Mashirika sita ya UN: Vita vya Ghaza ni ishara ya kutojaliwa hata chembe maisha ya binadamu
Wakuu wa mashirika sita ya Umoja wa Mataifa wametoa indhari kali kuhusu hali ya Ukanda wa Ghaza na kutaka usitishaji…
Mizozo ya kijeshi duniani
Wakuu wa mashirika sita ya Umoja wa Mataifa wametoa indhari kali kuhusu hali ya Ukanda wa Ghaza na kutaka usitishaji…
Wizara ya Biashara ya China imeionya Marekani dhidi ya kuingia katika msururu wa vikwazo vya kibiashara vya ‘kujibishana mapigo’ baada…
Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi…
Msemaji wa serikali ya muda ya Afghanistan amesisitiza kuwa haiwezekani askari wa Marekani waruhusiwe kwenda na kuwepo ndani ya ardhi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya “mazungumzo yasiyo ya moja…
Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki…
Hisa za Marekani zimeendelea kuporomoka kwa siku ya tatu mfululizo, huku mashirika na wawekezaji wakishindwa kuelewa malengo ya mipango mipya…
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala huo haramu,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya…
Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, viongozi wa Marekani wana wajibu…
Mbali na majanga ya ukosefu wa amani na vita baina ya makundi hasimu, majanga ya kimaumbile yanaikumba pia Jamhuri ya…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini sasa unashika doria usiku na mchana katika eneo la wakimbizi ambalo liko…
Wananchi wenye hasira wa Mauritania wamefanya maandamano makubwa na kuuzingira ubalozi wa Marekani mjini Nouakchott wakilaani jinai za Israel katika…
Huku wananchi wa Marekani wakiendelea kukasirishwa na siasa za kidikteta na uingiliaji kati za Trump, Elon Musk na serikali yao,…
Leo ni Jumanne tarehe 9 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 8 mwaka 2025.
Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai…
balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, amefukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo…
Rwanda leo, tarehe 7 Aprili, imeanza shughuli za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi yaliyofanywa…
Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katikati mwa mji mkuu wa Rabat kulaani mashambulio mapya ya utawala haramu…
Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza imesema hatua ya Israel ya kuzuia kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa kupooza…
Kundi mashuhuri la mawakili wa haki za binadamu wa Uingereza linatazamiwa kuwasilisha malalamiko ya jinai za kivita dhidi ya Waingereza…
Hujambo mskilizaji mpenzi mwanaspoti. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza tena kuwa Iran iko tayari kufanya mazungumzo yasiyo ya moja…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Iran amesema bara Ulaya linapoteza itibari ya kimaadili kwa kuutetea utawala wa Kizayuni…
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na tovuti ya Sahara Reporters, maafisa wa usalama wa Nigeria wanapanga mashambulizi dhidi ya makazi…
Rais wa India, Droupadi Murmu, ameidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Waqf—sheria tata inayotoa mwanya kwa serikali ya Narendra Modi kunyakua…
Takriban watu 22 wamethibitishwa kufariki dunia katika jiji la Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na…
Mkuu wa Majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran si mpenda vita, lakinii…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameulaumu utawala wa Kizayuni Israel kwa kuwazuia kuingia, kuwakamata na kisha kuwatimua wabunge…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft…
Wanaharakati zaidi ya 300 wa jumuiya za kiraia nchini Iran wamepinga vikali vitisho vya Marekani vya mashambulizi ya kijeshi dhidi…
Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Marekani limeikosoa Marekani, Israel, Canada na nchi nyingine za…
Takwimu zinaonyesha kuwa Marekani ina wafungwa wengi zaidi duniani.
Vikosi vya ulinzi vya Yemen vinaendelea kutekeleza oparesheni katika Bahari Nyekundu na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel);…
Leo ni Ijumatatu 8 Shawwal mwaka 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Aprili 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepuuzilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani na kuyataja kuwa yasiyo…
Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo,…
Baadhi ya raia wa Kenya wanaotumia mitandao ya kijamii wameeleza kukasirishwa na hatua ya wabunge na maseneta ya kujiongezea posho…
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco, amemteua Rais wa Togo, Faure Gnassingbe, kuwa mpatanishi kati ya Jamhuri ya…
Jumamosi, maelfu Wamarekani walishiriki katika maandamano katika majimbo yote 50 ya Marekani, wakimpinga Rais Donald Trump na bilionea Elon Musk.
Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua zaidi ya magaidi 80 wa al-Shabaab, wakiwemo vinara waandamizi wa kundi hilo, katika operesheni…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo…