inayoendelea kwa miezi kadhaa ya rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kuhusu madai ya kufadhili kampeni yake ya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan…
Huku maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yakifanyika katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kuunga mkono Palestina na kulaani…
Leo ni Jumamosi tarehe 28 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 29 Machi mwaka 2025 Milaadia.
Washiriki katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesisitiza udharura wa kukabiliana vikali na uhasama wa Marekani…
Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran ameashiria kushiriki kwa wingi na kwa hamas wananchi wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Iran amesisitiza kwamba mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mpango wa…
Binti wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, aliyekuwa Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa kuwauwa viongozi wa…
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha serikali cha Glasgow, Scotland wamefanya mgomo wa kula wakilalamikia ushirikiano wa chuo hicho na makampuni…
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa nchi hiyo ya Kiarabu itaendelea na misimamo yake isioyumba wa kuwahami…
Mnamo mwaka 1979, mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini alitangaza Ijumaa ya mwisho…
Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano…
Jeshi katili la Israel ambalo lilianzisha mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza mnamo Machi 18, limeendelea kupuuza miito…