Hamas yapongeza wafanyakazi Microsoft kwa kufichua ushiriki wa kampuni hiyo katika mauaji ya kimbari Gaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft…
Mizozo ya kijeshi duniani
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft…
Wanaharakati zaidi ya 300 wa jumuiya za kiraia nchini Iran wamepinga vikali vitisho vya Marekani vya mashambulizi ya kijeshi dhidi…
Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Marekani limeikosoa Marekani, Israel, Canada na nchi nyingine za…
Takwimu zinaonyesha kuwa Marekani ina wafungwa wengi zaidi duniani.
Vikosi vya ulinzi vya Yemen vinaendelea kutekeleza oparesheni katika Bahari Nyekundu na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel);…
Leo ni Ijumatatu 8 Shawwal mwaka 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Aprili 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepuuzilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani na kuyataja kuwa yasiyo…
Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo,…
Baadhi ya raia wa Kenya wanaotumia mitandao ya kijamii wameeleza kukasirishwa na hatua ya wabunge na maseneta ya kujiongezea posho…
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco, amemteua Rais wa Togo, Faure Gnassingbe, kuwa mpatanishi kati ya Jamhuri ya…
Jumamosi, maelfu Wamarekani walishiriki katika maandamano katika majimbo yote 50 ya Marekani, wakimpinga Rais Donald Trump na bilionea Elon Musk.
Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua zaidi ya magaidi 80 wa al-Shabaab, wakiwemo vinara waandamizi wa kundi hilo, katika operesheni…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo…
Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med, lenye makao yake mjini Geneva, limelaani vikali ukatili wa Israel katika Ukanda wa…
Msikiti wa kihistoria wa Kongo, ulioko Diani, Kaunti ya Kwale, umekuwa katika mzozo baada ya mwekezaji binafsi kudai umiliki wa…
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula, amesema kwamba suluhisho la kudumu kwa mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence-AI-)barani Afrika, Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf,…
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa uamuzi kwamba kampuni ya Marekani ya Meta, inayomiliki Facebook, inaweza kushtakiwa nchini humo kwa tuhuma…
Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu…
Leo ni Jumapili tarehe 7 Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Aprili 2025.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto…
Senegal iliadhimisha miaka 65 ya uhuru jana Ijumaa ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika…
Takriban watu 52 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magenge yenye silaha kufanya mashambulizi katikati mwa Nigeria.
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imekanusha kuhusika kivyovyote vile na ndege ya misaada ya kibinadamu iliyoshambuliwa mashariki mwa…
Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati…
Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana na Marekani katika eneo…
Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimefanya operesheni ya kijeshi kulenga eneo la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel…
Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa fatwa (agizo la kidini) ukizitaka nchi za Kiislamu kutoa msaada wa…
Maelfu ya waandamanaji wamemiminika katika mitaa ya Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiandamana bega kwa bega…
Jeshi la Sudan jana Ijumaa lilikabiliana vikali na hasimu wake yaani Kikosi cha Wanamgambo wa Msaada wa Haraka (RSF) katika…
Maafisa wa serikali ya Marekani wametangaza kuwa utawala wa Donald Trump utaangalia upya bajeti ya dola bilioni 9 ya Chuo…
Leo ni Jumamosi tarehe 6 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 5 mwaka 2025.
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi wa Kipalestina limelaani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya majengo ya taasisi hiyo…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa, hivi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel…
Kundi la waasi la M23 limetishia kulipiza kisasi iwapo majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yataendelea…
China imetangaza kuwa itazitoza ushuru wa ziada wa 34% bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Marekani, hatua inayoonekana kuwa ni ya kujibu…
Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili…
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wakuu wa baadhi ya nchi za eneo na…
Rais wa Iran amesema kuwa ikiwa Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, maadui hawatakuwa na uwezo wa kuyadhulumu mataifa ya…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Geneva amekosoa vikali kupitishwa kwa azimio la kupinga…
Angalau watu watatu, akiwemo afisa mwandamizi wa harakati ya Hamas, wameuawa katika shambulio la anga la Israel lililolenga nyumba moja…