Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wakuu wa baadhi ya nchi za eneo na…
Rais wa Iran amesema kuwa ikiwa Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, maadui hawatakuwa na uwezo wa kuyadhulumu mataifa ya…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Geneva amekosoa vikali kupitishwa kwa azimio la kupinga…
Angalau watu watatu, akiwemo afisa mwandamizi wa harakati ya Hamas, wameuawa katika shambulio la anga la Israel lililolenga nyumba moja…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop, amesema kuwa Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) ulioundwa na Mali,…
Marekani imeendeleza mashambulizi dhidi ya Yemen kwa kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa…
Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amelaani vikali hujuma ya kijeshi ya anga na ardhini ya utawala wa wa…
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amesema kuwa hatua ya Israel ya kufyatulia risasi magari ya…
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Afrika Kusini imetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Pretoria iliwafukuza wahamiaji haramu 46,898 mwaka…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran SEPAH limetoa taarifa na kutangaza kuwa: “Kambi ya Muqawama hususan…
Jana Alkhamisi, Afrika Kusini ilionya kuhusu vita vipya vya ushuru vilivyoanzishwa na rais wa Marekani na kuelekezea wasiwasi wake kuhusu…
Jeshi la Yemen limeitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani wakati ilipokuwa inafanya mashambulizi ya kiuadui katika anga…
Katika ripoti yake ya karibuni kabisa, Benki Kuu ya Namibia imetangaza kwamba, seni la serikali ya nchi hiyo limepanda na…
Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa na Maombi (ICPAC) cha Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali (IGAD), kambi ya kikanda,…
Kanali ya 12 ya Televisheni ya Utawala wa Kizayuni imekiri kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen hayajazaa matunda. Licha…
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na 04 Aprili mwaka 2025 Milaadia.
Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni…
Katika mazingira ya kuongezeka kwa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni, na vitisho vya mara…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu unaweza kuwa chachu ya kukomeshwa jinai…
Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kurejea haraka iwezekanavyo katika makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.
Mgawanyiko unaendelea kushuhudiwa ndani wa chama tawala cha ZANU-PF nchini Zimbabwe umeibua hofu ya uwezekano wa jaribio la mapinduzi dhidi…
Bunge la Msumbiji kwa kauli moja limepaisha sheria ili kurejesha amani katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kufuatia miezi…
Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa…
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo…
Algeria imeomba kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Palestina. Mkutano huo…
Raia wasiopungua 89 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye vijiji…
Makumi ya Wapalestina wengine wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza usiku kucha.
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina…
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali…
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo…
Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya…
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Kwa akali raia 12 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan…
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na…
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 03 mwaka 2025.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni…
Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23,…
Seneta wa Marekani Cory Booker amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 68 ya hotuba ndefu zaidi kutolewa katika historia ya Seneti…
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya…
Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1446 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuunda na kumiliki silaha za nyuklia kwa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo…