Rwanda: Serikali ya Uingereza imevunja uaminifu
Serikali ya Rwanda imeishutumu Uingereza kwa kile ilichokita kuwa kuvunja uaminifu na kuchukua hatua zisizo na msingi dhidi ya Kigali,…
Mizozo ya kijeshi duniani
Serikali ya Rwanda imeishutumu Uingereza kwa kile ilichokita kuwa kuvunja uaminifu na kuchukua hatua zisizo na msingi dhidi ya Kigali,…
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani.
Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limeonya kuwa uamuzi wa Israel wa kuzuia upelekaji wa misaada ya…
Wabunge wa Ghana wamewasilisha tena mswada dhidi ya mahuusiano ya kiimapenzii ya watu wa jinsia moja (LGBTQ), baada ya jaribio…
Huku awamu ya kwanza ya usitishaji vita na kubadilishana wafungwa na mateka kati ya utawala wa Kizayuni na Harakati ya…
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watu wenye silaha wanabaka na kuwanyanyasa kingono watoto wenye umri…
Katika hali ya kuzidisha mgogoro kwa kiwango kikubwa, vikosi vya nchi kavu vya utawala haramu wa Israel vimefanya uvamizi wa…
Roboti za upasuaji aina ya Sina, zinazotengenezwa nchini Iran na kusambazwa katika hospitali za Indonesia kwa madhumuni ya upasuaji, zimewashangaza…
Watayarishi wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Uingereza wamewataka wabunge wa Uingereza kuwahoji viongozi wa BBC kuhusu uamuzi wa…
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameulaumu utawala haramu wa Israel kwa kutaka kurejesha uvamizi…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) imelaani vikali uchokozi wa kisiasa na kijeshi wa Marekani baada ya meli…
Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: “Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) haupaswi kotoa…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imetoa taarifa na kutangaza kuwa, inapinga vikali suala la raia kufa njaa na…
Filamu kuhusu utawala haramu wa Israel unavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao, imeshinda tuzo ya Oscar na wakurugenzi wake wametoa wito…
Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza kuwa, imo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu…
Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameelezea wasiwasi wake kuhusu mabadiliko ya mwelekeo yanayofanyika nchini…
Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili…
Leo ni Jumanne tarehe 3 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 4 Machi mwaka 2025.
Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imetoa onyo kali dhidi uvamizi wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel unaoungwa mkono na…
Iran imesema mwenendo wa kudhalilisha wa Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, katika Ikulu…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetaja mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel dhidii ya Gaza kuwa ni jinai dhidi…
Kenya inafanya mazungumzo na Serikali ya Thailand ili kufungua tena mpaka wa nchi hiyo na Myanmar, ikitaka kuwahamisha raia 64…
Maelfu ya Wamarekani wametakiwa kuhama kwenye maeneo manane katika majimbo ya Carolina Kaskazini na Carolina Kusini kutokana na kutokea zaidi…
Jordan imepinga juhudi zozote zinazoweza kuhatarisha umoja wa Sudan, ikiwa ni pamoja na jitihada za kuundwa serikali nyingine ambazo zinafanywa…
Majid Takht Ravanchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesema kuhusu mikutano na…
Hujambo mpenzi mwanaspoti. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari katika viwanja na kumbi mbalimbali…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo na mataifa mengine; lakini…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa…
Hatua ya Israel ya kuzuia kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imelaaniwa na Misri na Saudi Arabia, huku…
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametishia kuufukuza ujumbe wa kisiasa uliotumwa nchini mwake na Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika…
Mahmoud al Mardawi mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa abadan harakati hiyo…
Jeshi la Uganda limethibitisha kutuma wanajeshi wake katika mji mwingine kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupambana na…
Wanajeshi wasiopungua 11 wameuawa kaskazini mwa Niger na wengine kadhaa wamejeruhiwa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, hakutakuwa na usalama katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)…
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya juu ya matokeo mabaya ya kuzuia misaada ya…
Mpango usio wa kibinadamu wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika Ukanda wa Gaza umeendelea kupingwa…
Katika kuendeleza mapambano na kupinga jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza kuwa…
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1446 Hijiria, sawa na tarehe 3 Machi 2025.
Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamepiga kura ya kumuondoa katika wadhifa wake Waziri wa Masuala…
Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mustakabali wa nchi zinazotegemea mataifa mengine…
Shirika la Afya Duniani WHO likinukuu Wizara ya Afya ya Uganda limesema mgonjwa wa pili wa Ebola amefariki dunia katika…
Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi…
Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewaonya maafisa wa Saudi Arabia na kuwataka wapate somo na ibra kutokana…
Misri imetangaza leo Jumapili kuwa haiafiki jaribio lolote la kuunda serikali nyingine nchini Sudan au kuchukuliwa hatua yoyote ambayo inatishia…
Suala la kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia limesisitiza katika Kongamano Kuu la Mashia na jami ya walio…
Baraza Kuu la Waislamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeamua kusimamisha Swala ya Tarawih katika miji ya mashariki inayokaliwa…
Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la…
Baadhi ya vyanzo vya ndani vimeripoti kuwa Jeshi la Sudan limefanya mashambulizi makali dhidi ya ngome za wapiganaji wa Vikosi…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amewapongeza maspika wenzake katika nchi za Kiislamu kwa kuwasili mwezi mtukufu wa…