Kenya yaiamuru TikTok iondoe maudhui za kingono zinazowalenga watoto
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China waTikTok uondoe maudhui za kingono zinazowalenga na kuwaathiri watoto.
Mizozo ya kijeshi duniani
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China waTikTok uondoe maudhui za kingono zinazowalenga na kuwaathiri watoto.
Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetangaza kuwa imepokea mashtaka yaliyowasilishwa na Sudan dhidi ya Muungano…
Waziri wa Mambo ya Nje wa India Subrahmanyam Jaishankar amesema, dhana ya kwamba kundi la mataifa ya BRICS linafanya juu…
Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kwamba, zimejiandaa kwa “chochote…
Iran imesema kuwa, mpango wa kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza na kuwapeleka katika nchi jirani ni kuendeleza mauaji ya…
Afisa mmoja mwandamizi wa Yemen amepuuzilia mbali hatua ya Marekani ya kuitambua Harakati ya Muqawama ya Ansarullah kama kundi la…
Ujumbe wa ngazi ya juu wa Russia ukiongozwa na Naibu Waziri wa Ulinzi, Yunus-Bek Yevkurov umeitembelea Mali na kufanya mazungumzo…
Ikulu ya White House imethibitisha ripoti inayodai kuwa Marekani imefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Harakati ya Muqawama wa…
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia cha Marekani wamekosoa vikali jinsi uongozi wa chuo hicho unavyoshughulikia maandamano ya waungaji mkono…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na Mashirika ya…
Leo ni Ijumaa tarehe 6 Ramadhani mwaka 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Machi mwaka 2025.
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema upayukaji na vitisho vya Trump vinavuruga makubaliano ya kusitisha…
Maafisa kutoka mashirika matano makubwa ya misaada duniani na Umoja wa Mataifa wameonya leo Alkhamisi asubuhi kuhusu njama za utawala…
Marekani inaendelea kuishinikiza serikali ya Ukraine ili ikubali kukabidhi utajiri wake wa madini ya kipekee mikononi mwa viongozi wa White…
Soko la Omdurman, ni moja ya masoko makongwe na la kihistoria nchini Sudan, ambalo lilianza takriban karne mbili zilizopita na…
Waziri wa Usalama na Ulinzi wa Raia wa Mali, Daoud Aly Mohammedine ametangaza rasmi kwamba: Vibali vyote vya uchimbaji madini…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Libya, Emad al-Tarabelsi amesisitizia umuhimu wa kuweko msaada wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa…
Afrika Kusini imesema kwamba “Israel inatumia njaa kama silaha ya vita” huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kufika eneo…
Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha…
Viongozi wa nchi za Ulaya wameamua kuchukua hatua zaidi za kuandaa mkakati wa kuwa na mpango huru na wa kujitegemea…
Balozi na Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameonya kuwa, mkakati wa Magharibi wa…
Gazeti la The Guardian limemtaja Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mhubiri wa “utovu wa maadili” duniani.
Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema: “Maonyesho ya Qur’ani yanapaswa kutufahamisha kuhusu miujiza ya Wahyi na…
Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja…
Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha mpango wa kuikarabati na kuijenga upya Gaza, uliopitishwa katika mkutano wa…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mashambulizi ya utawala…
Majadiliano na mikutano ya maafisa wa Iran na Afghanistan yanaendelea kwa lengo la kupanua uhusiano na kutatua masuala kati ya…
Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 6 Machi mwaka 2025.
Shura ya Maimamu Tanzania imepokea kwa mikono miwili uamuzi wa mahakama wa kuwaachia huru Masheikh 12 waliokaa gerezani miaka 10, (2015-2025),…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Ali Khamenei, leo asubuhi (Jumatano), katika Wiki ya Rasilimali Asili na Siku ya…
Serikali ya Uingereza imekataa kuilipa Rwanda fidia baada ya kufuta mkataba wa wahamiaji kati ya nchi hizo mbili.
Kiwanda pekee cha nyuklia cha Iran kimezalisha umeme wenye thamani ya takriban dola bilioni 8.2 tangu kilipoanza kufanya kazi zaidi…
Rais Donald Trump wa Marekani, ametishia kusitisha ufadhili wa serikali ya shirikisho kwa vyuo vikuu au taasisi zozote za elimu…
Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha kwa mafanikio ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper baada…
Mahakama ya juu ya Umoja wa Mataifa imemchagua jaji wa Kijapani kuwa rais wake mpya, akichukua nafasi ya Nawaf Salam…
Viongozi wa nchi za Kiarabu, katika mkutano wao mjini Cairo, wamepinga mipango na njama za kishetani za Marekani na utawala…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeripoti kuwa Ukame, mzozo na kupanda kwa bei za vyakula vinaweza kusabaisha uhaba…
Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha kuwa uongozi wa Afrika una nguvu katika nyanja…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kufunga kwa siku tatu mfululizo…
Mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) umepasisha mpango wa Misri wa kuijenga upya Gaza na…
Leo ni Jumatano tarehe 4 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 5 Machi 2025.
Siku mbili baada ya kufedheheshwa Rais Zelensky wa Ukraine katika Ikulu ya White House na suala hilo kuakisiwa pakubwa kimataifa,…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hatufurahishwi na vita na machafuko na wala hatupendi,…
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS amesema kuwa, ingawa uamuzi wa…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema jana Jumanne kwamba wahamiaji 349 walizuiwa kuendelea na safari nje ya pwani ya…
Uamuzi wa Marekani wa kusita kuipa Ukraine silaha umepata majibu tofauti kutoka kwa viongozi wa nchi za Ulaya.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, wapiganaji wa M23 wamewateka karibu watu 130 kutoka hospitali za mji wa Goma wa mashariki…
Vita haribifu vya utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Ukanda wa Gaza vimekuwa na taathira nyingi kwa…